Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’yamani
24 - محرَّم - 1444 هـ
22 - 08 - 2022 مـ
08:07 صباحًا
(Kulingana Na Taqwimu Rasmi Ya Mama Wa Vijiji)
____


Haraka Kwa Ma Anssar Wote Na Waislamu Wanao Mpwekesha Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu..


Salam Allah Alekom Wa Rahmatuhu Wa Barakatuhu enyi wapendwa wa Allah ma Anssar walio tangulia walio bora na enyi Waislamu kila anae mpwekesha Allah Mola Mlezi wa ulimwengu hamshirikishi kwa Allah kitu, Basi muokowe mataifa ya ulimwenguni vile mutakavo weza na hivo kwa kutangaza suluhisho ya peke ya janga la vita ya corona na hali ya hewa; Na hivo ni kufanya taharuki ma anssar katika sehemu tafauti ulimwenguni na watafiti wote ambao wanataka kuokoa nafsi zao na kuokoa umati wao.
Na Natoa kiapo kwa Allah Al3adhim mwenye kuhuisha mifupa ikiwa ume vurujika hakuna atakae kuokoa hu ulimwengu wote kutokana na vita va corona na hali ya hewa ispokua yale yalio kuja kwenye tangazo la suluhisho ya peke kwa kauli ilio tenganisha wala sio ya mchezo; Hio kwenu ni ile Bayana tulio andika kwa tarehe
(03-08-2021)
kwa inwani inao fwata


(الحَلُّ لقارعةِ حربِ كورونا والمناخ ..)
https://mahdialumma.net/showthread.php?p=357218


( Suluhisho la Jangwa La Vita Va
Corona Na Hali Ya Hewa)


Basi Fanyeni hima enye waislamu kwa kuitangaza kwa walimwengu ili muokowe nafsi zenu na muokowe ulimwengu wote, Hakika ni ujira mku kiasi gani kwa mwenye kushiriki kutangaza Bayana Ya suluhisho ya janga la vita ya corona na hali ya hewa ili aweze kusaidiana kuokoa mataifa ya binadamu vile atakavo weza na kwa kila hila na namna ya ki electronics, Fawallahi hakika sayari ya ardhi imeingia sehemu ya mstari mwekundu kwa sayari ya adhabu saqar ambae itapambazuka kutokana na kusini mwa ardhi gafla ju ya ulimwengu na laana ya Allah ju ya Wanao sema urongo.


Ewe Allah hakika incha ya vidole vangu vimeumia kwa wingi navo onya kutokana na adhabu yako kama vile ulivo niamuru katika muda wa miyaka kumi na nane usiku na mchna, Wala sija geuka kwa kitu; Na je mwadhania kwamba ulimwengu na mataifa iko vile vile kutoka kuanzia ulinganizi wa kimahdi wa ki ulimwengu kama mwezi hu ( Mwezi wa muharam wa mwaka 1426 hijria inawafikiana na Mwezi wa mar ya mwaka 2005) Yani kabla miyaka kumi na nane? Na mimi naendelea usiku na mchana nawahadharisha binadamu
kuathirika kwa ardhi kutokana na kukaribia syari ya adhabu saqar ambao inao kuja kutoka njia ya North Pole ndio ipambazuke ju ya ardhi karibuni sana kwa njia ya South pole, Na nikawaonya binadamu kuanzia miyaka mingi sana yalio pita kutokana na vimbunga anzituma Allah gafla ndani yake kuna moto ili uwashe- mwanzo wa jambo- Misitu ya watu kisha inageuka kua upepo ili uvumishe moto na uwendeshe moto wa kimbunga upande wa manjumba, Nikaonya kutokana na adhabu ya kimbunga cha bahari, Na adhabu ya kimbunga cha kuangamiza bara inabomoa ile Atakae Allah katika majengo, Na nimehadharisha kutokana na mfuriko wa mto wa aram ndani ya Yemen na mto wa irama dhati alimad na miminiko ya maji kutoka mbinguni, Nikaonya kutokana na kubomoka kwa majabali ygawnyika madonge ya barafu, Na nikahadahrisha kutokana na vita va umeme ambao haijatokea impate anae mtaka na amwepushe nayo anae taka, Na nikaonya kutokana na maburkani na mazilzala, Na nikaonya kwa kufanya ufa ardhi kutokana na uwingi wa mafuriko, Na nikahadharisha kutokana na mafuriko ya kumiminika kutoka majabalini yalio ja kwa sababu kushiba majabali maji; inageuka jabali lote kua mmiminiko wa mawe na mchanga ndio lianguke jabali lilio jaa; Mafuriko ya kuvutana kutokana na mawe na udongo unao bomoa, Na nimeonya kutokana na vita va kinezaki kwa njia haijatokea (Aljawri Alkhunas Ambazo zilio jificha karibu na ardhi) Na nimehadharisha kutokana na kijisayari kinao tingisha kinao lipua, Na nikaonya kutokana na adhabu ya kimbunga majabali; Mfiniko wa majabali ya barafu ndani yake kunao baridi kali sana inakuja kutoka kaskazini mwa ardhi North pole ndio ifinike kisiwa cha warabu kimbunga cha majabali ya barafu ambao iko shapu.


