-2-
الإمام ناصر محمد اليماني
06 - 03 - 1431 هـ
20 - 02 - 2010 مـ
12:29صباحا
Kifurushi Cha Bayana
https://mahdialumma.net/showthread.php?t=7325.htm
ـــــــــــــــــــــ
Hakika Sunna ya kweli katika hukmu ya Swala yatabikiana na haki katika kitabu, Na Haitakikani Kwa Kitabu Cha Allah Na Sunna Ya Mtume Wake Za Haki kwamba zifarakiane ndio zikhitilifiane katika kitu kabisa


Nukulu: Suali: Hakika nimisoma bayana yako kwamba idadi ya raka katika swala moja hapana budi ziwe ni raka mbili, je nifahamu kutokana na maneno yako ndugu mkarimu kwamba Mtume alikua anaswali raka mbili katika kila Swala? Na kwamba wale baada yake walikhalifu yale alikua akifanya Mtume Muhammad Swala Allahu Aliyhi Wa Salam?

Na jibu kwa haki: Na Je inaingia akili kwamba aswali Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani ila kama Swala ya Babu yake Muhammad Mtume Wa Allah Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam! Lakin angalia fatwa ya Aisha Kwa haki kutoka kwa Mumewake Juu yake Swala Na Salam katika hadithi ambae ni mash'huri:

[ Amisema Ibnu Is'hak : Na Ameniambia Swaleh Ibnu Keysan Kutoka kwa Urwa Ibnu Al'Zubeyr, Kutoka Kwa Aisha Radhi Za Allha Juu Yake Amisema: Imefaradhishwa Swala Juu Ya Mtume Wa Allah Swala Allah Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Mwanzo Ilipo Faradhishwa Juu Yake Raka Mbili Mbili, Kila Swala; Alafu Allah Ta3ala Ameitimisha Katika Hadhari Inne, Na Akaifanya Katika Safari Kwa Faradhi Yake Ya Kwanza Raka Mbili ] Imeisha Hadithi.

[قال ابن إسحاق : وحدثني صالح بن كيسان عن عروة بن الزبير، عن عائشة رضي الله عنها قالت: افترضت الصلاة على رسول الله صلى الله عليه وسلم أول ما افترضت عليه ركعتين ركعتين، كل صلاة؛ ثم إن الله تعالى أتمها في الحضر أربعا، وأقرها في السفر على فرضها الأول ركعتين] انتهى الحديث.

Na suali ambalo lajiweka lenyewe: Na jee munaswali katika hadhara raka inne kwa kila Swala na nyinyi mwajua kwamba nyinyi muna'Swali alfajiri raka mbili na adhuhuri raka inne na alasiri raka inne na magharibi raka tatu na isha raka inne? Basi njo ili tutadabar kwa Hadithi kwa mara yapili:
[ Amisema Ibnu Is'hak : Na Ameniambia Swaleh Ibnu Keysan Kutoka kwa Urwa Ibnu Al'Zubeyr, Kutoka Kwa Aisha Radhi Za Allah Juu Yake Amisema: Imefaradhishwa Swala Juu Ya Mtume Wa Allah Swala Allah Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Mwanzo Ilipo Faradhishwa Juu Yake Raka Mbili Mbili, Kila Swala; Alafu Allah Ta3ala Ameitimisha Katika Hadhari raka Inne, Na Akaifanya Katika Safari Kwa Faradhi Yake Ya Kwanza Raka Mbili ],
ikawa Kwa kila Swala raka inne nazo ni raka mbili za Sunna baina ya Adhana na Ikama na raka mbili za Faradhi, Na kuhusu Swala ya safari nayo ni raka mbili kwa kuondoshwa raka mbili za Sunna na ikabaki asili nayo ni raka mbili za Faradhi, Alafu Akawamuru Allah kupunguza ndani yake pindi mukiwa mwaogopa kuvamiwa na wale walio kufuru basi mutapunguza katika Swala kwa raka moja pekeyake kwa kila Swala munaogopa ndani yake fitna ya makafiri wakati munapo Swali Swala Zenu kama ilivo tangulia kufafanua kabla katika Bayana ya Swala Zote kutoka kwa Al'Quran Al3adhim, Kwajili Ya Hivo mutapata kwamba Sunna ya haki inatabikiana na haki katika Kitabu, Na Haitakiwi kwa Kitabu cha Allah na Sunna ya Mtume Wake za haki kwamba zifarikiane ndio zikhitilifiane katika kitu kabisa..

