{(Tunakanusha Akida ya batil ya Adhabu ya Kaburi]})






10 - 06 - 1433 هـ
02 - 05- 2012 مـ
05:18 صباحاً
ـــــــــــــــــــــ


المهديّ المنتظَر يختم بحجّة العقل والمنطق حواره مع الشيخ عمر في عقيدة عذاب القبر..


Almahdi Almuntadhar anamaliza hoja ya Akili na mantiq usawa Mazungumzo yake na Shekh Omar katika Akid ya Adhabu ya kaburi..


بسم الله الرحمن الرحيم، والصلاة والسلام على جدّي محمد رسول الله وآله الأطهار وجميع أنصار الله في كلِّ زمانٍ ومكانٍ إلى اليوم الآخر..



Bismillah Al'Ra7hman Al'Ra7him, Na Sala na salam ju ya babuyangu Muhammad Mtume Wa Allah Wa Alihi Walio twahirika Na Ma Al'Anssar Wa Allah Wote kwa kila zama na mahali mpaka siku ya mwisho..




Na ewe ndugu yangu omar Alqrshi mche Allah Alwahid Alqahar yule Ambae jela yake ni moto, Wala usipinge Bayana ya haki kwaukumbusho ile anao kuhoji Al'mahdi Al'muntadhar katika zama za hiwar mazungumzo kabla ya kudhihirika, Na kila tukismamisha hoja ju yako hukiri haki wala huja'ongonka kwa njia ilio nyoka?Isikuchukuwe izza kwa dhambi la kukiri kwa utawala wa ilimu inao nyamazisha kwa Jahili na Mwenye Ilimu, Na nakuona wataka kubatilisha fatwa zetu kuhusiana na kutoka bila hatia Mtume wa Allah Daud kutokana na walio msifu tabia zake bila ya haki kama itakavo kuja kutokamana na tafsiri ya Mashetani watu:




(Wamitaja kuwa Daud Aleyhi aslat wasalam Ana wanawake Tisini na Tisa Na kuwa amijawa na mahaba kwa mke wa moja wanajeshi wake. Na kuwa yeye alitaka huyo mwanamke awe moja kati ya wake zake, Akamwagiza yule mwanajeshi wake aende vita huwenda akauliwa amwache mke wake ndio amchukuwe Daud Aleyhi Asalat wasalam),

Na wamesema urongo Maaduwi wa Allah na Maaduwi wa Manabi wake katika Mashetani watu katika wale ambao wanadhhirisha imani na wanaficha ukafiri na mbinui,




Na ewe Ndugu yangu mkarimu omar Alqrshi, Bado nakudhania katika utu wako mkarimu dhana mzuri mpaka badae, Na ewe mwanamume mimi nakuona wataka kutowa fatwa kuwa Allah hajampa Daud Aleyhi Asllat Wa Salam mrithi wake Suleman Aleyhi Asallat Wa Asalam ila bada ya kisa cha wawili waliogombana ambao Alishtuka Daud Aleyhi Asllat Wa Asalam kuwaona gafla wamesmama mbele yake Msikitini kwakuwa Alikuwa ako katika hali ya kusujudu katika swala raka ya mwisho mra hao wamesmama mbele yake, Pamoja na kuwa imemwingia kijihofu lakini alitimiza Altashahod Na Akaitimisha kwa kutowa Slamu, Ndio wakawa wako mbele yake na yeye ilimwingia uoga kwakuwa hawakuomba idhni kuingia, Lakini Malaika haombi idhini Ya kuingia maharib misikitini kwa Manabi wa Allah madamu hakuna kwake moja kati ya wake zake,
Hakika wanateremka kwa Amri ya Allah kwa kadara ilio kadiriwa, kusadikisha kauli ya Allah Ta3al:
{وَمَا نَتَنَزَّلُ إِلَّا بِأَمْرِ رَبِّكَ لَهُ مَا بَيْنَ أَيْدِينَا وَمَا خَلْفَنَا وَمَا بَيْنَ ذَلِكَ وَمَا كَانَ رَبُّكَ نَسِيًّا} صدق الله العظيم [مريم:64].
Allah Ta3ala Asema:{ Na tunacho kiteremsha ila Kwa Amri ya Mola Wako Niyake yalioko mbele ya mikono yetu na kilioko nyuma yetu na kiliomo kati ya hayo na hakuwa Mola wako mwenye kusahau } Sadaqa Allah Al3adhim



Na kwa mfano lau ange taka idhni Jibril Aleyhi Alsallaht wa Alsalam kwa kuingia kwa Maryam nyuma ya Hijab basi hange fanya uoga kwake, Lakini amishtuka gafla yuko mbele yake mtu wakisawa'sawa, Alafu Akajilinda na Allah kwake kwakuwa Amemtisha kuwa kwake gafla mbele yake na hamjuwi, Na hivo hivo Nabi Wa Allah Daud Aleyhi Asallatu wa salam Amiogopa kwa wale waliotoka wawili Amiwaona gafla wamesmama mbele yake kwakuwa hawakuingia kwa mlango kwakuwa wamesawara wakajifanya watu mbele yake Na yeye Alikuwa yuko kwenye kusujudu katika raka ya mwisho katika kadara yake ilio kadiriwa katika kitabu kilio Andikwa, Mpaka Alipo inuwa kichwa chake kwajili ya Altashahud ya mwisho alishutaka gafla Amiona watu wawili wamismama mbele yake, Akaingiwa na hofu kwakuwa amewaona gafla wamesmama mbele yake, Na hio ndio ilimfanya Nabi Daud aogope, Na yamekuwa haya ba'ada alipo kosa Nabi Allah Daud kuhukumu mwanzo wa jambo kuhusu wawili waliogombana kwa mbuzi katika kauli yake Allah Ta3ala:
{وَدَاوُودَ وَسُلَيْمَانَ إِذْ يَحْكُمَانِ فِي الْحَرْثِ إِذْ نَفَشَتْ فِيهِ غَنَمُ الْقَوْمِ وَكُنَّا لِحُكْمِهِمْ شَاهِدِينَ ﴿78﴾ فَفَهَّمْنَاهَا سُلَيْمَانَ} صدق الله العظيم [الأنبياء:78-79].
Allah Ta3ala Asema:{Na Daud Na Suleman pindi wanahukumu katika ukulima alipo haribu mbuzi wa kaumu na tulikuwa kwa hukumu yao ni wenye kushuhudia (78) Tukamfahamisha Suleman} Sadaqa Allahu Al3adhim [Alanmbia:78:79]