Na nawapa fatwa kwa haki hakika ya haya matokeo yote kwa sababu ya mvutano wa sayari ya adhabu saqar ndio ikaathirika ardhi ya binadamu kwajili ya kukurubia kwake, ispokua saqar hivi sasa imejivisha kwa rangi nyeusi; Na je mwauona mwezi ukimalizika kiambatisho? Na rangi nyeusi ni moto mweusi pindi kukurubia kwake na kabla kupita kwake ili musiyone ndio iwajieni gafla ndio ibadilike kuwa rangi nyekundu ndio iwatokeze musiweze kuizuwia wala hamutongojewa enyi ma3ashara wanao kadhibisha sayari ya adhabu, Hivi hamuamini kauli ya Allah Ta3ala:
{قُلْ جَاءَ الْحَقُّ وَمَا يُبْدِئُ الْبَاطِلُ وَمَا يُعِيدُ
‎﴿٤٩﴾‏ قُلْ إِن ضَلَلْتُ فَإِنَّمَا أَضِلُّ عَلَىٰ نَفْسِي ۖ وَإِنِ اهْتَدَيْتُ فَبِمَا يُوحِي إِلَيَّ رَبِّي ۚ إِنَّهُ سَمِيعٌ قَرِيبٌ ‎﴿٥٠﴾‏
وَلَوْ تَرَىٰ إِذْ فَزِعُوا فَلَا فَوْتَ وَأُخِذُوا مِن مَّكَانٍ قَرِيبٍ ‎﴿٥١﴾‏ وَقَالُوا آمَنَّا بِهِ وَأَنَّىٰ لَهُمُ التَّنَاوُشُ مِن مَّكَانٍ بَعِيدٍ ‎﴿٥٢﴾‏ وَقَدْ كَفَرُوا بِهِ مِن قَبْلُ ۖ وَيَقْذِفُونَ بِالْغَيْبِ مِن مَّكَانٍ بَعِيدٍ ‎﴿٥٣﴾‏ وَحِيلَ بَيْنَهُمْ وَبَيْنَ مَا يَشْتَهُونَ كَمَا فُعِلَ بِأَشْيَاعِهِم مِّن قَبْلُ ۚ إِنَّهُمْ كَانُوا فِي شَكٍّ مُّرِيبٍ ‎﴿٥٤﴾‏} صدق الله العظيم [سبأ]؟


