Alba3th Alawal
AL'IMAM NASSER MUHAMMAD ALYAMANI
الإمام ناصر محمد اليماني
27 - 11 - 1433 هـ
13 - 10 - 2012 مـ
03:48 AM
ـــــــــــــــــــــــــ ــــــــــ
بيان الإمام المهدي ناصر محمد اليماني عن البعث الأوّل لمن يشاء الله من الكافرين، فلا يفتنكم المسيح الكذّاب، فاتقوا الله يا أولي الألباب ..
Bayana Ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Kuhusu Ufufuwaji Wa Mara Ya Kwanza Kwa Wale Anao Taka Allah Katika Makafiri, Na Wala Asiwafitini
Al'Masi7h Al'Kadhab, Na Mumche Allah Enye Wenye Akili.
Bismillah Al'Rahaman Al'Rahim, Na Sala Na Salamu Kwa Wote Manabi Na Mitume Kutoka Mwanzo Wake Mpaka Wa mwisho Wao Ju Yao Wote Salam Na Watu Wao Walio Wa'fwata Kwa Ihsan Mpaka Siku Ya Kiyama Hatutafautishi Baina Ya Mitume Yoyote Na Sisi Kwake Waislamu, Ama Ba'ada Ya Hapo,
Na Enyi Ma'Ashara Ya Wanazuoni na Umati Wao Wote Na Watu Wote, Ta'Hadharini Na Fitna Ya Al'Masi7h Al'Kadhab Ambae Amejuwa Kwa Ufufuwaji Wa Mara Ya Kwanza Na Anataka Kutumia Kuwahada Kwa Kufitini Walio'Hayi Na Maiti Alafu Atokeze Kwa Watu Aseme:" Enye Watu, Mimi Ni Masi7h Issa Ibnu Maryam, Mimi Ndiye Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu Yule Alio'Fufuwa Maiti Hawa Kutoka KwaMakaburi Yao, Na Niko Na Pepo Na Niko Na Moto, Na Tulipitisha Tukaionesha Kuonekana Jahanam Ikapita Mbele Ya Macho Yenu Tukawaingiza Wale Ambao Wame Kufuru kwamba Allah Yeye Ndio Al'Masih Issa Mwana Wa Maryam Kwajili Ya Hivo Hamu'Waoni KatikaWalio Fufuliwa Katika ARdhi", Na Atasema" Mimi Ndio Nimeteremsha Al'Quran Lakini Ime'Gauzwa Maherufu Na Haiko Tena Kama Tulivo Teremsha", Na Alafu Anafanya Haki Ni Batil Na Batil Ni Haki, eee Lana Ya Allah Juu Yake, Na Muwe Na Tahadhari Na Fitna Yake Na Hio Ni Kabla Hajateremka Allah Na Ghamama Kivuli ya Wingu Kuja Kuwaeleza Waliofufuliwa Katika Makafiri Na Watu Wote Nyuma Ya Hijab,
Na Enyi Watu, Ukweli Sisemi Juu Ya Allah Ispokuwa Haki Na Muwe Na Hadhari Na Fitna Ya Al'Masi7h Al'Kadhab Na Kusadikisha U'Ungu Wake, Na Hakuwa Yeye Ni Al'Masi7h Issa Wa Wkweli Aleyhi Al'salat Wa Al'Salam, Bali Wala Haiwi Kwa Al'Masi7h Issa Mwana Wa Maryam Aseme Kitu Sio Haki Yake. Bali Anaiba Utu Wa Almasi7h Issa Mwana Wa Maryam Na Hakuwa Ni Yeye Na Kwajili Ya Hivo Anaitwa Al'Masih Al'Kadhab Kwa Almasi7h Alkadhab Kuwa Sio Almasi7h Issa Mwana Wa Maryam Wa Haki, Na Kwajili Ya Hivo Amekadiriya Allah Kurudi Kwa Almasi7h Isaa Mwana Wa Maryam Shahidi Kwa Haki Kwa Ma'Nassara Na Ma'Yahudi Na Waislamu Na Kuwambia Nyinyi:" Mimi Ni Mja Wa Allah" Atazungumza Akiwa Yeye Mtu Mzima Na Atasema Kwa Watu Kama Alivo Sema Na Yeye Ni Mtoto Wa Kiume Mchanga Kwenye ulezi Akawambia Wao:" Mimi Ni Mja Wa Allah", Na Hivo Hivo Atawaleza Akiwa Mtu Mzima" Mimi Ni Mja Wa Allah", Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ وَيُكَلِّمُ النَّاسَ فِي الْمَهْدِ وَكَهْلًا وَمِنَ الصَّالِحِينَ } صدق الله العظيم [آل عمران:46]
Allah Ta3ala Asema: { Na Anzungumza Na Watu Na Yeye Mchanga Na Akiwa Mtu'Mzima Na Ni Katika Wema} Sadaqa Allah Al3adhim [Alimran:46].