Hakika ila tu Allah Aliwatuma Malaika wawili wajifanye ni wale wawili walioshtakiana, lakini mimi naona kuwa Omar Alqrshi anasema kuwa suleman Alikuwa hayuko pindi alipo hukumu Nabi Wa Allah Daud kati ya walioshtakiana wale waliojitokeza msikisitni kwa dalili kauli ya Allah Ta3ala:
{وَاذْكُرْ عَبْدَنَا دَاوُودَ ذَا الْأَيْدِ إِنَّهُ أَوَّابٌ ﴿17﴾ إِنَّا سَخَّرْنَا الْجِبَالَ مَعَهُ يُسَبِّحْنَ بِالْعَشِيِّ وَالْإِشْرَاقِ ﴿18﴾ وَالطَّيْرَ مَحْشُورَةً كُلٌّ لَّهُ أَوَّابٌ ﴿19﴾ وَشَدَدْنَا مُلْكَهُ وَآتَيْنَاهُ الْحِكْمَةَ وَفَصْلَ الْخِطَابِ ﴿20﴾ وَهَلْ أَتَاكَ نَبَأُ الْخَصْمِ إِذْ تَسَوَّرُوا الْمِحْرَابَ ﴿21﴾ إِذْ دَخَلُوا عَلَىٰ دَاوُودَ فَفَزِعَ مِنْهُمْ قَالُوا لَا تَخَفْ خَصْمَانِ بَغَىٰ بَعْضُنَا عَلَىٰ بَعْضٍ فَاحْكُم بَيْنَنَا بِالْحَقِّ وَلَا تُشْطِطْ وَاهْدِنَا إِلَىٰ سَوَاءِ الصِّرَاطِ ﴿22﴾ إِنَّ هَـٰذَا أَخِي لَهُ تِسْعٌ وَتِسْعُونَ نَعْجَةً وَلِيَ نَعْجَةٌ وَاحِدَةٌ فَقَالَ أَكْفِلْنِيهَا وَعَزَّنِي فِي الْخِطَابِ ﴿23﴾ قَالَ لَقَدْ ظَلَمَكَ بِسُؤَالِ نَعْجَتِكَ إِلَىٰ نِعَاجِهِ وَإِنَّ كَثِيرًا مِّنَ الْخُلَطَاءِ لَيَبْغِي بَعْضُهُمْ عَلَىٰ بَعْضٍ إِلَّا الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ وَقَلِيلٌ مَّا هُمْ وَظَنَّ دَاوُودُ أَنَّمَا فَتَنَّاهُ فَاسْتَغْفَرَ رَبَّهُ وَخَرَّ رَاكِعًا وَأَنَابَ ﴿24﴾ فَغَفَرْنَا لَهُ ذَٰلِكَ وَإِنَّ لَهُ عِندَنَا لَزُلْفَىٰ وَحُسْنَ مَآبٍ ﴿25﴾ يَا دَاوُودُ إِنَّا جَعَلْنَاكَ خَلِيفَةً فِي الْأَرْضِ فَاحْكُم بَيْنَ النَّاسِ بِالْحَقِّ وَلَا تَتَّبِعِ الْهَوَىٰ فَيُضِلَّكَ عَن سَبِيلِ اللَّـهِ إِنَّ الَّذِينَ يَضِلُّونَ عَن سَبِيلِ اللَّـهِ لَهُمْ عَذَابٌ شَدِيدٌ بِمَا نَسُوا يَوْمَ الْحِسَابِ ﴿26﴾ وَمَا خَلَقْنَا السَّمَاءَ وَالْأَرْضَ وَمَا بَيْنَهُمَا بَاطِلًا ذَٰلِكَ ظَنُّ الَّذِينَ كَفَرُوا فَوَيْلٌ لِّلَّذِينَ كَفَرُوا مِنَ النَّارِ ﴿27﴾ أَمْ نَجْعَلُ الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ كَالْمُفْسِدِينَ فِي الْأَرْضِ أَمْ نَجْعَلُ الْمُتَّقِينَ كَالْفُجَّارِ ﴿28﴾ كِتَابٌ أَنزَلْنَاهُ إِلَيْكَ مُبَارَكٌ لِّيَدَّبَّرُوا آيَاتِهِ وَلِيَتَذَكَّرَ أُولُو الْألباب ﴿29﴾ وَوَهَبْنَا لِدَاوُودَ سُلَيْمَانَ ۚ نِعْمَ الْعَبْدُ إِنَّهُ أَوَّابٌ ﴿30﴾} صدق الله العظيم [ص].
Allah Ta3ala Asema:{Kumbusha Mja wetu Daud mwenye nguvu hakika yeye ni(Awab) Mwingi wa kutubia (17) hakika sisi tumizifanya majabali zinamsabeh pamoja na yeye katika mchana na kukipambazuka(18) Na Mandege wote wamekusanywa kwake wanam'nyenyekea (19) Na tumimpa nguvu katika ufalme wake na tukampa hikma na ufafanuzi katika maelezo(20) Na je umipata habari za waliogombana pindi walipo sawirisha ndani ya Almihrab (21) Pindi walipo ingia kwa Daud akawaogopa wakamwambia usiwe na hofu tumigombana sisi kwa sisi twataka utuhukumu kwa sawa wala usijiamulie na utungoze njia ya sawa (22) Hakika huyu ndugu yangu ana kondoo wa kike tisini na tisa; na mimi nina kondoo mke mmoja. Akasema: Nipe huyo! Na amenishinda kwa maneno. (23) Akasema: Kwe li amekudhulumu kwa kumtaka kondoo wako mmoja kuongezea kwenye kondoo wake. Na hakika washirika we ngi hudhulumiana wao kwa wao. Isipokuwa walioamini na wakatenda mema. Na hao ni wachache. Na Daud akaona kuwa tumemfanyia mtihani. Basi akamwomba maghufira Mola Wake na akaanguka kunyenyekea na kutubia (24) tukamsamehe kwa hilo jambo hakika yeye ni wakaribu na anao kwetu mapokezi mazuri (25) Ewe Daud hakika tumikuweka khalifa katika Ardhi basi hukumu baina watu kwa haki wala usifwate matamanio ikupoteze kwa njia ya Allah hakika wale wanao potea kwa njia ya Allah watapata Adhabu kali sana kwakusahau siku ya hisabu (26) Na sikumba mbingu wala Alrdhi kwabatil hio ndio dhana ya wale walio kufuru basi ole wao wale walio kufuru kutokana na moto (27) Ama tufanya wale walio amini kama wafisidifu ama tufanye wachaji mungu kama waovu (28) Kitabu tumikiteremsha kwako kilo barikiwa ili watadabar na kukumbuka aya zake wale wanao akili (29) Na Tukamtunukia Daud Suleman Mja mzuri hakika yeye ni mwenye kurudi (30) Sadaqa Allah Al3adhim [Swad].