Na nikafafanua kwa ulimwengu kutoka kwa ilio wazi maana yake Al’Qran Al3adhim ufafanuzi mku kulingana Alivo niamuru Mola Wangu Mlezi Na Mola Wenu Mlezi (Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu) Na sijasema kitu kutoka kwangu; Bali nawaletea utwala wa ilimu yake kutoka kwa Al’Quran Al3adhim kabla halijatokea tokeo, Na hivo ili waone wanao kadhibu alama za Allah ambazo Amezibainisha kwa walimwengu ju ya ukweli waqi ya uhakika ndio wazitambuwe Kama hali ya sayari ya ardhi ya wanadamu leo; Na wala ispokua ni katika adhabu ya chini ambao ni zaidi kwa kipimo kwa sababu ya kukaribia sayari ya adhabu saqar huwenda mukarudi najaribu kuokoa walimwengu na hivo ili ipite kwa amani na salama bardan wa salaman ju ya walimwengu wakati wa kupambazuka kwake upande Wa North pole na mimi niko kati yenu, Lakini itakua brdan wa salaman ju ya yule alio sadikisha akamini akfwata mlinganizi wa Allah Akmtii Allah na Khalifa wake Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.


Na enyi watu wa mataifa ya ulimwengu hakika nilibaki kwenu muda mrefu umri na mimi nawaita kutoka miyaka kumi na nane katika mafano wa mwezi wa muharam hu ambao tuko ndani yake kabla miyaka kumi na nane, Na suali ambalo lajiweka lenyewe je hamu’kuona alama ishara za Allah ambazo nime wahadharisha nazo (Mvutano wa vita va Allah va hali ya hewa kwa sababu ya kukaribia sayari ya adhabu saqar) ? Ama mwaona hali ya ardhi ni ya kawaida kuanzia Alivo Nitumiliza Kwenu? Ama kwamba nyinyi kweli mwaona kuna kitu inateseka nayo ardhi imekaribia na Ardhi?! Na nimewaonya kabla kukaribia sayari ya adhabu saqar ambao itasababisha kutokezea jua kwa upande wa magharibi yake, Na lana ya Allah ju ya wadanganyifu; Na vipi kwamba mimi na ma anssar wangu twafanya bidi ili tuwaokowe, Na mashetani watu wenye mtazamo wa ungezeko la joto duniani wanafanya bidi kuwangamiza na kujiangamiza nafsi zao ili muwe sawa katika moto wa jahim; Na hivo hivo tumefafanua mtingisho wa vita va corona kwa ufafanuzi mkubwa wakati ilipo anza kisha ikateremshwa ufafanuzi wa vita va corona va kiulimwengu na tukaifafanua ufafanuzi mkubwa kuanzia mwanzo kwenye tarehe
(05-3-2020) ktoka kabla inakurubiana na miaka mitatu kwenye Bayana tulio iyandika kwa inwani: (Virusi Ya Korona Ni Kutokana Na Adhabu Ya Chini Pasni Na Adhabu Kuu Huwenda Wakaregea..)
(فيروس كورونا من العذاب الأدنى دون العذاب الأكبر لعلهم يرجِعون ..)
https://mahdialumma.net/showthread.php?p=324226
Na sijakeuka kwa kitu na wana sayansi wa matibabu na hali ya hewa wamekeuka mara elfu basi wakawazuwia na njia ya haki kaumu almaniyun wasio amini mungu basi mcheni Allah. Fa wallahi hakika ya mtu mwenye akili haumwi kwa tundu yake mara mbili na nyinyi wamewadunga wazuwiaji miongoni mwa wana sayansi wa matibabu mara elfu na wana sayansi wa hali ya hewa mara elfu! kwakua mtazamo wa ongezeko la hali ya joto duniani inao singizia wanakusudia kua itabainika athari yake kali kuanzia mwaka 2100 lakini mimi nawapa fatwa kwa haki hakika ya mtazamo wa