Na Enyi Watu Ikiwa Hamto'Amini Kujuwa Kwa Yakini Kwamba Hakika Ya Ufufuwaji Wa Kwanza Ni Ya Makafiri Pasi Na Watu Wema Ataenda Kuwafitini Al'Masih Al'Kadhab Na Maiti Walio'Fufuliwa Mukaja Mukamini Kuwa Yeye Ndio Allah Mola Wa Ulimwengu,
Na Enyi Watu, Ukweli Sisemi Ju Ya Allah Ila Haki Na'Waletea Utwala Ulio'Wazi Kutoka Kwa Muhkam Al'Quran Al'3adhim Ilio'Wazi, Na Muchunge Na Mujuwe Kujuwa Kwa Ya Kini Kuwa Kuna Ufufuwaji Wa Kwanza Kwenye Dunia Kwa Wale Anao'Taka Allah Katika Makafiri, Yani Kwama'Ana Allah Ana'WaHushuru Katika Ufufuwaji Wa Kwanza Katika Kila Umma Poti Na Ufufuwaji Hu Watafufuliwa Pekeyao Wale Walio'Kadhibisha Aya Za Mola Mlezi Wao Pekeyake, Na Hio Ni Katika Zama Za Kutumilizwa ADaaba inafatana Na Kutokezea Al'Masi7h Al'Kadhab Kutoka Pepo Ya Fitna Kufitinisha Walioko Hai Na Maiti Walio'Fufuliwa Kutokana na wale Walio Kufuru, Na Ikiwa Hamto'Fwata Al'Imam Al'mahdi Na Al'Masi7h Issa Mwana Wa Maryam Wa Kweli Mutenda Kuamini Kuwa Allah Ndio Yeye Al'Masi7h Al'Kadhab Na Haikuwa KWA Al'Masi7h Issa Mwana Wa Maryam Sala Allahu Aleyhi Wa Umihi wausalim Tasliman, Bali Yule Anae Dae U'Uongu Ni Al'Masi7h Issa Mwana Wa Maryam Al'Kadhab Na Yeye sio Al'Masi7h Issa Mwana Wa Maryam, Kwajili Ya Hivo Ansifa Hio Kuwa Al'Masi7H Al'Kadhab Kwasababu Yeye Sio Al'Masi7h Issa Mawana Wa Maryam Wa Kweli Kwa'Kuwa Almasi7h Issa Mwana Wa Maryam Wa Kweli Hadai Uongu, Na Hai'Kuwa Kwa Al'Masi7h Issa Mwana Wa Maryam Wa Kweli Kutaka Kisio'Na Haki Nacho Bali Allah Atamfufuwa Na Al'Hali Ni Mtu Mkubwa Na Ata'Wambia Nyinyi " Kama Alivo Wambia Wale Kabla Yenu Na Yeye Mtoto Wa Kiume Mchanga Yuko Kwenye Ulezi, Mimi Ni Mja Wa Allah".
Na Enyi Ma'3ashara Ya Waislamu, Ikiwa Hamto'Mfwata Al'Imam Al'Mahdi Muokowaji Wenu kutokana Na Al'Masi7h Al'Kadhab Basi Atasmamisha Al'Masi7h Al'Kadhab Ju Yenu Hoja Na Muta'Mfwata Shetani Ila Kidogo Katika Ma Al'Anssar Al'Sabiqina Al'Akhyar KatikaZama Za Mazungumzo Kabla Ya Kudhihiri,
Na Labda Anataka Moja Katika Waulizaji Na Kusema:" Na Vipi Atsmamisha Hoja Almasi7h Al'Kadhab Pindi Hatuku'Msadikisha Al'Imam Al'Mahdi Na Kumfwata", Alafu Nawaregeshea Jibu Waulizaji Na Nasema: Hakika Nyinyi Ikiwa Hamuto'Amini Kuwa Kuna Ufufuwaji KwaAmtakae Allah Katika Makafiri Hio Bila Shaka Ataenda Kuwafitini ispokuwa Wale Kidogo Katika Ma'Alanssar Walio Na Yakini KwaBayana Ya Haki Kutoka Mola Wao Kwakuwa Nyinyi Hamtoweza Kukadhibisha Walio'Fufuliwa Kwasababu Allah Amewafufuwa Kutoka Kwa Makaburi Yao Na Nyinyi Mwangalia, Na Watazungumza Na Nyinyi Na Mutazngumza Na Wao, Hamutoweza Kusema Hu Ni Uchawi Bali Ufufuwaji Wa Kweli Mbele Yenu,
Na Labda Wanataka Wengi Katika Wanazuoni Wa Waislamu Kusema:" Bali Al'Masi7h Al'Kadhab Yeye Ndio Ame'Wafufuwa Kwajili Ana'7huyisha Maiti Fitna Kwa Watu Wote", Na Alafu Narudisha Jibu Kwao Al'Imam Al'Mahdi Na Nasema: Hakika Ya Hio Akida Ndani Ya Moyo Zenu (Mun'karon) Munkari Na Uzushi Na Ni Batil Kubwa, Na Vipi Allah Atam'Ayid Kupa Mkono Al'Masi7h Al'Kadhab Kwa Miujiza Ya Ku7huyisha Maiti Na Al'Masi7h Al'Kadhab Yeye Ni Batil Yenyewe!!! Na Mujuwe Kuwa Akida Yenu Yakwamba Batili Ina7Huyisha MaitiKwa Idhni Ya Allah Inakhalifu Kwa Yale Alio'Teremsha Allah Kwenu Katika Muhkam wazi Iliodhibiti Kwenye Kitabu Chake Katika Kauli Yake Allah Ta3ala:
{ قُلْ جَاءَ الْحَقُّ وَمَا يُبْدِئُ الْبَاطِلُ وَمَا يُعِيدُ } صدق الله العظيم [سبأ:49]
Allah Ta3ala Asema: {Sema Imekuja Haki Na Hayianzishi Batili Na Wala Hayirudishi} Sadaqa Allah Al3adhim [Sabaa:49].