Na hoja ya Omar Alqrshi ni kauli ya Allah Ta3ala:
{وَوَهَبْنَا لِدَاوُودَ سُلَيْمَانَ نِعْمَ الْعَبْدُ إِنَّهُ أَوَّابٌ} صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema:{Tulitmpa Daud Suleman Mja Mzuri Hakika Yeye ni Awab}Sadaqa Allah Al3adhim, Alafu anamjibu Alimam Almahdi Nasser Muhammad Na Manabi wote swala na salam ju yao Na Nasema: Lakini ewe omar habari imikuja kwenye kisa cha wale wali gombana wakasawir Al mihrab Na Haijawa kupewa bada ya hapo, Na hawakuja kumbashiria kwa Nabi wa Allah Suleman kwakuwa Allah ashampa Daud kabla, kwadalili kauli ya Allah Ta3ala:
{وَوَهَبْنَا لِدَاوُودَ سُلَيْمَانَ نِعْمَ الْعَبْدُ إِنَّهُ أَوَّابٌ} صدق الله العظيم،
Allah ATa3ala Asema:{Na tukampa Daud Suleman Mja mwema hakika yeye ni Awab} Sadaqa Allah Al3adhim, Na lakini omar asema bali imipatikana kupewa bada ya hapo kwa dalili ya aya hi kauli ya Allah Ta3ala:
{وَوَهَبْنَا لِدَاوُودَ سُلَيْمَانَ نِعْمَ الْعَبْدُ إِنَّهُ أَوَّابٌ} صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema: {Na tulimpa Daud Suleman Mja mwema hakika yeye ni wakurudi} Sadaqa Allah Al3adhim, Alafu tuarudishia jibu ju ya omar na Nasema: hivi neno la "wahaba"tumempa si yamnisha ni kitu kishatendeka ewe Omar? Allah Ta3ala Asema:
{وَوَهَبْنَا لَهُم مِّن رَّحْمَتِنَا وَجَعَلْنَا لَهُمْ لِسَانَ صِدْقٍ عَلِيّاً} صدق الله العظيم [مريم:50]
Allah Ta3ala Asema:{Na tukwapa kutokana na ra7hama na Tukawajalia kwao ulimi wa ukweli ulioju} Sadaqa Allah Al3adhim [Maryam:50],
Na hivo pia Amesema Allah Ta3ala:
{وَوَهَبْنَا لَهُ أَهْلَهُ وَمِثْلَهُم مَّعَهُمْ رَحْمَةً مِّنَّا وَذِكْرَى لِأُوْلِي الْألباب} صدق الله العظيم [ص:43].

Allah Ta3ala Asema:{Na tukampa yeye Ahli yake na kama wao wawe na wao Rahma kutoka kwetu na Ukumbusho kwaWenye{Albab}Akili}Sadaqa Allah Ala3dhim,


Na swali linajitokeza lenyewe na jee hakumpa Allah Nabi wake Ayub mkewake ila bada kuumliza kafara yake? Na jawabu mutalikuta katika hukumu ya kitabu:
{خُذْ بِيَدِكَ ضِغْثًا فَاضْرِب بِّهِ وَلَا تَحْنَثْ إِنَّا وَجَدْنَاهُ صَابِرًا نِّعْمَ الْعَبْدُ إِنَّهُ أَوَّابٌ} صدق الله العظيم [ص:44].
Allah Ta3ala Asema:{ iNa shika kitita cha vijiti mkononi mwako, kisha ndio upige kwacho, wala usivunje kiapo. Hakika tulimkuta mwenye subira, mbora wa waja, kwa hakika alikuwa mwingi wa kutubu.) Sadaqa Allah Al3adhim [Swad:44]


Kwakuwa Amiapa atampiga mkewake kwa jili ya kitu (falani) Na hivo hivo kauli ya Allah Ta3ala katika kisa cha Nabi Allah Ibrahim Aleyhi Asalat Wasalam:
{وَوَهَبْنَا لَهُ إِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَجَعَلْنَا فِي ذُرِّيَّتِهِ النُّبُوَّةَ وَالْكِتَابَ وَآتَيْنَاهُ أَجْرَهُ فِي الدُّنْيَا وَإِنَّهُ فِي الْآخِرَةِ لَمِنَ الصَّالِحِينَ} صدق الله العظيم [العنكبوت:27].
Allah Ta3ala Asema:{Na tukampa Is'haq Na Ya3qub na tukajalia katika kizazi chake Unabi na kitabu na tukampa ujira wake katika dunia na yeye akhira katika watu wema}Sadaqa Allah Al3adhim [Al3ankabut:27]


Hakika alikuwa akizungumza Allah kwa "Wahab"kupewa kitu kishapita; kitendo kilio pita, Na hivo hivo kwenye kisa cha Nabi Allah Daud
{{وَوَهَبْنَا لِدَاوُودَ سُلَيْمَانَ نِعْمَ الْعَبْدُ إِنَّهُ أَوَّابٌ}}} صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema:{Na tukampa Daud Suleman Mja mwema hakika yeye ni mwenye kurudi} Sadaqa Allah Al3adhim, Na kwanini unatoa herufu kutoka mahali pake ilio kusudiwa ewe Omar? Ama wewe wataka kumtowa Nasser Muhammad Alyamani Na Ma Alanssar wake kutokana na mzaungumzo kwenye Agida ya Adhabu ya kaburi kwa makafiri? Na tayari tushasmamisha hoja ju yako na ni rahisi sana kusmamisha hoja ju yako na wote wenye Akida ya Adhabu ya Kaburi kwakuwa urongo kamba yake ni fupi, Na wewe wajuwa vizuri lau tunge fukuwa makaburi ya makafiri kwa utajo na walio Amini hatungepata pepo wala moto ewe Omar,


Na labda fadhilat Alshekh Omar Anasema:" ngoja taratibu ewe Nasser Muhammad mwenye kudai ni Almahdi Almuntadhar, hakika roho yapotea mbele za macho na waliokufa wanadhibiwa katika moto ama wana'nemeka katika pepo kaburini lakini macho haioni" Alafu anamrudishia jibu Almahdi Almuntadhar wa kweli kutoka Mola wake na Nasema: ewe Omar ikiwa Roho imifichika kwa macho ya watu lakini pepo na moto hajaificha Allah kwa macho kwasababu ni kitu cha kuonekana ewe Omar, basi musiwape sababu Makafiri ju ya waislamu kwakuwa ni rahisi Sana kusmamisha hoja kuhusu uzushi wa Adhabu ya kaburi Ambayo hakuteremsha Allah utawala katikahukumu ya Alquran


Na huwenda Omar kutaka kusema: Lakini Allah amitupa fatwa katika hukumu ya Alquran katika kauli yake kuhusu kaum ya Nu7h wanadhibiwa kwenye makaburi yao, Akasema Allah Ta3ala:
{مِّمَّا خَطِيئَاتِهِمْ أُغْرِقُوا فَأُدْخِلُوا نَارًا فَلَمْ يَجِدُوا لَهُم مِّن دُونِ اللَّـهِ أَنصَارًا ﴿25﴾ وَقَالَ نُوحٌ رَّبِّ لَا تَذَرْ عَلَى الْأَرْضِ مِنَ الْكَافِرِينَ دَيَّارًا ﴿26﴾ إِنَّكَ إِن تَذَرْهُمْ يُضِلُّوا عِبَادَكَ وَلَا يَلِدُوا إِلَّا فَاجِرًا كَفَّارًا ﴿27﴾} صدق الله العظيم [نوح
Amesema Allah Ta3ala:{Kwa yale makosa yao walizamishwa wakaingizwa motoni na hawakupata mbali na Allah wenye kuwanusuru(25) Akasema Nu7h ewe Mola wangu usiweache katika Ardhi nyumba ya makafiri(26)Hakika ukiwawacha watawapoteza waja wako na hawatoza ila mpotevu kafiri(27) Sadaqa Allah Al3adhim [Nu7h].