ongezeko la joto duniani Hajateremsha Allah utawala ndani yake; Bali nimewafundisha kutoka kwa kitabu cha Allah Al’Quran Al3adhim kwamba mtingisho wa vita hali ya hewa kwa sababu ya kukaribia sayari ya adhabu saqar, Basi mujiondoshe kwa akili yenu ya mangombe ambao hitafakari kufikia akili ya binadamu, Kisha mupeleleze ma Bayana ya Khalifa Wa Allah Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’yamani ndio mutizame je amesema ukweli Nasser Muhammad Al’yamani ama alikua ni katika Wadanganyifu? Basi Hakika imefika sayari ya ardhi katika njia ya mstari mwekundu kwa sayari ya adhabu saqar ambao itatokezea ju ya ardhi kutoka upande wa kusini na kusini mashariki na kusini magharibi ambao itasababisha kupatwa kwa jua mbingu ambao itakua ni adhimu; Yani itafinika kwenu mbingu yote; Na eeee ni adhabu ya siku ngumu kwa utisho wake nywele za vijana mabarobaro kua mvi kwa yule atakae kufuru miongoni mwao kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{فَكَيْفَ تَتَّقُونَ إِن كَفَرْتُمْ يَوْمًا يَجْعَلُ الْوِلْدَانَ شِيبًا ‎﴿١٧﴾‏ السَّمَاءُ مُنفَطِرٌ بِهِ ۚ كَانَ وَعْدُهُ مَفْعُولًا ‎﴿١٨﴾‏ إِنَّ هَٰذِهِ تَذْكِرَةٌ ۖ فَمَن شَاءَ اتَّخَذَ إِلَىٰ رَبِّهِ سَبِيلًا ‎﴿١٩﴾‏}
صدق الله العظيم [المزمل]،
Basi Wasiwazuwie wahalifu wanao zuwia ma aya za maonyo ktokana na mashetani watu na wanao zuwia wenye kiburi basi hawatoweza kuwasaidia kutokana na adhabu ya Allah kitu.


Na kwa hali zote enye ma3ashara ya ma taifa ya ulimwengu na serekali zao hakika imetangulia kuandika suluhisho la shina la mtingisho ya vita va corona na hali ya hewa basi ipelelezeni ni bora kwenu hakika mimi ni monyaji kwenu kutoka kwa Allah mbele ya adhabu kali, Na nawapa changa moto kwa uwezo wa Allah na nguvu zake kwamba mupate suluhisho kwenu ya mtingisho wa vita va Allah va ulimwengu na za corona ispokua yale nilio wapa fatwa nayo kwenye Bayana ya tangazo la suluhisho ya mtingisho ya vita va corona na hali ya hewa.


“Allahuma Mimi nakushtakia kwako machofu yangu na kuchoka mikono yangu kwa wingi kuwaonya warabu na ma ajami; Na kiasi gani nimekesha masiku na mchana kwa mzunguko wa miyaka kumi na nane na mimi najaribu kuwa’okoa waombe maghfira kwa Allah na wamtubie na wafwate kitaba cha Allah Al’quran Al3dhim na wamtwii khalifa wa Allah na mja wake Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’yamani, Ewe Allah ikiwa wajua kua mimi sijazua ju yako kua wewe Mola Mlezi Wangu umeniteuwa Khalifa wako ju ya Ulimwengu wote basi waoneshe uwadhimu wa nguvu zako na uwezo wako na kwamba wewe kweli ni kwenye kulitimiza jambo lako, Na uwateremshe shingo za walimwengu kwa khalifa wako atakae mwenye kutaka na akatae mwenye kukata”.


Na ikiwa mimi ni mrongo basi ni ju yangu urongo wangu hakika haitawapata kitu kibaya; Basi ni nani dhalimu kuliko yule atakae mzulia Allah urongo? Na hukumu ni ya Allah mbora wa kuamua na mwepesi wa hila.


Na nabashiri kwamba amri ya Allah atainyanyasa china ndio awatumie ju yao vita va corona na mifuriko haijatokea ili awanyanyase Allah China na wote ulimwenguni kwa khalifa wa Allah Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’yamani, Na sisi twawatangazia walimwengu kua china na she jin wenye sufuri ya covid watatangaza kushindwa kudhibiti ju ya mtingisho ya vita va Allah za ki corona ambazo zenye nguvu sana na kupoteza udhibitisho ju ya mtingisho ya vita va Allah za hali ya hewa, Na sasa ndio wakati basi kuweni ju ya hayo ni katika mashahidi.


