Vazi La Dhahabu Kwa Wanaume
لبس الذهب كحليٍّ للرجال محرّمٌ لكون في ذلك تشبُّه بالنساء
الإمام ناصر محمد اليماني
19 - 07 - 1435 هـ
18 - 05 - 2014 مـ
02:44 صباحاً
ــــــــــــــــــــ
Vazi La Dhahabu Kama Pambo Kwa Mwanamume imeharamishwa kwakua kwenye hilo ni kujifananisha na wanawake..
Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Juu Ya Wote Manabi na Mitume wakw Na Alihim Altayibin Na Wanao fwata Haki kutoka Kwa Mola Mlezi Wao mpaka siku ya dini, Ama Ba'ada Ya Hapo..
Hakika Kwa Kuva Vasi la Dhahabu Mwanamume inaingia katika Kujifananisha na wanawake, Kwajili ya hivo sio Dhahabu kwa Wanaume IMeharimishwa ispokua iwe ni pambo Kama Khanjar ya Kiyamani wanaweka kwenye kichwa ch janmbia Paundi haina neno hio ni pambo ya janmbia, Na Kadhalika kwa wale abao inawabidi wavishe kwenye meno yao dhahabu hakuna haraj kwa hayo kwa mwenye kutaka, Lakini Kua Atatumia Dhahabu Mwanamume afanye ni mapambo kama wanawake basi hio ni kujifananisha na wanawake, Akasema Juu Yake Sala Na Salam:
[ لَعَنَ اللهُ المُتَشَبهِينَ مِنَ الرّجالِ بالنّسَاءِ، وَالمُتشبِهاتِ مِن النّسَاءِ بالرّجَالْ ]
صدق عليه الصلاة والسلام.
[ Anawalani Allah Wanao jifananisha Katika wanaume na Wanawake Na Wanawake Wanao Jifananisha Na Wanaume ]
Sadaqa Aliyhi Al'Salat wa Al'Salam.
Na eee Ajabu Yangu Kwa Wale Ambao wanarefusha Nywele Zao basi waziwache ziteremke mpaka kwa mabega yao alafu wanadai kua wanaiga ma'Sahaba wa Nabi! Awauwe Allah Mbona Wanzua, Na hwakua Masahaba wa Mtume Wa Allah Wanajifananisha na wanawake; Bali Wallahi hakika nyoyo za waumini zinakanusha kwa wale Wanaweka nywele zao mpaka migongoni mwao na waumini wanaume wanachukia Kuwadhrau mnoo.
Basi mumche Allah enye Wenye Akili! Basi Asijifananishe Mwanamume kwa Mwanamke Na Wala Mwanamke Asijifananishe Na Wanume Basi hivo imiharamishwa.
Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabi Al3alamin..
Ndugu yenu; Alimam Almahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
أخوكم؛ الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
___________________
Kifurushi Cha Bayana
https://mahdialumma.net/showthrea...B3%D8%A7%D8%A1