Na hivo hivo firaun na kaumu yake:
{فَوَقَاهُ اللَّـهُ سَيِّئَاتِ مَا مَكَرُوا وَحَاقَ بِآلِ فِرْعَوْنَ سُوءُ الْعَذَابِ ﴿45﴾ النَّارُ يُعْرَضُونَ عَلَيْهَا غُدُوًّا وَعَشِيًّا وَيَوْمَ تَقُومُ السَّاعَةُ أَدْخِلُوا آلَ فِرْعَوْنَ أَشَدَّ الْعَذَابِ ﴿46﴾} صدق الله العظيم [غاف

Allah Ta3ala Asema: { Na Akmlinda Allah na maovu ya vitimbi wanayo yafanya ikawastahiki kwa Al friaon adhabu mbaya (45) Moto unapitishwa juyake usiku na mchana na siku itakapo smama saa waingizeni Al firaun adhabu kali zaidi (46)} Sadaqa Allah Al3adhim [Ghafir]


Alafu Anasema Omar:" Hio si ni dalili kuwa wao wanadhibiwa katika makaburi yao?" Alafu anamrudishia jibu Almahdi Almuntadhar na nasema: Bali wanadhibiwa motoni ewe Omar, Na umogope Allah Alwa7hid Alqahar, Na musiondoshe harufu ya maneno ya Allah kutoka na pahali pake ya kweli wala hawakuzikwa kaum ya Nu7h bali wamizamishwa ikawa mili yao ni chakula cha ma papa baharini, Na hivo hivo mili ya kaum firaon walizamishwa wakawa mili yao ni chakula cha masamaki baharini ila firaon pekeyake, kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{الْيَوْمَ نُنَجِّيكَ بِبَدَنِكَ لِتَكُونَ لِمَنْ خَلْفَكَ آَيَةً} صدق الله العظيم [يونس:92].
Allah Ta3ala Asema:{Leo tunakuokowa na mwiliwako ili uwe alama kwa wale watako kuja nyuma bada yako} [Yunus:92].


Na hivo hivo firaon hakuzikwa akadhibiwa kwa kaburi yake kwakuwa Adhabu ni kwa nafsi wala sio kwa mwili ewe Omar, kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{وَلَوْ تَرَى إِذِ الظَّالِمُونَ فِي غَمَرَاتِ الْمَوْتِ وَالْمَلآئِكَةُ بَاسِطُواْ أَيْدِيهِمْ أَخْرِجُواْ أَنفُسَكُمُ الْيَوْمَ تُجْزَوْنَ عَذَابَ الْهُونِ بِمَا كُنتُمْ تَقُولُونَ عَلَى اللّهِ غَيْرَ الْحَقِّ وَكُنتُمْ عَنْ آيَاتِهِ تَسْتَكْبِرُونَ} صدق الله العظيم [الأنعام:93].
Allah Ta3ala Asema:{Na lau ungekuwa waona madhalimu katika ulevi wa mauti na Malaika waminyosha mikono yao toni nafsi zenu leo munalipwa adhabu Alhauni kwa yale mulikuwa mukisema ju ya Allah bila haki na mulikuwa kwa aya zake munafanya kiburi} Sadaqa Allah Al3adhim [Alan3am:92]


Kwajili ya hivo hawakuzikwa makafiri katika kaumu ya Nu7h wala makafiri wa Nabia wa Allah Musaa bali wamikwisha gharikishwa:
{فَأُدْخِلُوا نَارًا فَلَمْ يَجِدُوا لَهُم مِّن دُونِ اللَّهِ أَنصَارًا} صدق الله العظيم [نوح:25].
Allah Ta3ala Asema:{Wakaingizwa motoni na hawakupata mbali na Allah mwenye kuwanusuru}:Sadaqa Allah Al3adhim[Nu7h:25]


Na ishatangulia bayana ya sehemu waliko motoni kwenye anga ya ulimwengu katika sayari ya moto ewe Omar, kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{مَا كَانَ لِيَ مِنْ عِلْمٍ بِالْمَلَإِ الْأَعْلَىٰ إِذْ يَخْتَصِمُونَ ﴿69﴾ إِن يُوحَىٰ إِلَيَّ إِلَّا أَنَّمَا أَنَا نَذِيرٌ مُّبِينٌ ﴿70﴾} صدق الله العظيم [ص
Allah Ta3ala Asema:{Sikuwa mimi mwenye kujuwa kwa watu walioko juu wakigombana(69)Hakika napewa wa7hyu ila mimi ni monyaji alio wazi(79)} Sadaqa Allah Al3adhim [Saad]


Na huenda kutaka Omar kusema:" Na ni nani wale kaumu wanao gombana?" Na Alafu anampa jibu Almahdi Almuntadhar na Nasema: Hao ndio makafiri katika Adhabu Ingine mbali na Adhabu siku ya hisabu katika hukumu ya kitabu. kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{وَآخَرُ مِن شَكْلِهِ أَزْوَاجٌ ﴿58﴾ هَـٰذَا فَوْجٌ مُّقْتَحِمٌ مَّعَكُمْ لَا مَرْحَبًا بِهِمْ إِنَّهُمْ صَالُو النَّارِ ﴿59﴾ قَالُوا بَلْ أَنتُمْ لَا مَرْحَبًا بِكُمْ أَنتُمْ قَدَّمْتُمُوهُ لَنَا فَبِئْسَ الْقَرَارُ ﴿60﴾ قَالُوا رَبَّنَا مَن قَدَّمَ لَنَا هَـٰذَا فَزِدْهُ عَذَابًا ضِعْفًا فِي النَّارِ ﴿61﴾} صدق الله العظيم [ص].
Allah Ta3ala Asema:{Na ingine mfano zimefanana (58) Hi poti linaingia na nyinyi laja kwenu hakuna mapokezi ju yao hakika hao wataingia motoni (59)Wakasema bali nyinyi hamuna mapokezi bali nynyi mulituletea basi mamuzi maovu mno(60)Wakasema ewe Mola wetu mwenye kutuletea hi mongeze adhabu zaidi katika moto(61)} Sadaqa Allah Al3adhim [Saad].