Na salam ju ya mitume na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Khalifa Wa Allah Ju Ya Ulimwengu Wote; Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
وسَلامٌ على المُرسَلين والحمد لله رب العالمين..
خليفة الله على العالم بأسره؛ الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
_____
[ لقراءة البيان من الموسوعة ]
https://mahdialumma.net/showthread.php?p=394924

======== اقتباس =========

اقتباس المشاركة 394924 من موضوع سِلسِلة بيانات فَيروس كورونا وسِرّه المَكنون ..

​- 49 -
الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
24 - محرَّم - 1444 هـ
22 - 08 - 2022 مـ
08:07 صباحًا
(بحسب التّقويم الرّسميّ لأمّ القرى)

[ لمتابعة رابط المشاركة الأصلية للبيان ]
https://mahdialumma.net/showthread.php?p=394848
______________


عاجِلٌ إلى كُلّ أنصاري وكل مُسلِم يُوَحِّد الله رَبّ العالَمين ..


سَلامُ الله عليكم ورحمته وبركاته يا أحباب الله الأنصار السّابقين الأخيار ويا كُلِّ مُسلمٍ يُوَحِّدُ الله ربّ العالَمين لا يُشرِك بالله شيئًا، فلتُنقِذوا شعوب العالم مَا اسْتَطعتُم وذلك بإعلان الحَلِّ الوحيد لقارعة حرب كورونا والمناخ؛ وذلك أن يُشَمِّر كافّة الأنصار في مُختلَف الأقطار وكافَّة الباحثين الذين يُريدون أن يُنقِذوا أنفسهم ويُنقِذوا أُمّتَهم.

وأُقسِم بالله العظيم مَن يُحيِي العِظام وهي رَميم أنّه لن يُنقِذ هذا العالم بأسرِه مِن قارعة حرب كورونا والمناخ إلَّا ما جاء في إعلان الحلّ الوحيد بالقول الفصلِ وما هو بالهزل؛ ذلكم البيان الذي كتبناه بتاريخ (03 - 08 - 2021 مـ) بالعنوان التالي:

(الحَلُّ لقارعةِ حربِ كورونا والمناخ ..)

https://mahdialumma.net/showthread.php?p=357218

فالهِمَّة يا مسلمين بإعلانه للعالمين لتُنقِذوا أنفسكم وتُنقِذوا العالم بأسرِه، فما أعظم أجر مَن شارك في إعلان بيان الحلّ لقارعة حرب كورونا والمناخ ليُساعِد في إنقاذ شعوب البشر ما استطاع بكلّ حيلةٍ ووسيلةٍ إلكترونيّةٍ، فوالله إنّ كوكب الأرض دخل في مجال الخَطِّ الأحمَر لكوكب العذاب سَقَر الذي سوف يُشرِق مِن جنوب الأرض بغتةً على العالَمين وأنّ لعنة الله على الكاذبين.