Hivi Hamujuwi Kwa Challenge Changa'moto Ya Mola Mlezi Wa Ulimwengu Katika Muhkam Ya Kitabu Chake Kwa Batil Na Mawili Wake Akawambia Wao Kuwa Ikiwa Wataweza Ku7huisha Maiti Moja Peke Yake Basi Wame'Sadikisha Kwa Ulinganizi Wa Batil Pasi Na Allah? Na Ni Vipi Ata'Kadhibisha Allah Nafsi Yake Kwa Nafsi Yake-Subhanahu-Alafu Anawapa Mkono Batil Kwa Mujiza Wa Ku'7huyisha Maiti? Mbona Hamuti Akili? ooo Wallahi Mukiamini Kwenye Akida Yenu Kuwa Al'Masi7h Al'Kadhab Ana'7huyisha Maiti Atakuwa Al'Shetani Al'Rajim Al'Masi7h Al'Kadhab Ni Mkweli Na Allah Sub7hanahu Wa'Ta3ala Yeye Ni Mrongo, Subhanahu Kwa yale Munao'Mshirikisha!!! Kwani Hivi Haija'Teremka Challenge Kutoka Kwa Mola Mlezi Wa Ulimwengu Katika Muhkam Ilio Wazi Al'Quran Al'3adhim Kwa Watu Wa Batil Na Mawali Wao Kuwa Wa Rudishe Na Kuianzisha Roho Japokuwa Ya Maiti Moja Pekeyake? Na Akasema Allah Kuwa Wao Pindi Wakifanya Wakarudisha Roho Kwa Mwili Japo Kuwa Maiti Moja Basi Watakuwa Wao Ni Wakweli Kwa UlinganiI wa Batil Pasi Na Allah, Hivi Mbona Hamuwi Na Akili?
Na Labda anataka Moja Kati Ya Wanazuoni Wa Umma Na Umma Wao Ambao Wame hama Kutadabar Na Kupeleleza Al'Quran Al3adhim Atake Kusema:" Ewe Nasser Muhammad Al'Yamani, Iko Wapi Hio Challenge Kutoka Kwa Mola Mlezi Wa Ulimwengu Kwa Batil Na Mawali Wao Kuwa Warudishe Roho Japo Kuwa Maiti Moja Pekeyake? Na Wala Hatudhani Kuwa Hio Challenge Imiteremka KatikaAl'Quran Al3adhim, Na Vipi Allah Ata'Chalenge Batil Na Ma Wali Wao Kwa kurudisha Roho Ya Maiti Kwa Mwili Alafu Anmpa Mkono KwaMiujiza Ya Ku7huyisha Al'Masi7 Al'Kadhab? Tulete Burhani Kutoka Kwa Muhkam Al'Kitab Utuoneshe Allah Aki Chalenge batil Na Ma Wali Wao Kuwa Wao Warudishe Roho Ya Maiti Japo Kuwa Moja Pekeyake", Na Alafu Anarudisha Jibu Al'imam Al'Mahdi Kwa Anae Uliza Na Nasema: Allah Ta3ala Asema:
{ فَلا أُقْسِمُ بِمَوَاقِعِ النُّجُومِ (75) وَإِنَّهُ لَقَسَمٌ لَّوْ تَعْلَمُونَ عَظِيمٌ (76) إِنَّهُ لَقُرْآنٌ كَرِيمٌ (77) فِي كِتَابٍ مَّكْنُونٍ (78) لّا يَمَسُّهُ إِلاَّ الْمُطَهَّرُونَ (79) تَنزِيلٌ مِّن رَّبِّ الْعَالَمِينَ (80) أَفَبِهَذَا الْحَدِيثِ أَنتُم مُّدْهِنُونَ (81) وَتَجْعَلُونَ رِزْقَكُمْ أَنَّكُمْ تُكَذِّبُونَ (82) فَلَوْلا إِذَا بَلَغَتِ الْحُلْقُومَ (83) وَأَنتُمْ حِينَئِذٍ تَنظُرُونَ (84) وَنَحْنُ أَقْرَبُ إِلَيْهِ مِنكُمْ وَلَكِن لّا تُبْصِرُونَ (85) فَلَوْلا إِن كُنتُمْ غَيْرَ مَدِينِينَ (86) تَرْجِعُونَهَا إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ (87) }
صدق الله العظيم [الواقعة]
Allah Ta3ala Aasema:{ Basi naapa kwa maanguko ya nyota,(75)
Na hakika bila ya shaka hichi ni kiapo kikubwa, laiti mngeli jua!(76) Hakika hii bila ya shaka ni Qur'ani Tukufu, (77)
Katika Kitabu kilicho hifadhiwa. (78) Hapana akigusaye ila walio takaswa.(79) Ni uteremsho unao toka kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote.(80) Ni maneno haya ndiyo nyinyi mnayapuuza?(81) Na badala ya kushukuru kwa riziki yenu mnafanya kuwa mnakadhibisha?(82) Yawaje basi itakapo fika roho kwenye koo,(83) Na nyinyi wakati huo mnatazama!(84) Na Sisi tuko karibu zaidi naye kuliko nyinyi. (85) Na lau kuwa nyinyi hamumo katika mamlaka yangu,(86) Kwanini hamuirudishi hiyo roho, ikiwa nyinyi mnasema kweli?(87)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alwaqiaa]
Na Angalia Challenge Kutoka Kwa Mola Mlezi Wa Walimwengu Kwa Batil Na Mawali Wake:
فَلَوْلا إِذَا بَلَغَتِ الْحُلْقُومَ (83) وَأَنتُمْ حِينَئِذٍ تَنظُرُونَ (84) وَنَحْنُ أَقْرَبُ إِلَيْهِ مِنكُمْ وَلَكِن لّا تُبْصِرُونَ (85) فَلَوْلا إِن كُنتُمْ غَيْرَ مَدِينِينَ (86) تَرْجِعُونَهَا إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ (87) } صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema: {Yawaje basi itakapo fika roho kwenye koo,(83) Na nyinyi wakati huo mnatazama!(84) Na Sisi tuko karibu zaidi naye kuliko nyinyi. (85) Na lau kuwa nyinyi hamumo katika mamlaka yangu,(86) Kwanini hamuirudishi hiyo roho, ikiwa nyinyi mnasema kweli?(87)} Sadaqa Allah Al3adhim], Angalia Challenge Ya Batil Na Mawali Wake:
تَرْجِعُونَهَا إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ } صدق الله العظيم،
Allah Ta3ala Asema: {Kwanini hamuirudishi hiyo roho, ikiwa nyinyi mnasema kweli (87)} Sadaqa Allah Al3adhim], Lakini Wanazuoni Wa Kislamu Na Umma Wao Wameikufuru Hi Challenge Waka'Amini Kuwa Al'Masi7h Al'Kadhab Ana Kata Mtu Alafu Anapita Katikati Alafu Anamrudishia Roho Yake Ba'ada Kuifisha, Na Imijengeka Misingi Ya Akida Zenu Katika Hadithi Ya Batil Iliozushwa Inao'Gongana Na Muhkam Ilio Wazi Al'Quran Al3adhim Na Tunaleta Kidogo Katika Hio Riwaya Ilio'Zushwa Ju Ya Allah Na Mtume Wake Kuwa Al'Masi7h Issa Al'Kadhab Anasema: [Munaona Ikiwa Nitamuwa Huyu Alafu Nim7hu'Yishe; Mutashuk kwa hilo Jambo? Alafu Watasema; Hapana, Alafu Atamuwa Alafu Atamfufuwa].