Ewe Omar tada'bar kwa kina na ufikirie huwenda ukaona bayana ya kweli ya ukumbusho ambao anakuhoji nayo Almahdi Almuntadhar Nasser Muhammad kutoka Mola wako, Akasema Allah Ta3ala:
{مُتَّكِئِينَ فِيهَا يَدْعُونَ فِيهَا بِفَاكِهَةٍ كَثِيرَةٍ وَشَرَابٍ ﴿51﴾ وَعِندَهُمْ قَاصِرَاتُ الطَّرْفِ أَتْرَابٌ ﴿52﴾ هَـٰذَا مَا تُوعَدُونَ لِيَوْمِ الْحِسَابِ ﴿53﴾ إِنَّ هَـٰذَا لَرِزْقُنَا مَا لَهُ مِن نَّفَادٍ ﴿54﴾ هَـٰذَا وَإِنَّ لِلطَّاغِينَ لَشَرَّ مَآبٍ ﴿55﴾ جَهَنَّمَ يَصْلَوْنَهَا فَبِئْسَ الْمِهَادُ ﴿56﴾ هَـٰذَا فَلْيَذُوقُوهُ حَمِيمٌ وَغَسَّاقٌ ﴿57﴾ وَآخَرُ مِن شَكْلِهِ أَزْوَاجٌ ﴿58﴾ هَـٰذَا فَوْجٌ مُّقْتَحِمٌ مَّعَكُمْ لَا مَرْحَبًا بِهِمْ إِنَّهُمْ صَالُو النَّارِ ﴿59﴾ قَالُوا بَلْ أَنتُمْ لَا مَرْحَبًا بِكُمْ ۖ أَنتُمْ قَدَّمْتُمُوهُ لَنَا ۖ فَبِئْسَ الْقَرَارُ ﴿60﴾ قَالُوا رَبَّنَا مَن قَدَّمَ لَنَا هَـٰذَا فَزِدْهُ عَذَابًا ضِعْفًا فِي النَّارِ ﴿61﴾ وَقَالُوا مَا لَنَا لَا نَرَىٰ رِجَالًا كُنَّا نَعُدُّهُم مِّنَ الْأَشْرَارِ ﴿62﴾ أَتَّخَذْنَاهُمْ سِخْرِيًّا أَمْ زَاغَتْ عَنْهُمُ الْأَبْصَارُ ﴿63﴾ إِنَّ ذَٰلِكَ لَحَقٌّ تَخَاصُمُ أَهْلِ النَّارِ ﴿64﴾ قُلْ إِنَّمَا أَنَا مُنذِرٌ وَمَا مِنْ إِلَـٰهٍ إِلَّا اللَّـهُ الْوَاحِدُ الْقَهَّارُ ﴿65﴾ ربّ السماوات وَالْأَرْضِ وَمَا بَيْنَهُمَا الْعَزِيزُ الْغَفَّارُ ﴿66﴾ قُلْ هُوَ نَبَأٌ عَظِيمٌ ﴿67﴾ أَنتُمْ عَنْهُ مُعْرِضُونَ ﴿68﴾ مَا كَانَ لِيَ مِنْ عِلْمٍ بِالْمَلَإِ الْأَعْلَىٰ إِذْ يَخْتَصِمُونَ ﴿69﴾} صدق الله العظيم [ص
Allah Ta3ala Asema:{Wamitegemea ndani yake waitisha matunda mengi na vinywaji(51)Na wako na wao wenye kufupisha macho atrab(52)Haya ndio mulikuwa mukiahidiwa siku ya hisabu(53)Hakika hi ni Riziki yetu haimaliziki(54)hivo basi kwa wale waovu watapata mapokezi ya maov (55) Jahanam watafikishwa maovu mnuo makalio yao(56) hivo na waonje maji moto na ghasak(57)Na ingine Mfano wa huwo usaha (58) Na hilo poti lingine hakika wao hawana mapokezi wataingia motoni (59) wakasema bali nyinyi hamuna mapokezi nyinyi mulituletea mamuzi maovu mno(60)wakasema Ewe Mola wetu mzidishie adhabu yule alio tuletea haya adhabu kali zaidi(61)Wakasema mbona hatuoni wanaume tuliwahisabu katika watu wa shari(62)Tumi wachukulia kuwakejeli ama macho haikuwaona(63)Hakika hivo ndivo wanavo gombana watu wa motoni (64) Sema hakika mimi ni mu'onayaji tu na hakuna Mungu ispokuwa Allah Alwa7hid Alqahar(65)Mola wa mbingu na Ardhi na kiliomo ndani yake Al3aziz Alghafar(66)Sema hi ni habari kubwa kabisa (67) nyinyi kwa hayo munakanusha (68) Sikuwa najuwa kwa walioko juu pindi wakigombana (68)} Sadaqa Allah Al3adhim [Sadaqa Allah Al3adhim [Saad].




Na Angalia ewe Omar mageuzo kwenye ukumbusho kutoka ukumbusho wa Adhabu ya siku ya hisabu mpaka Adhabu ingine kabla siku ya hisabu,Akasema Allah Ta3ala:
{هَـٰذَا وَإِنَّ لِلطَّاغِينَ لَشَرَّ مَآبٍ ﴿55﴾ جَهَنَّمَ يَصْلَوْنَهَا فَبِئْسَ الْمِهَادُ ﴿56﴾ هَـٰذَا فَلْيَذُوقُوهُ حَمِيمٌ وَغَسَّاقٌ ﴿57﴾ وَآخَرُ مِن شَكْلِهِ أَزْوَاجٌ ﴿58﴾ هَـٰذَا فَوْجٌ مُّقْتَحِمٌ مَّعَكُمْ لَا مَرْحَبًا بِهِمْ إِنَّهُمْ صَالُو النَّارِ ﴿59﴾ قَالُوا بَلْ أَنتُمْ لَا مَرْحَبًا بِكُمْ أَنتُمْ قَدَّمْتُمُوهُ لَنَا فَبِئْسَ الْقَرَارُ ﴿60﴾ قَالُوا رَبَّنَا مَن قَدَّمَ لَنَا هَـٰذَا فَزِدْهُ عَذَابًا ضِعْفًا فِي النَّارِ ﴿61﴾ وَقَالُوا مَا لَنَا لَا نَرَىٰ رِجَالًا كُنَّا نَعُدُّهُم مِّنَ الْأَشْرَارِ ﴿62﴾ أَتَّخَذْنَاهُمْ سِخْرِيًّا أَمْ زَاغَتْ عَنْهُمُ الْأَبْصَارُ ﴿63﴾ إِنَّ ذَٰلِكَ لَحَقٌّ تَخَاصُمُ أَهْلِ النَّارِ ﴿64﴾ قُلْ إِنَّمَا أَنَا مُنذِرٌ وَمَا مِنْ إِلَـٰهٍ إِلَّا اللَّـهُ الْوَاحِدُ الْقَهَّارُ ﴿65﴾ ربّ السماوات وَالْأَرْضِ وَمَا بَيْنَهُمَا الْعَزِيزُ الْغَفَّارُ ﴿66﴾ قُلْ هُوَ نَبَأٌ عَظِيمٌ ﴿67﴾ أَنتُمْ عَنْهُ مُعْرِضُونَ ﴿68﴾ مَا كَانَ لِيَ مِنْ عِلْمٍ بِالْمَلَإِ الْأَعْلَىٰ إِذْ يَخْتَصِمُونَ ﴿69﴾} صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema: {hivo basi kwa wale waovu watapata mapokezi maovu (55)Jahanam watafikishwa maovu mnuo makalio yao(56)hivo na waonje maji moto na usaha (57) Na ingine Mfano wa huwo yamifanana (58) Na hilo poti lingine laja kwenu hakika wao hawana mapokezi wataingia motoni (59) wakasema bali nyinyi hamuna mapokezi nyinyi mulituletea mamuzi maovu mno (60) wakasema Ewe Mola wetu mzidishie adhabu yule alio tuletea haya adhabu kali zaidi(61)Wakasema mbona hatuoni wanaume tuliwahisabu katika watu wa waovu (62)Tumi wachukulia kuwakejeli ama macho haikuwaona (63) Hakika hivo ndivo wanavo gombana watu wa motoni (64) Sema hakika mimi ni mu'onayaji tu na hakuna Mungu ispokuwa Allah Alwa7hid Alqahar (65) Mola wa mbingu na Ardhi na kiliomo ndani yake Al3aziz Alghafar (66) Sema hi ni habari kubwa kabisa (67) nyinyi kwa hayo munakanusha (68) Sikuwa najuwa kwa walioko ju pindi wakigombana (69)} Sadaqa Allah Al3adhim [Sadaqa Allah Al3adhim [Saad].