Ndugu yenu; Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
_______________

اقتباس المشاركة 47653 من موضوع ( بيانات الإمام في أحكام الوضوء والصلاة وميقاتها )




- 2 -

الإمام ناصر محمد اليماني
06 - 03 - 1431 هـ
20 - 02 - 2010 مـ
12:29صباحاً
ـــــــــــــــــــــ



إنّ السُّنّة الحقّ في حكم الصلاة تُطابق الحقّ في الكتاب، ولا ينبغي لكتاب الله وسنة رسوله الحقّ أن يفترقا فيختلفان في شيء أبداً
..



اقتباس المشاركة :
ســـؤال: لقد قرأت ببيان لك أن عدد الركعات في الصلاة الواحدة لابد أن تكون ركعتين، هل أفهم من كلامك أخي الكريم أنّ الرسول كان يصلي ركعتين في كل صلاة؟ وأن من بعده قد خالفوا ما كان يقوم به الرسول محمد صلى الله عليه وسلم؟
انتهى الاقتباس


والجواب بالحقّ: فهل معقول أن يُصلي المهديّ المنتظَر ناصر محمد اليماني إلا كمثل صلاة جده محمد صلى الله عليه وآله وسلم! فانظر لفتوى عائشة بالحق عن زوجها عليه الصلاة والسلام في الحديث المشهور:
[قال ابن إسحاق : وحدثني صالح بن كيسان عن عروة بن الزبير، عن عائشة رضي الله عنها قالت: افترضت الصلاة على رسول الله صلى الله عليه وسلم أول ما افترضت عليه ركعتين ركعتين، كل صلاة؛ ثم إن الله تعالى أتمها في الحضر أربعا، وأقرها في السفر على فرضها الأول ركعتين] انتهى الحديث.

والسؤال الذي يطرح نفسه: فهل تُصلّون في الحضر أربع ركعات لكلّ صلاة وأنتم تعلمون إنّكم تصلون الفجر ركعتين والظهر أربعاً والعصر أربعاً والمغرب ثلاث ركعات والعشاء أربعاً؟ فتعالى لنتدبر الحديث مرة أخرى:
[قال ابن إسحاق : وحدثني صالح بن كيسان عن عروة بن الزبير، عن عائشة رضي الله عنها قالت: افترضت الصلاة على رسول الله صلى الله عليه وسلم أول ما افترضت عليه ركعتين ركعتين، كل صلاة؛ ثم إن الله تعالى أتمها في الحضر أربعا، وأقرها في السفر على فرضها الأول ركعتين]. فأصبح لكل صلاة أربع ركعات وهي ركعتي سُنّة بين الأذان والإقامة وركعتي فرض، فأمّا صلاة السفر فهي ركعتان نظراً لرفع ركعتي السُّنة وبقيت الأصل وهي ركعتا الفرض، ثم أمركم الله بالقصر فيها إذا خشيتم أن يفتنكم الذين كفروا فتُقصروا الصلوات إلى ركعة واحدة فقط لكل صلاة تخشون فيها فتنة الكفار أثناء صلواتكم كما سبق التفصيل من قبل في بيان الصلوات من القرآن العظيم، ولذلك تجدون أنّ السُّنّة الحقّ تُطابق الحقّ في الكتاب، ولا ينبغي لكتاب الله وسنة رسوله الحقّ أن يفترقا فيختلفان في شيء أبداً..

أخوكم؛ الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
_______________

اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..