Na Alafu Ana'Smamisha Hoja Ju Yenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani wa Haki Na Nasema: Hivi Hi Riwaya Si Inagongana Na Challenge Ya Allah Katika Mu7hkam Al'Quran Al3adhim Ju Ya Batil Na Mawali Wake Kwenye Kauli Yake Allah Ta3ala:
{ فَلَوْلا إِذَا بَلَغَتِ الْحُلْقُومَ (83) وَأَنتُمْ حِينَئِذٍ تَنظُرُونَ (84) وَنَحْنُ أَقْرَبُ إِلَيْهِ مِنكُمْ وَلَكِن لّا تُبْصِرُونَ (85) فَلَوْلا إِن كُنتُمْ غَيْرَ مَدِينِينَ (86) تَرْجِعُونَهَا إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ (87) } صدق الله العظيم؟ فانظروا لحكم الله على نفسه { تَرْجِعُونَهَا إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ } صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema: {Yawaje basi itakapo fika roho kwenye koo (83) Na nyinyi wakati huo mnatazama!(84) Na Sisi tuko karibu zaidi naye kuliko nyinyi. (85) Na lau kuwa nyinyi hamumo katika mamlaka yangu,(86) Kwanini hamuirudishi hiyo roho, ikiwa nyinyi mnasema kweli?(87)} Sadaqa Allah Al3adhim],
Na Lakini Lau Allah Angesadikisha Riwaya Ya Batil Akmpa Mkono Al'Masi7h Al'Kadhab Kwa Miujiza Ya Ku7huisha Maiti Hapo Atakuwa Amehukum Allah Nafsi Yake Kwa Nafsi Yake Katika Muhkam Ya Kitabu Chake Kuwa Al'Masi7h Al'Kadhab Na Ma Wali Wake Wao Ndio Wakweli Na Allah Na Mawali Wake Ndio Warongo, Ooo Lana Ya Allah Ju Ya Wazushi Lana Kuu.. Na Ama Wale Walio Fwata Uzushi Wa Batil Hawo Kaumu Hawati Akili.
Na Enyi Ma3ashara Ya Wanazuoni Wa Waislamu Na Umma Wao, Natowa Sha'Hada Kwa Allah Kuwa Iko Ufufuwaji Katika Dunia KwaYule Anae Mtaka Allah Katika Walio'Kufuru Hakika Atawafanya Warudi Kwenu Katika Hi Ardhi Ba'ada Kufa Kwao Na Nyinyi Mwangalia Kwa'Kuwa Ufufuwaji Wao Inalingana Na Kutokeza Al'Masi7h Al'Kadhab Al'Shetan Al'Rajim Kutoka Pepo Ya Fitna Kwakuwa Allah Ame'Mwacha Mpaka Siku Ya Ufufuwaji Ya Mara Kwanza Kwa Wale Anao Wataka Allah Kuwa'Fufuwa Katika Walio'Kufuru Na Ku'Kadhibisha Kwa Ufufuwaji Wa Walio'Kufuru Katika Haya Maisha Ya Dunia, Akasema Allah Ta3ala:
{ مِنْهَا خَلَقْنَاكُمْ وَفِيهَا نُعِيدُكُمْ وَمِنْهَا نُخْرِجُكُمْ تَارَةً أُخْرَى } صدق الله العظيم [طه:55]
Allah Ta3ala Asema: {kutokana Na hio Tume'Waumba Na Ndani Yake Tunawarudisha Na Kutoka Ndani Yake Tutawatowa Mara Ingine Tena} Sadaqa Allah Al3adhim[Taha:55]
Na Labda Anatana Daktari Mwenye Maherufu Ya Jarr Ahmad Amro Kutaka Kusema:" Ewe Nasser Muhammad, Tumekupa Fatwa Kuwa Hakika Ya Kurudi Katika Ardhi Yani Anawarudisha Mchanga", Na Alafu Anarudisha Jibu Kwake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Na Nasema: Sikiza Ewe Daktari Ahmad Amro, Ikiwa Utaweza Kuleta Burhan Moja Pekeyake Kutoka Kwa Muhkam Al'Quran Al3adhim Kuwa Allah Ankusudia Katika Kauli Yake Ta3ala:
{وَفِيهَا نُعِيدُكُمْ}
Katika Kauli Yake Allah Ta3ala
{Na Ju Yake Tuna'Warudisha}
Yani Kwa Kurudi Viumbe Mchanga, Na Ukifanya Hivo Ata'Pambazuka Nasser Muhammad Al'Yamani Ni Shetani Asher Wala Sio Al'Mahdi Al'Muntadhar, Na