Na Ama kauli ya Allah Ta3ala:
{هَـٰذَا وَإِنَّ لِلطَّاغِينَ لَشَرَّ مَآبٍ ﴿55﴾ جَهَنَّمَ يَصْلَوْنَهَا فَبِئْسَ الْمِهَادُ ﴿56﴾ هَـٰذَا فَلْيَذُوقُوهُ حَمِيمٌ وَغَسَّاقٌ ﴿57﴾} صدق الله العظي،
Allah Ta3ala Asema:{hivo basi kwa wale waovu watapata mapokezi maovu (55) Jahanam watafikishwa maovu mnuo makalio yao (56) hivo na waonje maji moto na Usaha (57)} Sadaqa Allah Al3adhim,


Na Yeye Anahusisha utajo hu wa Adhabu ya siku ya Hisabu. Na Ama Adhabu ingine kabla ya Siku Ya Hisabu Anahusisha utajo kauli ya Allah Ta3ala:
{وَآخَرُ مِن شَكْلِهِ أَزْوَاجٌ ﴿58﴾ هَـٰذَا فَوْجٌ مُّقْتَحِمٌ مَّعَكُمْ لَا مَرْحَبًا بِهِمْ إِنَّهُمْ صَالُو النَّارِ ﴿59﴾ قَالُوا بَلْ أَنتُمْ لَا مَرْحَبًا بِكُمْ ۖ أَنتُمْ قَدَّمْتُمُوهُ لَنَا ۖ فَبِئْسَ الْقَرَارُ ﴿60﴾ قَالُوا رَبَّنَا مَن قَدَّمَ لَنَا هَـٰذَا فَزِدْهُ عَذَابًا ضِعْفًا فِي النَّارِ ﴿61﴾ وَقَالُوا مَا لَنَا لَا نَرَىٰ رِجَالًا كُنَّا نَعُدُّهُم مِّنَ الْأَشْرَارِ ﴿62﴾ أَتَّخَذْنَاهُمْ سِخْرِيًّا أَمْ زَاغَتْ عَنْهُمُ الْأَبْصَارُ ﴿63﴾ إِنَّ ذَٰلِكَ لَحَقٌّ تَخَاصُمُ أَهْلِ النَّارِ ﴿64﴾ قُلْ إِنَّمَا أَنَا مُنذِرٌ ۖ وَمَا مِنْ إِلَـٰهٍ إِلَّا اللَّـهُ الْوَاحِدُ الْقَهَّارُ ﴿65﴾ ربّ السماوات وَالْأَرْضِ وَمَا بَيْنَهُمَا الْعَزِيزُ الْغَفَّارُ ﴿66﴾ قُلْ هُوَ نَبَأٌ عَظِيمٌ ﴿67﴾ أَنتُمْ عَنْهُ مُعْرِضُونَ ﴿68﴾ مَا كَانَ لِيَ مِنْ عِلْمٍ بِالْمَلَإِ الْأَعْلَىٰ إِذْ يَخْتَصِمُونَ﴿69﴾} صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema: {Na ingine Mfano wa huwo yamifanana (58) Na hilo poti lingine laja kwenu hakika wao hawana mapokezi wataingia motoni (59) wakasema bali nyinyi hamuna mapokezi nyinyi mulituletea mamuzi maovu mno (60) wakasema Ewe Mola wetu mzidishie adhabu yule alio tuletea haya adhabu kali zaidi (61) Wakasema mbona hatuoni wanaume tuliwahisabu katika watu wa waovu (62)Tumi wachukulia kuwakejeli ama macho haikuwaona (63) Hakika hivo ndivo wanavo gombana watu wa motoni (64) Sema hakika mimi ni mu'onayaji tu na hakuna Mungu ispokuwa Allah Alwa7hid Alqahar (65) Mola wa mbingu na Ardhi na kiliomo ndani yake Al3aziz Alghafar (66) Sema hi ni hanari kubwa kabisa (67) nyinyi kwa hayo munakanusha (68) Sikuwa najuwa kwa walioko juu pindi wakigombana (69)} Sadaqa Allah Al3adhim [Sadaqa Allah Al3adhim [Saad]


Angalia ewe Omar jibu la ma Uma yalio pita kwa Malaika wa Alra7hman pindi walipo waeleza kufika poti jipya katika ma Ummah wale ambao waliwafwata akawatumilizia Allah Mtume wakawakadhibisha Akawangamiza Allah akawaingiza motoni hapo hapo walipo kufa, Wakasema walindaji wa Jahanam kwa Ma Ummah walio pita
{:هَذَا فَوْجٌ مُّقْتَحِمٌ مَّعَكُمْ} {Hilo pote linaigizwa na nyinyi}
, Wakajibu Ummah lilo pita Wakasema

{ لَا مَرْحَبًا بِهِمْ إِنَّهُمْ صَالُو النَّارِ} {Hakuna mapokezi kwao hakika wao watfikishwa motoni}
. Alafu wakawajibu wageni wapya {
:{قَالُوا بَلْ أَنتُمْ لَا مَرْحَبًا بِكُمْ أَنتُمْ قَدَّمْتُمُوهُ لَنَا فَبِئْسَ الْقَرَارُ}
صدق الله العظيم.

{Wakasema Bali nyinyi hamuna mapokezi kwenu hakika nyinyi ndio mulituletea hayo basi mamuzi maovu mno}
Sadaqa Allah Al3adhim,

