Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
04 - ذو الحجة - 1433 هـ
20 - 10 - 2012 مـ
04:15 صباحاً
(Kulingana Na Taqwimu Rasmi Ya Umul Qura)
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
___________



Bayana Ya Udh7hiya Kutoka Kwa Kitab Kwa Wote Waislamu Wenye Uwezo, Na Al'Hamdulillah Rabi Al'3alamin..
بيان الأضحيّة من الكتاب إلى كافة المسلمين المقتدرين، والحمد لله ربّ العالمين ..



BIsmillah ARahman ARahim, Na Sala Na Salam Kwa Wote Ma'Nabi Wa Allah Katika Kitabu Na Alihim Kutoka Mwanzo Wao Mpaka Mwisho Khatim Wao Muhammad Mtume Wa Allah Na Wale Walio'Wafwata Kwa Ihsan Katik Kila Zama Na Mahali Mpaka Siku Ya Din Ama Ba'ad Ya
Hapo..

Salam Za Allah Aleyikum Wa'Rahmatu Allahi Wa Barakatuhu Enyi Wapenndwa Wangu Waislamu Mwenye Uwezo Wa Kununuwa Udh'7hia Kama Hakumiliki, eee Hakika Bora Wa Udh7hia Ni Kondo Na Uzuri Awe Ana Mweili Dume Mnene Sio Unene Sana Bali Wakati, Asiwe Kipofu Wala Amevunjika Wala Anatembe Kiguri Wala Kunekana Kiguru chake Wala Ana alama Wala Mwenye Kukatwa Masikio.

Na Yule Ambae Anachincha Ma'Udh7hia Vichinjoni Ju Yake Kabla Hajampa Mchinjanji Atakiwa Ataje Jina La Allah ju yake Mwenyewe Na sufi Na Yeye Bado Ako Na Sufi Yake Hai Kabla Kuchinjwa Kwake Aseme:

[{("Allahuma In Hadhi Al'Udh7hia Qurba Min 3abdika Ileyika Rabi Linafsi, Wa Ya'akulu Minha Ahlu beyti Wa Man Laisa Lahum Udh7hia Mina Alfuqara Min Hawuli Walmasakin Wasailina Fa'at iihim Minha Idha Wajab Junubaha, Allahuma Taqabal Min Abdika Qurbanahu Ileyika Birahmatika Ya Arhama Arahimin, Faghfir Lana Warhamna Watawafana Muslimina Hunafa lillah Mukhlisin, Wawaadaka Alhak Wa'Anta Arhama Al'Rahimin")}],
Alafu Anasema; "Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Subhanaka Man A7halak Li Adhabhi Halalan Tayiban, Allahu Akbar Walillah Alhamd",

Na Alafu Amchukuwe Kwa Mchinjaji ili Amchinje Kwa Sharti Asikate Kichwa Chake Mpaka Imalizike Kumiminika Damu Yote, Kwa Kuwa Ukikata Kichwa Chote Haito'Toka Damu Yote Bali Itabaki Nyingi Katika Damu Yake Alafu Itakuwa Nyama Rangi Nyekundu, Kwajili Ya Hivo Hai'Tenganishwi Kichwa Na Mwili Mpaka Imalizike Kumiminika Damu Yake Kumwagika, Na Alafu Amchune kumtoa Ngozi, Na Ikiwa Hana Ujuzi Ampeleke Kwa Mchinjaji Lakkni Bada Kumtaja Jina La Allah na Sufi, Yani Awe Bado Ako Na Sufi Yake Akiwa Hai Mpaka Ikiwajibika Junubiha Ndio Mutakuta Nyama Yake Ina Latdha Mzuri Kwa Sababu Kutaja Jina La Allah Na Sufi yake Na Kwasabau Ni Kurba Kwajili Ya Allah Na Nafsi Yako Na Ahli Ya Nyumba Yako Na Mafakiri Walioko Karibu Na Wewe Na Masikini Na Wanaouliza Hata Kama Kidogo Kugawanya, ila iwe Watu Wa Nyumbani Kwako Ni Famili Kubwa inawatosheleza Wao Tu Basi Haina Neno Ju Yao Wakila Wao, Na Hatukuwi Allah Nyama Zake Wala Damu Yake ispokuwa Anachukuwa Uchaji Mungu Kwenu, Na ili Mupige Takbiri Kwa Yale Alio Wapa Na Kuwaongoza Na Mumshukuru.