Ooo Wallah Yule Ambae Hakuna Mungu Apasae Kuabudiwa Pasi Na Yeye Huwezi Wewe Na Wote Wanazuoni Wa Watu Na Majini Wote Hata Kama Mutakuwa Kwa Pamoja Munasaidiana Na Kunusuriana Kuwa Mulete Burhan Moja Pekeyake Kutoka Kwa Muhkam Al'Quran Al'3adhim Ya Bayana Yenu Kuhusu Hi Aya Kuwa Kurudishwa Anakusudia Kumumunyuka Mwili Kuwa Mchanga, Lakini Mimi Ni Al'Imam Al'Mahdi Yule Ambae Nawahoji Kwa Muhkam Wazi Al'Kitab Ukumbusho Kwa Ulilalbab Wenye Akili Nanitawahoji Kwa Ma'Aya Zote Za Kurudi Viumbe Katika Kitabu Alafu Tuangalie Je Anakusudia Kwa Kurudi watu Kumumunyuka Mchanga Kama Munavo Dai, Ama Arudishe Viumbe Upya Katika Ardhi? Na Tulekee Kwa Hukmu Ya Mola Mlezi Wa Ulimwwngu
Na
Tunasema Ewe Mola Mlezi Wa Ulimwengu Wewe Ndio Mbora Wa Kuamuwa Na Ni Nani Kuliko Allah Mwenye Hukmu Ilio Bora KwaKaum Mu'Minin, Allah Huma Tupe Fatwa Kuhusu Kinacho Kusudiwa Kwa Kurudisha Viumbe Je Unakusudia Kuwarudisha Ni Kumumunya Mwili Kurudi Mchanga Ama Unacho Kusudia Ni Kurudisha Viyumbe Upya? Na Alafu Tuangalie Hukmu Baina Yetu Kutoka Mola Mlezi Wa Ulimwengu, Akasema Allah Ta3ala:
{ قُلِ اللَّهُ يَبْدَأُ الْخَلْقَ ثُمَّ يُعِيدُهُ } صدق الله العظيم [يونس:34]
Allah Ta3ala Asema:
{Sema Allah Ana Anzisha Kumba Alafu Ana'Irudisha}
Sadaqa Allah Al3adhim[Yunus:34]
Lakini Ewe Mungu Wa Ulimwengu Tayari Tumielewa Kwa Bayana Ya Haki Ya Kauli Yako Ya Haki:
{ يَبْدَأُ الْخَلْقَ }
{Ana'Anzisha Ku'Umba}
,Nayo Ni Ku'Umba Mtu Kwa Udongo,Lakini Tupe Fatwa Kuhusu Kinacho Kusudiwa Katika Kauli Yako Ya Haki:
{ ثُمَّ يُعِيدُهُ }
{Alafu Anairudisha} Na Wakusudia Unairudisha Kuwa Mchanga? Wa Ila Al'Jawab Min Al'Rab Fi Muhkam Alkitab Amesema Allah Ta3ala:
{ كَمَا بَدَأْنَا أَوَّلَ خَلْقٍ نُعِيدُهُ وَعْدًا عَلَيْنَا إِنَّا كُنَّا فَاعِلِين } صدق الله العظيم [الأنبياء:104]
Allah Ta3ala Asema {Kama Tulivo Anza Mwanzo ku'Umba Tunairudosha Ahdi Ju Yetu Na Hakika Sisi Tutafanya} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanmbiya: 104]
Kwa Hivo Kurudishwa Ni Kufufuliwa Viumbe Upya Wala Hakusudi Kurudi Kwa Mchanga Kama Unavo Dai Ewe Daktari Ahmad, Na ama Kuhusu Kumumunyuka Mwili Mchanga Haina Majadiliyano Ndani Yake Wala Kukanusha, Wakasema Makafiri:
{وَقَالُوا أَإِذَا كُنَّا عِظَامًا وَرُفَاتًا أَإِنَّا لَمَبْعُوثُونَ خَلْقًا جَدِيدًا ﴿٤٩﴾ } صدق الله العظيم [الإسراء]
Allah Ta3ala Asema Kwa Tamko La Makafiri:{Wakasema Na Pindi Tukawa Mifupa Na Unga Kwani Tutarudishwa Kumbwa Upya (49)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alisra].
Na Akasema Allah Ta3ala:
{ قُلْ كُونُوا حِجَارَةً أَوْ حَدِيدًا ﴿٥٠﴾ أَوْ خَلْقًا مِّمَّا يَكْبُرُ فِي صُدُورِكُمْ فَسَيَقُولُونَ مَن يُعِيدُنَا قُلِ الَّذِي فَطَرَكُمْ أَوَّلَ مَرَّةٍ فَسَيُنْغِضُونَ إِلَيْكَ رُءُوسَهُمْ وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هُوَ قُلْ عَسَىٰ أَن يَكُونَ قَرِيبًا ﴿٥١﴾ }
صدق الله العظيم [الإسراء]
Allah Ta3ala Asema: {Sema Kuweni Mawe Ama Chuma (50) Ama Viumbe Munao Una Ni Kubwa Kwenye Vifuwa Venu, Na Watasema Nani Ataturudisha Sema Yule Ambae Ali'Waumba Mara Ya Kwanza Na watateremsha Kwako Vichwa Vao Na Watasema Lini Hio Sema Huwenda Ikawa Ni Karibu (51)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alisraa].