اللهم إنَّها كَلَّت أناملي لكثرة ما حذَّرتُ الناس مِن عذابك كما أمرتني على مدار ثمانية عشر عامًا ليلًا ونهارًا، ولم أتناقَض في شيءٍ؛ فهل تظنّون وضعَ العالم والشعوب سواء مُنذ بدء الدّعوة المهديّة العالميّة في مثل هذا الشهر (شهر محرم لعام 1426 هـ الموافق شهر مارس لعام 2005 مـ) يعني قبل ثمانية عشر عامًا؟ وأنا مستمرٌّ الليل والنّهار أُحَذِّر البشر تأثُّر الأرض بسبب اقتراب كوكب العذاب سَقَر الآتي مِن خَطِّ القُطب الشّمالي فيُشرِق على الأرض قريبًا جدًّا مِن القُطب الجنوبي، وحَذَّرتُ البشر مُنذ سنين كثيرة مِن أعاصير يُرسِلها الله بغتةً فيها نارٌ لتقبِس - بادئ الأمر - غابات البشر ثم تتحوّل إلى رِيحٍ لتسعير النار وتسيير نار الإعصار نحو الدِّيار، وحَذَّرتُ مِن عذاب أعاصير بَحريّة، وعذاب أعاصير قَمعيّة بريّة تُدَمِّر ما يشاء الله مِن البُنيان، وحَذَّرتُ مِن سَيل العَرم في اليمن ووادي إرم ذات العِماد وطوفانات ماءٍ مُنهَمِرٍ مِن السماء، وحَذّرتُ مِن كِسَف جبال تتجزّأ إلى شظايا مِن برَدٍ، وحَذّرتُ مِن حرب الصّواعق بشكلٍ غير مَسبوق فيُصيب بها مَن يشاء ويصرفها عَمَّن يشاء، وحذرتُ مِن براكين وزلازل، وحذرتُ مِن تَصَدُّع الأرض بسبب كثرة الفيضانات، وحَذَّرت مِن سيول الجِبال الرُكاميّة بسبب تَشبُّع الجبل بالماء؛ يتحوّل الجبل برُمَّته إلى سيلٍ مِن أحجارٍ وطينٍ فتَخرُّ الجبال الركاميّة هدًّا برُمَّتها؛ سيلًا جارفًا مِن أحجارٍ وطينٍ مُدمِّرٍ، وحَذَّرتُ مِن حرب النّيازك بشكلٍ غير مَسبوقٍ (الجواري الخُنَّس المُختفيات مِن حول الأرض)، وحَذَّرتُ من كُويكب الرّاجفة والرّادفة، وحَذَّرتُ مِن عذاب الرّيح العقيم؛ كِسَف مِن جبالٍ مِن برَدٍ فيها صِرٌّ شديدٌ تأتي مِن الشَّمال الأرضيّ القُطبيّ فتعمّ الجزيرة العربيّة؛ كسفُ جبالٍ شظايا مِن برَدٍ.

وأفتيتكم بالحقّ أنّ كل هذه الأحداث هي بسبب تَناوش كوكب العذاب سَقَر فتأثَّرت أرضُ البَشَر بسبب اقترابه، إلَّا أنّ سقر الآن مُكتَسيّةٌ باللون الأسود؛ فهل ترون القمر في المحاق؟ واللون الأسود نار سَوداء حين اقترابها وقبل مرورها حتى لا ترونها فتأتيكم بغتةّ فتتحوَّل إلى اللون الأحمر حين شروقها فتبهتكم فلا تستطيعون ردّها ولا أنتم تُنظَرون يا معشر المُكذِّبين بكوكب العذاب، أفلا تُصدّقون بقول الله تعالى: {قُلْ جَاءَ الْحَقُّ وَمَا يُبْدِئُ الْبَاطِلُ وَمَا يُعِيدُ ‎﴿٤٩﴾‏ قُلْ إِن ضَلَلْتُ فَإِنَّمَا أَضِلُّ عَلَىٰ نَفْسِي ۖ وَإِنِ اهْتَدَيْتُ فَبِمَا يُوحِي إِلَيَّ رَبِّي ۚ إِنَّهُ سَمِيعٌ قَرِيبٌ ‎﴿٥٠﴾‏ وَلَوْ تَرَىٰ إِذْ فَزِعُوا فَلَا فَوْتَ وَأُخِذُوا مِن مَّكَانٍ قَرِيبٍ ‎﴿٥١﴾‏ وَقَالُوا آمَنَّا بِهِ وَأَنَّىٰ لَهُمُ التَّنَاوُشُ مِن مَّكَانٍ بَعِيدٍ ‎﴿٥٢﴾‏ وَقَدْ كَفَرُوا بِهِ مِن قَبْلُ ۖ وَيَقْذِفُونَ بِالْغَيْبِ مِن مَّكَانٍ بَعِيدٍ ‎﴿٥٣﴾‏ وَحِيلَ بَيْنَهُمْ وَبَيْنَ مَا يَشْتَهُونَ كَمَا فُعِلَ بِأَشْيَاعِهِم مِّن قَبْلُ ۚ إِنَّهُمْ كَانُوا فِي شَكٍّ مُّرِيبٍ ‎﴿٥٤﴾‏} صدق الله العظيم [سبأ]؟