Na Huwenda Labda Anataka Moja Katika Ya Waulizaji Katika Waislamu Kusema: "Ewe Nasser Muhammad Al'Yamani, Nini Dalili Yako Kuwa Bora Wa Ma'Udh7hia Ni (Kondo) Dume? Na Nini Dalili Yako Katika Kitabu Cha Allah Kuwa Kumtaja Allah Na Yeye Bado Yuko Hai Na Sufi Yake Kabla Kumchinja Na Kuchuna Ngozi Yake? "Na Alafu Anamjibu Al'Imam Al'Mahdi Mulizaji Na Nasema: Amesema Allah Ta3ala:
{وَجَعَلَ لَكُم مِّن جُلُودِ ٱلْأَنْعَـٰمِ بُيُوتًۭا تَسْتَخِفُّونَهَا يَوْمَ ظَعْنِكُمْ وَيَوْمَ إِقَامَتِكُمْ ۙ وَمِنْ أَصوافّهَا وَأَوْبَارِهَا وَأَشْعَارِهَآ أَثَـٰثًۭا وَمَتَـٰعًا إِلَىٰ حِينٍۢ ﴿80﴾}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Al-Nahli]

Na Tunachunguza Kwa Undani kutokana Na Hio: Ni Wanyama Gani Wenye Sufi? Ndio Tunapata Ni Katika Makondo, Na Ama Mbuzi Ni Mwenye Nywele, Na Ama Ngamia Dume Ni Mwenye NgoZi Yake Alwebr , Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala :
{وَمِنْ أَصوافّهَا وَأَوْبَارِهَا وَأَشْعَارِهَآ أَثَـٰثًۭا وَمَتَـٰعًا إِلَىٰ حِينٍۢ ﴿80﴾}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Al-Nahli].


Na Alafu Mutajuwa kujuwa kwa Yakini inao'Kusudiwa Kwa Yule Mwenye Sufi Ni Kondo, Ndio Alafu Tunatoa Katika Udh7hia Kutokana Na Kondo Na Yapendekeza iwe ni dume ili muwe na matumaini kuwa hi Udh7hia Sio Mwenye Kunyonyesha Wala ana Miba, Alafu Tunapata Kuchunguza Kuwa ( Udh7ia itapendekeza Awe Ni dume )

Na Ama Mwenyzi Mungu Ju Yake Ni Lazma Umtaje Allah Akiwa Hai Na Sufi Yake Na Kabla Kumchinja Kwake, Ndio Mutapata Kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَالْبُدْنَ جَعَلْنَاهَا لَكُم مِّن شَعَائِرِ اللَّهِ لَكُمْ فِيهَا خَيْرٌ فَاذْكُرُوا اسم اللَّهِ عَلَيْهَا صوافّ فَإِذَا وَجَبَتْ جُنُوبُهَا فَكُلُوا مِنْهَا وَأَطْعِمُوا الْقَانِعَ وَالْمُعْتَرَّ كَذَلِكَ سَخَّرْنَاهَا لَكُمْ لَعَلَّكُمْ تَشْكُرُونَ}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Al-haaj].

Na Labda Anataka Moja Katika Waulizaji Kusema:"Na Nini Inao Kusudiwa Kwa Kauli Yake Ta3ala {وَالْبُدْنَ} walbudna" Na Mwenye Mwili?"

Na Jawabu Kwa Haki: Anakusudia Kondo Mwenye Mwili Mkubwa Mnene Na Wala Sio Mdogo Ana'Nyonya Kwa Mamake,

Na Labda Anataka Mwengine Kuliza Na Kusema: "Na Kitu Gani Kimekujulisha Kuwa Anakusudia-walbudna-Yani Ni Mwili". Alafu naichunguza Jawabu Kutoka Kitabu Cha Allah Akisema:
{فَالْيَوْمَ نُنَجِّيكَ بِبَدَنِكَ لِتَكُونَ لِمَنْ خَلْفَكَ ءَايَةً وَإِنَّ كَثِيرًا مِنَ النَّاسِ عَنْ ءَايَاتِنَا لَغَافِلُونَ}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Yunus:92].

Na tunachunguza kutokana Na Hio Ma'ana ambao Ni"
walbudna"Nayo Ni Mwili Na Turudi Kwa Kauli ya Allah Ta3ala:
{وَالْبُدْنَ جَعَلْنَاهَا لَكُم مِّن شَعَائِرِ اللَّهِ لَكُمْ فِيهَا خَيْرٌ فَاذْكُرُوا اسم اللَّهِ عَلَيْهَا صوافّ فَإِذَا وَجَبَتْ جُنُوبُهَا فَكُلُوا مِنْهَا وَأَطْعِمُوا الْقَانِعَ وَالْمُعْتَرَّ كَذَلِكَ سَخَّرْنَاهَا لَكُمْ لَعَلَّكُمْ تَشْكُرُونَ}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Al-haj].