Na Tunaistinbat Kutokana Na Hio Bayana Ya Haki Kinacho Kusudiwa Kwa Kurudi Kuwa Ni kurudi Ku'Umbwa Kwao Upya, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ كَمَا بَدَأَكُمْ تَعُودُونَ ﴿٢٩﴾ فَرِيقًا هَدَىٰ وَفَرِيقًا حَقَّ عَلَيْهِمُ الضَّلَالَةُ } صدق الله العظيم [الأعراف:29-30]
Allah Ta3ala Asema: {Kama Vile Alivo Wanza Mutarudi (29) Poti Ameliongoza Na Poti Limewastahili Ju Yao Upotevu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf:29-30].
Na Suali Ambalo Lajitokeza Lenyewe Na Nini Anacho Kusudia Allah kwa Kauli Yake Ta3ala:
{{{ كَمَا بَدَأَكُمْ تَعُودُونَ }}}
{{{ Kama Vile Alivo Wanza Mutarudi }}} Na Alafu Mutapata Jawabu Kutoka Muhkam Ya Kitabu Kuwa Yeye Akusudia Kurudi Yani Kurudi Kama Mulivo umbwa Mwanzo, Kusadiksha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ وَلَقَدْ جِئْتُمُونَا فُرَادَىٰ كَمَا خَلَقْنَاكُمْ أَوَّلَ مَرَّةٍ وَتَرَكْتُمْ مَا خَوَّلْنَاكُمْ وَرَاءَ ظُهُورِكُمْ وَمَا نَرَىٰ مَعَكُمْ شُفَعَاءَكُمُ الَّذِينَ زَعَمْتُمْ أَنَّهُمْ فِيكُمْ شُرَكَاءُ }
صدق الله العظيم [الأنعام:94]
Allah Ta3ala Asema: { Na Mumetujia Kila Moja Pekeyake Kama Vile Tulivo'Waumba Mara Ya Kwanza Na Mukawacha Tuliwowapa Nyuma Ya Migongo Yenu Na Wala Hatuoni Pamoja Na Nyinyi Mashafii Wenu Wale Mulikuwa Mukidai Kuwa Wao Kwenu Mumi'Washirikisha} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanaam:94]
Na Labda Anapenda Moja Katika Waulizaji Kutaka Kusema: Na Kwanini Hakuwa'Fufuaa Allah Washiriki Wao Pamoja Na Wao Wale Ambae Wamewashiriki Kwa Mola Mlezi Wa Ulimwengu Kwakuwa Walikuwa Hawako Katika Ufufuwaji Wa Kwanza Na Tunastanbit Hayo Kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ وَمَا نَرَىٰ مَعَكُمْ شُفَعَاءَكُمُ الَّذِينَ زَعَمْتُمْ أَنَّهُمْ فِيكُمْ شُرَكَاءُ } صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema: { Na Wala Hatuoni Pamoja Na Nyinyi MASHAFII Wenu Wale Mulikuwa Mukidai Kuwa Wao Kwenu Mulikuwa Mukiwashiriki} Sadaqa Allah Al3adhim, Na Je Hi Ufufuwaji Wa Kwanza Pekeyaka Anahusisha Allah Anae Mtaka Katika Makafiri Wanao'Kadhibisha Kwa Ma'Aya Ya Mola Mlezi Wao,vKusadikisha Kauli Ya Allah Ta'3ala:
{ وَيَوْمَ نَحْشُرُ مِنْ كُلِّ أمّة فَوْجًا مِمَّنْ يُكَذِّبُ بِآيَاتِنَا فَهُمْ يُوزَعُونَ ﴿83﴾ }
صدق الله العظيم [النمل ]
Allah Ta3ala Asema: {Na Siku Tutakapo Kufufuwa Katika Kila Umma Poti Katika Wale Wanao Kadhibisha Kwa Ma Aya Zetu Na Wao Wanagawanywa (83)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnaml].
Na Wakati Wake Wa Ufufuwaji Wa Kwanza Kwa Anae Mtaka Katika Makafiri Inatokea Wakati Wa Kutokezea Kwa Al'Daaba Na kutokeza Al'Masi7h Al'Kadhab Na Majeshi Yaka Kutokana Na Yajuj Na Majuj Na Kutumilizwa Kwa Al'Imam Al'Mahdi Na Hio Bada Kupita Sayari Ya Adhabu, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ وَإِذَا وَقَعَ الْقَوْلُ عَلَيْهِمْ أَخْرَجْنَا لَهُمْ دَابَّةً مِّنَ الْأَرْضِ تُكَلِّمُهُمْ أَنَّ النَّاسَ كَانُوا بِآيَاتِنَا لَا يُوقِنُونَ (82) وَيَوْمَ نَحْشُرُ مِن كُلِّ أُمَّةٍ فَوْجاً مِّمَّن يُكَذِّبُ بِآيَاتِنَا فَهُمْ يُوزَعُونَ (83)
صدق الله العظيم [النمل]
Allah Ta3ala Asema:{Na Pindi Ikianguka Kauli Ju Yak Tutamtowa Daba Katika Ardhi Anawambia Wao Kuwa Watu Walikuwa KwaMa'Aya Zetu Hawana Yakini (82) Na Pindi Tutakapo Fufuwa Kutoka Kila Umma Poti Wale Ambao Wana'Kadhibisha Ma'Aya Zetu Na Wao Wanagawanywa (83)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnaml].