وفَصَّلتُ للعالمين مِن مُحكَم القرآن العظيم تفصيلًا بحسب ما أمرني رَبّي وربّكم (الله ربّ العالمين) ولم أقل شيئًا مِن عند نفسي؛ بل آتيكم بسلطان عِلمه مِن القرآن العظيم مِن قبل الحَدَث، وذلك لكي يرى المُكَذِّبون آيات الله التي بَيَّنّاها للعالمين على الواقع الحقيقيّ فيعرفونها كما هو حال كوكب أرض العالَمين اليوم؛ وليس إلَّا مِن العذاب الأدنى الأشَدّ في العِيار بسبب اقتراب كوكب العذاب سَقَر لعلَّكم ترجعون مُحاوِلًا إنقاذ العالمين وذلك حتى تكون بردًا وسلامًا على العالمين حين شروقها مِن جِهة القُطب الجنوبيّ وأنا فيكم، ولكن تكون بردًا وسلامًا على مَن صَدَّق وآمَن واتَّبع داعي الله وأطاع الله وخليفته المَهديّ ناصر محمد اليمانيّ.

ويا معشر شعوب العالم لقد لبثتُ فيكم عُمرًا وأنا أناديكم منذ ثمانية عَشر عامًا في مثل شهر محرَّم هذا الجاري قبل ثمانِ عشرة سنةً، والسّؤال الذي يطرح نفسه ألم تُشاهِدوا آيات الله التي حَذَّرناكم منها (قوارع حرب الله المناخيّة بسبب اقتراب كوكب العذاب سقر)؟ أم إنّكم ترون حال الأرض طبيعيًّا كمثل يوم بعثني الله إليكم؟! أم إنّكم حقًّا ترون أنّ الأرض حَقًّا تُعاني مِن شيءٍ ما اقترب مِن الأرض؟! وحَذَّرناكم قبل اقتراب كوكب العذاب سَقَر والذي سوف يُسَبِّب طلوع الشمس من مغربها، وأن لعنة الله على الكاذبين؛ فكيف أنّي وأنصاري نسعى لإنقاذكم، وشياطين البشر أصحاب نظريّة الاحتباس الحراريّ يسعَون لهلاكِكم وهلاكِ أنفسهم لتكونوا معهم سواءً في نار الجحيم! وكذلك فصّلنا لكم قارعة حَرب كورونا تفصيلًا حين بدأت فمِن ثمّ أُنَزِّل التّفصيل لحرب كورونا العالميّة وفصّلناها تفصيلًا مِن البداية في تاريخ: (05 - 03 - 2020 مـ) مِن قبل ما يُقارب ثلاث سنين في البيان الذي كتبناه بعنوان:

(فيروس كورونا من العذاب الأدنى دون العذاب الأكبر لعلهم يرجِعون ..)
https://mahdialumma.net/showthread.php?p=324226