Lakini ewe Omar hakika wageni wapya hawakuona wanaume waliwaua kwa kuwa wamifwata manabi wa Allah na kukanusha miyungu yao wakadhani ni watu wa shari kama munavo mdhania Almahdi Almuntadhar na Ma Al Anssar, Lakini hawakuwaona mbele yao katikamoto wakasema:
وَقَالُوا مَا لَنَا لَا نَرَىٰ رِجَالًا كُنَّا نَعُدُّهُم مِّنَ الْأَشْرَارِ ﴿62﴾ أَتَّخَذْنَاهُمْ سِخْرِيًّا أَمْ زَاغَتْ عَنْهُمُ الْأَبْصَارُ ﴿63﴾} صدق الله العظيم،
Allah Ta3ala Asema:{Wakasema mbona hatuwaoni wanaume tulikuwa tukiwahisabu ni katika wa waovu (62)Tuliwachukulia kukejeli Ama macho haikuwaona (63)} Sadaqa Allah Al3adhim, Na Lakini Wako wapi wao ewe Omar? Na kwanini hawakuwaona Motoni na waliwauwa kabla Allah hajawangamiza? Na walikufa kabla yao na hawakuwa'ona motoni makafiri wale waliwauwa kwa sababu wamifwata haki kutoka kwa Mola Wao sababu walikuwa wanawaona ni watu wa shari, Lakini hawakuwa'ona motoni!
وَقَالُوا مَا لَنَا لَا نَرَىٰ رِجَالًا كُنَّا نَعُدُّهُم مِّنَ الْأَشْرَارِ ﴿62﴾ أَتَّخَذْنَاهُمْ سِخْرِيًّا أَمْ زَاغَتْ عَنْهُمُ الْأَبْصَارُ ﴿63﴾
Allah Ta3ala Asema:{Wakasema mbona hatuoni wanaume tuliwahisabu katika watu wa shari(62)Tumi wachukulia kuwakejeli ama macho haikuwaona(63)} Lakini wako wapi wale Ambao waliwaona ni watu wa shari mpaka wakawauwa japo kuwa wanafwata haki ewe Omar? Lakini tutwacha jibu litoke kutoka Kwa Mola Mlezi tuangalie je wane3meka katika makaburi yao Pamoja na utandu wa ma popo ama wako ngazi za ju?
Akasema Allah Ta3ala:
{وَلَا تَحْسَبَنَّ الَّذِينَ قُتِلُوا فِي سَبِيلِ اللَّـهِ أَمْوَاتًا بَلْ أَحْيَاءٌ عِندَ رَبِّهِمْ يُرْزَقُونَ ﴿169﴾ فَرِحِينَ بِمَا آتَاهُمُ اللَّـهُ مِن فَضْلِهِ وَيَسْتَبْشِرُونَ بِالَّذِينَ لَمْ يَلْحَقُوا بِهِم مِّنْ خَلْفِهِمْ أَلَّا خَوْفٌ عَلَيْهِمْ وَلَا هُمْ يَحْزَنُونَ ﴿170﴾ يَسْتَبْشِرُونَ بِنِعْمَةٍ مِّنَ اللَّـهِ وَفَضْلٍ وَأَنَّ اللَّـهَ لَا يُضِيعُ أَجْرَ الْمُؤْمِنِينَ ﴿171﴾} صدق الله العظيم [آل عمران].
Allah Ta3ala Asema: {Na wala usione wale walio uliwa katika njia ya Allah wamikufa bali wako hai mbele ya Mola wao wanaruzukiwa (169) Wanafurahia kwa yale walipewa Na Mola Wao kutokoana na Fadhla zake na wanawabashiria wale hawajawafwata (170) Wanawabashiria kwa ne3ma kutoka kwa Allah na fadhla na kuwa Allah hapotezi ujira ya walio amini (171)} Sadaqa Allah Al3adhim][Al3amran]



Na Enye Ma3ashara ya Waislamu, Hakika Mimi Ni Al Imam Al Mahdi natowa Qasam Billah Al3adhim Mola Wa Mbingu Na Ardhi Na Kiliomo kati yake Na Mola Wa 3arshi Al 3adhim kuwa Hadithi Za Adhabu Ya Kaburi Ni katika moja ya njama za Iblisi Shetani Alrajim amiwafundisha Mashetani watu wale wanao dhihirisha imani wakaficha ukafiri, Na hikma yake ni kuwa ziwe katika Mahadithi za Sunaa Za Bayan ya Alquran, Hivo basi ili iwe sahali kwa makafiri kupata hoja juu ya waislamu kwakuwa urongo kamba yake ni fupi; Bali Shetani na wafwasi wake wazushi wanajuwa kuwa makafiri watachimba makaburi ya waislamu na ya makafiri wangalie hilo jambo wamisema kweli waislamu katika Akida yao kuwa Kaburi ni bustani kati ya mambustani ya pepo kwa waislamu ama Shimo katika Mashimo ya moto kwa makafiri? Na Alafu hawatopata yale wanao itakidi waislamu kwa kitu, Na Alafu watakufuru kwa akida zote za waislamu bada ya kufa na kufufuliwa na pepo na moto kwa sababu hawakupata Kaburi ni bustani katika mabustani ya pepo kwa walio Amini wala Shimo katikaMashimo ya Moto kwa Makafiri, Akafaulu Shetani na Wafwasi wake Mashetani Watu kuzuwia kuamini Allah na mitume wake kwa sababu ya uzushi wa Adhabu ya Kaburi, Basi hivi hamuwi na Akili Enye Ma3ashara Ya Waislamu? Hakika Allah Amiwa'amuru muwahoji watu kwa Akili na "Mantiq" Usawa inao kubalika Kama Alivo Wapa Amri Manabi na Mitume wake wa'wahoji Qaumu Zao kwa Akili na "Mantiq"usawa unao kubalika, Kwajili ya hivo utakuta katika visa kila Nabi Anahojiana na Qaumu yake Kwa Akili, Hakika Akili ni kufahamu, na ukiakilika inamana umifahamu, Kwajili ya hivo Allah Ta3ala Anasema:
{أَفَتَطْمَعُونَ أَنْ يُؤْمِنُوا لَكُمْ وَقَدْ كَانَ فَرِيقٌ مِنْهُمْ يَسْمَعُونَ كَلَامَ اللَّهِ ثُمَّ يُحَرِّفُونَهُ مِنْ بَعْدِ مَا عَقَلُوهُ وَهُمْ يَعْلَمُونَ} [البقرة:75].
Allah Ta3ala Anasema:{Hivi muna tama kuwa watawa'amini na ilikuwa kipoti kati yao wanaskiza Maneno Ya Allah Alafu wanabadilisha ba'ada kufahamu na wao wanajuwa}[Albaqara:75]


Yani Ba'ada kufahamu kwao,Na Yule Ambao hati Akili Hafahamu kitu,Ama fahamu inakuja bada kupeleleza na kutadabur kwa kina katikajambo,Na Mtu Ambae hafkiri hatofahamu,Na Wallahi yule Ambae hakuna Mola kwa haki ila Yeye kuwa hatofahamu Ufafanuzi wa Bayana Ya Kweli ya Alqura'an kwa Dhati ya Alqura'an ya Al'Imam Al'Mahdi Na ya Babu yangu kabla Yangu ila wale wanao tumia Akili,Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:
{كَذَلِكَ نُفَصِّلُ الْآيَاتِ لِقَوْمٍ يَعْقِلُونَ} صدق الله العظيم [الروم:28].