Na Lakini Ufufuwaji hu inambatana na Wakati Wa Almasih Al'Kadhab Na Yajuj Na Majuj na Kutokezea Al'Daba Na Kutumilizwa Al'Imam Al'Mahdi Lakini Wengi Wa Watu Hawajuwi, Na Hivo Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ وَحَرَامٌ عَلَىٰ قَرْيَةٍ أَهْلَكْنَاهَا أَنَّهُمْ لَا يَرْجِعُونَ ﴿٩٥﴾ حَتَّىٰ إِذَا فُتِحَتْ يَأْجُوجُ وَمَأْجُوجُ وَهُم مِّن كُلِّ حَدَبٍ يَنسِلُونَ ﴿٩٦﴾ } صدق الله العظيم [الأنبياء]
Allah Ta3ala Asema: { Na Haram ju ya Kijiji tulikiangamiza wao ila Watarudi (95)
Mpaka Ikifunguka Yajuj Na Majuj Na Wao Kwa Kila Mahali Wanatokezea (96)} Sadaq Allah Al3adhim
[Alanbiya].
Na Yafanyika hio ba'ada Ya kubomoka kizibo cha Dhi'Alqrnin Ili Watokeze Yajuj Na Majuj Na Ufalme Wao, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ قَالَ هَذَا رَحْمَةٌ مِنْ رَبِّي فَإِذَا جَاءَ وَعْدُ رَبِّي جَعَلَهُ دَكَّاءَ وَكَانَ وَعْدُ رَبِّي حَقّاً (98) وَتَرَكْنَا بَعْضَهُمْ يَوْمَئِذٍ يَمُوجُ فِي بَعْضٍ وَنُفِخَ فِي الصُّورِ فَجَمَعْنَاهُمْ جَمْعاً (99) وَعَرَضْنَا جَهَنَّمَ يَوْمَئِذٍ لِلْكَافِرِينَ عَرْضاً (100) }
صدق الله العظيم [الكهف]
Allah Ta3ala Asema: {Akasema Hi Ni Rahma Kutoka Mola Mlezi Wangu Pindi Ikija Magano Ya Mola Mlezi Wangu Ataifanya yabomoka Na Hakika Magano Ya Mola Mlezi Wangu Ni Kweli (98) Na Tukawawacha siku Hio Badhi Yao Ju Ya Badhi Na Ikapulizwa Kwenye Suri Tukawakusanya Kukusanya (99) Tukaipitisha Waone Jahanam kwa Makafiri Kuonesha (100)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alkahf].
Na Labda Anataka Moja Katika Wapenzi Wangu Ma Al'Anssar Al'Sabiqina Al'Akhyar Kutaka Kusema:" Ewe Imamu Wangu Nini hio Bayana Ya Kauli Yake Allah Ta3ala:
{ وَعَرَضْنَا جَهَنَّمَ يَوْمَئِذٍ لِلْكَافِرِينَ عَرْضاً (100) } صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema: { Na Tukaipitisha Jahannam Kwa Makafiri Waone (100)} Sadaka Allah Al3adhim ?", Na Alafu Ana'Warudishia Kwenu Jibu Na Nasema: Hio Ni Siku Ya Kubomoka Kizibo Cha Dhi'Alqarneyin Kwa Sababu Ya Kupita Sayari Ya Moto Karibu Na Ardhi Ya Watu Ndio Wataiona Makafiri Wote Ikipitishwa Kwa Upande Wa Ardhi Ya Watu, Kwajili Ya Hivo Amesema Allah Ta3ala:
{ وَعَرَضْنَا جَهَنَّمَ يَوْمَئِذٍ لِلْكَافِرِينَ عَرْضاً } صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema: { Na Tukaipitisha Jahannam Siku hio Kwa Makafiri Waone} Sadaqa Allah Al3adhim],
Na Kupitishwa Ni Kabla Ya Kuingia Makafiri Walio'Hai Katika Zama Za Kupita'Kwake, Na Lakini Wengi Ya Watu Hawajuwi.
Na Enyi Ma3ashara Ya Watafiti kuhusu Haki, Masi7h Al'Kadhab Kwa Hakika Ila Tu Anataka Ku'Itumia Nafasi Ya Ufufuwaji Ulio Kuwa Sio Wa Watu Wote Ufufuwaji Nusu Wa Makafiri Ndio Atadai U'ungu Na Asema Kuwa Siku Hio Ni siku Ya Ufufuwaji Kamili, Na Anasema Kuwa Yeye Ndio Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu, Na Anasema Anae Moto Na Pepo Atasema Ama Moto Tumipitisha Pembezoni Ikapita Mbele Ya Macho Yenu Na Ama Pepo Ni Chini Utajirini Kwenye Utumbo Wa Ardhi Yenu, Na Ama Maiti Ambao Hawako Hamu'Kuwaona Katika Walio Fufuliwa Wale Basi Walikuwa Kwenye Upotevu Ulio Wazi Tukawatupa Wote kwa Pamoja Ndani Ya Moto Wa Jahannam, Na Ama Hawa Walio'Fufuliwa Wako Kwenye Haki Ilio'Wazi Na Nime'Waghufuria Na Nitawaingiza Pepo Yangu Chini Ya Ardhi Yenu,
Na Alafu Anasema Al'Imam Al'Mahdi: Hivi Umifanya Haki Ni Batil Na Batil Ni Haki Ewe Aduwi Wa Allah? Na Wallahi Thuma Tallahi Nitazi'batilisha Na kufelisha Vitimbi Venu Nyote Kwa Pamoja Enyi Ma3ashara Ya Mashetani Kwa Idhni Ya Allah Mola Mlezi Wa Ulimweng, Na Sisi Kwenu Ni Kahirun Na ju Yenu Ni Washindi Na Mutaenda Kujuwa Kuwa Mwisho Ni ya Wachaji Mungi, Na Salam Ju Ya Mitume Na Al'Hamdulillah Rabi Al3alamin..