وما تناقضتُ في شيءٍ، وعلماء الطبّ والمناخ تناقَضوا ألف مرةٍ فصدّوكم عن سبيل الحقّ - قومٌ علمانيون مُلحِدون - فاتَّقوا الله، فوالله إنّ الإنسان العاقل لا يُلدَغ مِن جُحرٍ مَرَّتين وأنتم لَدغكم الصَّادُّون مِن عُلماء الطبّ ألف مرةٍ وعُلماء المناخ ألف مرة؛ كون نظريّة الاحتباس الحراريّ المَزعومة يقصدون أن يتبيّن تأثيرها الشديد بدءًا من عام 2100 مـ ولكنّي أفتيتُكم بالحقّ أنّ نظريّة الاحتباس الحراريّ ما أنزل الله بها مِن سلطانٍ؛ بل عَلَّمتكم مِن كتاب الله القرآن العظيم أنّ قارعة حرب المُناخ بسبب اقتراب كوكب العذاب سَقَر، فترفَّعوا مِن عقول البَقَر التي لا تتفكّر إلى عقول البشر، ثمّ تدبّروا في بيانات خليفة الله المهدي ناصر محمد اليماني فانظروا أصَدق ناصر محمد اليماني أم كان مِن الكاذبين؟ فقد صار كوكب الأرض في مَجال الخَطِّ الأحمر لكوكب العذاب سَقَر والذي سوف يُشرِق على الأرض مِن الجنوب والجنوب الشرقيّ والجنوب الغربيّ مُحدِثًا كسوفًا سماويًّا عظيمًا؛ أي يَحجُب عنكم السماء برُمَّتها؛ فيا له مِن عذاب يومٍ عسيرٍ يبيَضُّ مِن هولِه شَعرُ الولدان الشباب شيبًا لمَن كفر منهم تصديقًا لقول الله تعالى: {فَكَيْفَ تَتَّقُونَ إِن كَفَرْتُمْ يَوْمًا يَجْعَلُ الْوِلْدَانَ شِيبًا ‎﴿١٧﴾‏ السَّمَاءُ مُنفَطِرٌ بِهِ ۚ كَانَ وَعْدُهُ مَفْعُولًا ‎﴿١٨﴾‏ إِنَّ هَٰذِهِ تَذْكِرَةٌ ۖ فَمَن شَاءَ اتَّخَذَ إِلَىٰ رَبِّهِ سَبِيلًا ‎﴿١٩﴾‏} صدق الله العظيم [المزمل]، فلا يَصُدَّنَّكم المُجرمون الصادّون عن آيات النّذُر مِن شياطين البشر والصّادون المُستكبرون فلن يُغنوا عنكم مِن عذاب الله شيئًا.

وعلى كل حالٍ يا معشر شعوب العالم وحكوماتهم لقد سَبَق وأن كتبنا الحَلّ الجذريّ لقارعة حرب كورونا والمناخ فتدبَّروه خيرًا لكم فإنّي نذيرٌ لكم مِن الله بين يَدَي عذابٍ شديدٍ، وأتحدّاكم بحول الله وقوّته أن تجدوا لكم حَلًّا لقارعة حرب الله الكونيّة والكورونيّة إلَّا ما أفتيناكم به في بيان إعلان الحل لقارعة حرب كورونا والمناخ.

"اللهم إنّي أشكو إليك إرهاقي وكَلَّت يداي لِكَثرة ما أنذرتُ العَرَب والعَجَم؛ لَكَم سهرتُ اللياليَ والأيامَ على مدار ثمانِ عشرة سنة وأنا أحاول إنقاذهم أن يستغفروا الله ويتوبوا إليه ويتّبعوا كتاب الله القرآن العظيم ويطيعوا خليفة الله وعبده المهديّ ناصر محمد اليمانيّ، اللهم إن كنت تعلم أنّي لم أفتَرِ عليك أنّك ربِّي اصطفيتني خليفتك على العالم بأسرِه اللهم فأرِهم عظيم قوّتك وقُدرتك وأنّك حقًّا بالغُ أمرك، واخضِع أعناق العالمين لخليفتك شاء مَن شاء وأبى مَن أبى".

وإن كُنت كاذبًا فَعَليّ كذبي فلن يُصيبكم مكروهٌ؛ فمَن أظلم ممّن افترى على الله كَذِبًا؟ فالحُكم لله خير الفاصلين وأسرَع الماكرين.

وأُبَشِّر بأنّ أمر الله سوف يُخضِع الصين فيُرسل عليهم حَربًا كورونيّةً وفيضاناتٍ غير مسبوقةٍ ليُخضِع الله الصين وكافّةً العالمين لخليفة الله المهديّ ناصر محمد اليمانيّ، ونحن نُعلِن للعالمين أنّ الصين وشي جين أصحاب صفر كوفيد سوف يُعلِنون فُقدان السّيطرة على قارعة حرب الله الكورونيّة شديدة البأس وفُقدان السّيطرة على قارعة حرب الله المُناخيّة، وآن الأوان فكونوا على ذلك مِن الشّاهدين.

وسَلامٌ على المُرسَلين والحمد لله رب العالمين..
خليفة الله على العالم بأسره؛ الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
_____________
اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..