Allah Ta3ala Asema:{Basi hivo ndiovo tunafafanuwa Aya zetu kwa qaum wanatumia Akili} Sadaqa Allah Al3adhim[Alrum:28]






Na Hatomfwata Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani ila wale walio fanya fikra katika Utawala wa ilimu je Anatamka ukweli katika hukumu ya kitabu cha Allah kwa ilimu na utawala ulio wazi Ama Anajiropokea kwa asie'kijuwa?Ama imempata upepo wa Shetan Alrajim?Ama ni katika wale wanao fanya ijtihada wale ambao wamepata msingi wa ilimu kutokana na hadithi za kishetani;[Kila anae jitahidi anapata Na akipata basi ana ujira mbili Na Akikosa ana ujira moja]?Ama Nasser Muhammad Alyamani ni kweli Al'Mahdi Al'Muntadhar Anawasomea Bayana Ya haki ya Ukumbusho kwa Dhati ya Alqura'an?Alafu wanagalia jibu la akili zao ju ya ulinganizi wa Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Alyamani na bila shaka itakuwa jibu la Akili yao ni kama jibu la Akili ya qaum ya ibrahim ju ya Nafsi Zao:
فَرَجَعُوا إِلَى أَنفُسِهِمْ فَقَالُوا إِنَّكُمْ أَنْتُمْ الظَّالِمُونَ} صدق الله العظيم [الأنبياء:64].
Allah Ta3ala Asema:{wakarudi kwa Nafsi Zao Wakasema hakika nyinyi ndio Madhalimu}Sadaqa Allah Al3adhim[Alanbia:64]


Na hivo hivo Allah Amimpa Amri Babu Yangu Muhammad Mtume Wa Allah -Sallah Allahu Aleyhi Wasalam-Ahoji qaumu yake kwa Akili na "Mantiq" usawa unaokubalika,Akasema Allah Ta3ala .
{قُلْ لَوْ شَاءَ اللَّهُ مَا تَلَوْتُهُ عَلَيْكُمْ وَلَا أَدْرَاكُمْ بِهِ فَقَدْ لَبِثْتُ فِيكُمْ عُمُرًا مِنْ قَبْلِهِ أَفَلَا تَعْقِلُونَ} [يونس:16].
Allah Ta3ala Asema:{Sema Angetaka Allah nisigeisoma kwenu wala musengeijuwa manake nimika kwenu umri kabla yake hivi hamuwi na Akili}
Yunus:16]



{وَمَا الْحَيَاةُ الدُّنْيَا إِلَّا لَعِبٌ وَلَهْوٌ وَلَلدَّارُ الْآخِرَةُ خَيْرٌ لِلَّذِينَ يَتَّقُونَ أَفَلَا تَعْقِلُونَ} [الأنعام:32].

{Haikuwa maisha ya dunia ila ni mchezo na matamanio na nyumba ya Akhira ni bora kwa wale wanao mogopa basi hamuwi na Akili}
[Alan3am:32],


{لَقَدْ أَنْزَلْنَا إِلَيْكُمْ كِتَابًا فِيهِ ذِكْرُكُمْ أَفَلَا تَعْقِلُونَ}
[الأنبياء:10].

{Hakika tumikiteremsha kitabu ndani yake uko ukumbusho wenu basi hamuwi na Akili}[Alanbia:10]


{وَمَا أُوتِيتُمْ مِنْ شَيْءٍ فَمَتَاعُ الْحَيَاةِ الدُّنْيَا وَزِينَتُهَا وَمَا عِنْدَ اللَّهِ خَيْرٌ وَأَبْقَى أَفَلَا تَعْقِلُونَ}
[القصص:60].

{Kile mulicho pewa basi utamu wa maisha ya Dunia na Pambo lake na Alio nayo Allah ni bora na ni ya kudumu hivi hamuwi na Akili}
[Alqasas:60]



{وَلَقَدْ تَرَكْنَا مِنْهَا ءَايَةً بَيِّنَةً لِقَوْمٍ يَعْقِلُونَ}
[العنكبوت:35].

{{Na tuliwacha kati yake Alama ya Wazi kwa qaum wana Akili}}
[Alankabut:35]


{وَمَا أَرْسَلْنَا مِنْ قَبْلِكَ إِلَّا رِجَالًا نُوحِي إِلَيْهِمْ مِنْ أَهْلِ الْقُرَى أَفَلَمْ يَسِيرُوا فِي الْأَرْضِ فَيَنْظُرُوا كَيْفَ كَانَ عَاقِبَةُ الَّذِينَ مِنْ قَبْلِهِمْ وَلَدَارُ الْآخِرَةِ خَيْرٌ لِلَّذِينَ اتَّقَوْا أَفَلَا تَعْقِلُونَ}
[يوسف:109].

[{(Na hatukutuma kabla yako ila wanaume tunwapa wa7hi miongoni mwa watu wa vijiji hivi hawajaenda katika Ardhi wakaona vipi ilikuwa mwisho wa wale walio kuwa kabla yao na Nyumba Ya Akhera ni bora kwa wale wanaomcha hivi hamuwi na Akili)}
][[[Yusuf:109]]],



{إِنَّ فِي خَلْقِ السَّمَوَاتِ وَالْأَرْضِ وَاخْتِلَافِ اللَّيْلِ وَالنَّهَارِ وَالْفُلْكِ الَّتِي تَجْرِي فِي الْبَحْرِ بِمَا يَنْفَعُ النَّاسَ وَمَا أَنْزَلَ اللَّهُ مِنَ السَّمَاءِ مِنْ مَاءٍ فَأَحْيَا بِهِ الْأَرْضَ بَعْدَ مَوْتِهَا وَبَثَّ فِيهَا مِنْ كُلِّ دَابَّةٍ وَتَصْرِيفِ الرِّيَاحِ وَالسَّحَابِ الْمُسَخَّرِ بَيْنَ السَّمَاءِ وَالْأَرْضِ لَآيَاتٍ لِقَوْمٍ يَعْقِلُونَ}
[البقرة:164].

{{{Hakika katika u'mbaji Wa Mbingu Na Ardhi Na mageuzi ya Usiku Na Mchana na viyumbo vinavo tembea baharini kwa kinacho faa watu Na maji Alivo teremsha kutoka ju ika7huisha Ardhi bada kufa kwake na kuweka kila kinacho tembea na kusarifu upepo Na Mawingu katikati ya mbingu Na Ardhi Hizo ni Alama kwa watu watumia Akili }}}
[[Albaqara:164]]



{وَسَخَّرَ لَكُمُ اللَّيْلَ وَالنَّهَارَ وَالشَّمْسَ وَالْقَمَرَ وَالنُّجُومُ مُسَخَّرَاتٌ بِأَمْرِهِ إِنَّ فِي ذَلِكَ لَآيَاتٍ لِقَوْمٍ يَعْقِلُونَ} صدق الله العظيم [النحل:12].

{{{Akawasakhiria usiku na mchana na juwa na mwezi na nyota zaendeshwa kwa Amri yake hakika kwa hayo kuna Alama kwa watu wanao tumia Akili }}} [[Alna7hl:12]]

Na Mimi Ni Al'imam Al'Mahdi hivo hivo Namshuhudisha Allah na wote Ma Al'Anssar wale walio tangulia walio bora na tosha kwa Allah kuwa ni shahidi Hakika nachalenji kila Mwislamu Na Kafiri kwa hoja ya Akili na "Mantiq"Usawa unao kubalika ndio niwalete kwa haki kutoka hukumu ya Maneno Ya Allah, Na Ni Nani Ana ukweli katika maneno yake ispokuwa Allah? Na Akasema Allah Ta3ala:
{{{فَبِأَيِّ حَدِيثٍ بَعْدَهُ يُؤْمِنُونَ}}} صدق الله العظيم [المرسلات:50].
Allah Ta3ala Asema:{Na hadithi gani bada ya hio mutamini}
Sadaqa Allah Al3adhim
[Almursalat:50].



Na Salam ju ya mitume Na Al7hamdulillah Rabi Al3alamini..
Ndugu yenu Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhamad Alyamani.




وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله رب العالمين..
أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــــــ
https://mahdialumma.net/showthread.php?5985