Na Labda Anataka Moja Ya Waulizaji Atake Kusema:"Ngoja Ngoja Ewe Nasser Muhammad, Bayana Yako Hi ya Dokeza Kuwa Makafiri Wana Maisha Mara Mbili Na Mauti Mbili Katika Haya Maisha Ya Dunia Jee Uko Na Burhan Ilio'Wazi Muhakam Katika Kitabu Cha Allah Kuwa Makafiri Wako na Mauti Mbili Na Maisha Mara Mbili Na Ufufuwaji Mara Mbili?", Na Alafu Nawarudishia Wao Al'Imam Al'Mahdi Na Nasema Amesema Allah Ta3ala:
{ كَيْفَ تَكْفُرُوْنَ بِاللهِ وَكُنْتُمْ أَمْوَاتًا فَأَحْيَاكُمْ ثُمَّ يُمِيْتُكُمْ ثُمَّ يُحْيِيْكُمْ ثُمَّ إِلَيْهِ تُرْجَعُوْنَ } صدق الله العظيم [البقرة:28]
Allah Ta3ala Asema: { Vipi MUta'Mkufuru Allah Na Mulikuwa Mumekufa Akawa'7huyisha Alafu Atawafisha Alafu Atawa'7uisha Alafu Kwake Mutarudi} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara:28].
Wakasema:
{ قَالُوا رَبَّنَا أَمَتَّنَا اثْنَتَيْنِ وَأَحْيَيْتَنَا اثْنَتَيْنِ فَاعْتَرَفْنَا بِذُنُوبِنَا فَهَلْ إِلَى خُرُوجٍ مِّن سَبِيلٍ (11) ذَلِكُم بِأَنَّهُ إِذَا دُعِيَ اللَّهُ وَحْدَهُ كَفَرْتُمْ وَإِن يُشْرَكْ بِهِ تُؤْمِنُوا فَالْحُكْمُ لِلَّهِ الْعَلِيِّ الْكَبِيرِ (12) هُوَ الَّذِي يُرِيكُمْ آيَاتِهِ وَيُنَزِّلُ لَكُم مِّنَ السَّمَاءِ رِزْقاً وَمَا يَتَذَكَّرُ إِلَّا مَن يُنِيبُ (13) } صدق الله العظيم [غافر]
Allah Ta3ala Asema:{Wakasema Mola Mlezi Wetu Umetufusha Mara Mbili Na Umetu'7huyisha Mara Mbili Na Je Kuna Njia Ya Kutoka (11) Hio Kwajili Aki'ombwa Allah Pekeyake Munakufuru Na Akishirikishwa Na Yeye Munamini Hukmu Hakika Ni Ya Allah Al'3aliyu Al'Qadir(12)Yeye Ambae Anawaonesha Ishara Zake Na Anateremsha Kwenu Kutoka Mbinguni Riziki Na Hakumbuki Ila Yule Anaetaka (13)} Sadaqa Allah Al3adhim [Ghafir].
Na Labda Anataka kuweka kwetu Suali Mulizaji Mwengine Aseme:" Ewe Nasser Muhammad Al'Yamani, Kulingana Na Bayana Yako Hi Ilio Wazi Kuwa Mawali Wa Allah Wema Hawako Katika Ufufuwaji Wa Mara Ya Kwanza Kwajili Ya Hivo Ndio Amesema Allah Ta3ala:
{ وَمَا نَرَىٰ مَعَكُمْ شُفَعَاءَكُمُ الَّذِينَ زَعَمْتُمْ أَنَّهُمْ فِيكُمْ شُرَكَاءُ } صدق الله العظيم [الأنعام:94]
Allah Ta3ala Asema: {Na Hatuwaoni Pamoja Na Nyinyi Mashafii Wenu Wale Ambao Mulidai Kuwa Wao Washirika Kwenu }
Sadaqa Allah Al3adhim [Alan3am: 94],
Na Hi Manake Hawana Watu Wema Ila Mauti Moja Na Kifo Kimoja Pekeyake Na Wao Sio Kwamba Wako Motoni Kama Anavo sema Al'Masi7h Al'Kadhab, Basi Tulete Kwa Majibu Kutoka Muhkam Ya Kitabu Kutoka Kwa Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu Ili Ikamilike Picha Kwetu Ili Ibainike Kwetu Hi Bayana Ya Haki Ya Al'Quran Kwa Al'Quran Katika Masuali Ya Ufufuwaji Wa Mara Ya Kwanza", Na Alafu Anawarudishia Jibu Kwa Wote Waulizaji Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Na Nasema Amesema Allah Ta3ala:
{ لَا يَذُوقُونَ فِيهَا الْمَوْتَ إِلَّا الْمَوْتَةَ الْأُولَىٰ وَوَقَاهُمْ عَذَابَ الْجَحِيمِ ﴿56﴾ } صدق الله العظيم [الدخان]
Allah Ta3ala Asema: { Hawaonji Mauti Ila Mauti Ya Kwanza Na Akawaokowa Na Adhabu Ya Jahim (56)} Sadaqa Allah Al3adhim [Aldukhan].
Na Lakini Daktari Ahmad Omar Anadai Kuwa Watu Walikuwa Wamikufa Kabla Hawaja'Umbwa Kwao Bila Ilimu Kutoka Kwa Allah Anapotosha Maneno Ya Allah Kutokana Na Mahala Pake Palio Kusudiwa Alafu Anamtupia Mshtaka Kwa Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani Kuwa Yeye Ndio Mwenye Kugeuza Mahala Yake! Aleyisa Allah Bi Ahkam Al'Hakimin Ewe Daktari? Na Imebainika KwaUlilalbab Wenye Akili Wapi Anatamka Kwa Kupata Kwa Haki Na Anaongoza Kwa Njia Ilio Nyoka.
Na Salam Ju Ya Mitume,Na Alhamdulillah Rabi Al3alamin..
Ndugu Yenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
________________
Kifurushi Cha Bayan
(https://mahdialumma.net/showthread.php?p=65319)
(https://mahdialumma.net/showthread.php?p=59069)