Na Anakusudia Udh7hia Mwenye Mwili mnene, Na Alafu Tunajuwa Kuwa Ma udh7hia Bora Ni Yenye Sufi Nayo Ni Kondo, Na Tunatowa Kwa Undani hio Kutoka Kauli Ya Allah Ta3ala:
{فَاذْكُرُوا اسم اللَّهِ عَلَيْهَا صوافّ}

Na Hakusudi Kwa Hayo Ni Ngombe Ama Ngamia Lakini Sufi Yaitwa Kwajili ya Sufi Ya Kondo, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3aka:
{وَمِنْ أَصوافّهَا وَأَوْبَارِهَا وَأَشْعَارِهَآ أَثَـٰثًۭا وَمَتَـٰعًا إِلَىٰ حِينٍۢ ﴿80﴾}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Al-Nahli].

Na Ama Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَمِنْ أَصْوَافّهَا}
{Na Kutoka Sufizao}
Anakusudia Sufi Ya Kundo,

Na Ama Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَأَشْعَارِهَآ}
{Na Manyelezawo}
Anakusudia Mbuzi,

Na Ama Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَأَوْبَارِهَا}
{Awubariha}
Nayo Ni Ngamia,

Na Kwa Hakika Nimepata Mshangao kwa Yale Wanayo Yasema Ju Ya Allah Yale Wasio Yajuwa, Na Nimipata Ajabu Zaidi Kwa Wale Wanao Wafwata Ufwato Wa Upofu Vile Wanavo Pelekwa! Lakini Kipofu Amepoteza Macho Yake Imebidi Afwate Mwenye Kumongoza Ili Amonyeshe Njia! Lakini Nyinyi Hivo hivo Munafwata Wale Ambae Wanasema Ju Ya Allah Wasoyajuwa Katika Ma'Imamu Wenu Walio Jichaguwa wenyewe Kuwa Wao Ni Ma Imamu Kwa Watu ili Wawaongoze Njia Ya Sawa Kwa Kauli Ya Dhana Ambao Haisaidi Na Haki Kitu,
Wakapoteza Nafsi Zao Wakapoteza Umma Wao, Hivi Hamutafakari?

Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabi Al'3alamin..

Ndugu Yenu Al'Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
____________




======== اقتباس =========

اقتباس المشاركة 66455 من موضوع فتاوى الإمام المهدي عن الحجّ ..

- 6 -
[ لمتابعة رابط المشاركة الأصليّة للبيان ]
https://mahdialumma.net/showthread.php?p=66343

الإمام ناصر محمد اليماني
03 - ذو الحجة - 1433 هـ
19 - 10 - 2012 مـ
06:33 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
ـــــــــــــــــــــ


سؤال إلى الإمام المهديّ عن يوم عرفة
..

اقتباس المشاركة : alawab
إمامنا الحبيب
أفتنا فى يوم عرفة
ماهو الوقت المسموح به ليعتد الحاج قد وقف وأدرك عرفة ليصح حجه
تصديقا لحديث محمد صلى الله عليه واله وسلم
ــــــــــــــــــ
حدّثنا أبو بكر قال حدّثنا حفص بن غياث عن ابن أبي ليلى وابن جريج عن عطاء أن النبي صلى الله عليه وسلم قال:
[ من أدرك عرفة قبل أن يطلع الفجر فقد أدرك الحج ، ومن فاتته عرفة فقد فاته الحج ]
صدق محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم
ـــــــــــــــ
بمعنى أى فجر فى الحديث هو المقصود أهو فجر يوم النحر ؟؟
أرجو التبيانم حتى نستطيع أن نخبر كل مانعرفهم وننصححهم بالوقوف بعرفة ليصح حجهم بإذن الله
انتهى الاقتباس من alawab
بسم الله الرحمن الرحيم، والصلاة والسلام على الأنبياء والمرسلين، والحمد لله ربّ العالمين، أمّا بعد..
فإن يوم عرفة هو اليوم التاسع من شهر ذي الحجّة، ويبدأ من غروب شمس الثامن إلى غروب شمس التاسع فينتهي يوم عرفة ويفيضون من عرفات، والمتأخرون عن يوم عرفة وجب عليهم أن يدركوه قبيل طلوع فجره، إلا أنه حبسهم عذرٌ شرعيٌّ فيصلون خلال النّهار قبل غروب شمسه، وينتهي يوم عرفات بغروب شمسه.

وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــــــــ




وأما عن تحديد موقع صعيد عرفة الجغرافي أجاب الإمام المهديّ قائلاً:

بسم الله الرحمن الرحيم وسلامٌ على المُرسَلين والحمد لله ربّ العالمين..

ألا وإنَّ صعيدَ عرفة كلُّه موقفٌ؛ الجبل وساحة الجبل من حوله.

وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله رب العالمين..
أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــــــــ
اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..