Lakini Usiseme Ewe Fulani Niombe Maghfira Kwa Allah ! Ikiwa Hukumfanyia Dhambi Kwa Haki Yake, Basi Ikiwa Hujamkosea Haki Yake Kwa Dhambi Lakini Hana Uhusiano Kwa Maombi Ya Msamaha Na kughufuriwa..
الإمام ناصر محمد اليماني
28 - 10 - 1431 هـ
07 - 10 - 2010 مـ
09:59 مساءً
ـــــــــــــــــــ
Lakini Usiseme Ewe Fulani Niombe Maghfira Kwa Allah ! Ikiwa Hukumfanyia Dhambi Kwa Haki Yake, Basi Ikiwa Hujamkosea Haki Yake Kwa Dhambi Lakini Hana Uhusiano Kwa Maombi Ya Msamaha Na kughufuriwa..
Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Swala Na Salam Juu Alio Khitimu Unabi Na Mitume Na Ali Yake Na Walio Wazuri Waliotahirika Na Walio Fwata Haki Mpaka siku Ya Dini..
Ndugu Zangu Ma Al'Anssar, Nimiona Mazungumzo Yenu Baina Yenu Kuhusu Kutaka Kughufuriwa Kwa Mja Ili Asamehe Na Amombe Nduguyake Maghfira Kwa Mola Mlezi, Lakini Hivo Ikiwa Katika Hali Ya Kwamba Amimfanyia Kosa Mja Kwa Haki Yake Alfu Anakuja Mja Kwa Ndguyake Mja Ili Atake Kwake Msamaha Na Amghufurie Kwakua Yeye Amimkosea Kwa Haki Yake, Alafu Anakubli Mja Kwa Haki Yake Na Anamombea Kwa Mola Wao Maghfira, Na Alafu Anasema Mja: " Allahuma Hakika Mimi Nimemsamehe Nduguyangu Kwa Ajili Ya Uso Wako Mkarimu Na Hakika Wewe Ni Mkarimu Kuliko Mja Wako Basi Msamehe Kwa Yale Alio Nifaniya Hakika Wewe Ni "Arhama Arahimin" Mwenye Huruma Zaidi Kuliko Wenye Huruma", Alafu Anamghufuria Allah, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَإِنْ تَعْفُوا وَتَصْفَحُوا وَتَغْفِرُوا فَإِنَّ اللَّهَ غَفُورٌ رَحِيمٌ}
صدق الله العظيم [التغابن:14].
Allah Ta3ala Asema:{ Na mkisamehe, na mkapuuza, na mkaghufiria basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa maghfira, Mwenye kurehemu } Sadaqa Allah Al3adhim [Altaghabun:14]
Kama Mfano Ya Watoto Wa Ya'Qub Pindi Walipo Tenda Dhambi Na Udhia Kuhusu Baba'Yao Amabe Aliwamini Juu Ya Ndugu Yao Yusuf, Alafu Wakamtumbukiza Katika Kisima Wakamudhi Babayao Udhia Mkubwa, Na Ba'ada ilipo Tokezea Haki Na Wakakiri Dhambi Yao Alafu {قَالُوا يَا أَبَانَا اسْتَغْفِرْ لَنَا ذُنُوبَنَا إِنَّا كُنَّا خَاطِئِينَ ﴿٩٧﴾ قَالَ سَوْفَ أَسْتَغْفِرُ لَكُمْ رَبِّي إِنَّهُ هُوَ الْغَفُورُ الرَّحِيمُ ﴿٩٨﴾} صدق الله العظيم [يوسف].
Allah Ta3ala Asema:{ Wakasema: Ee baba yetu! Tuombee msamaha kwa dhambi zetu. Hapana shaka sisi tulikuwa na makosa (97) Akasema: Nitakuja kuombeeni msamaha kwa Mola wangu Mlezi. Hakika Yeye ndiye Mwenye maghfira na Mwenye kusamehe (98)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yusuf].
Lakini Wanataka Kwamba Awasamehe Walioyafanya Kwa Haki Yake Dhambi Kuu Mpaka Macho Yake Yakawa Meupe Kwa Huzuni, Kwajili Ya Hivo Walisema:
{قَالُوا يَا أَبَانَا اسْتَغْفِرْ لَنَا ذُنُوبَنَا إِنَّا كُنَّا خَاطِئِينَ ﴿٩٧﴾ قَالَ سَوْفَ أَسْتَغْفِرُ لَكُمْ رَبِّي إِنَّهُ هُوَ الْغَفُورُ الرَّحِيمُ ﴿٩٨﴾} صدق الله العظيم [يوسف].
Allah Ta3ala Asema:{ Wakasema: Ee baba yetu! Tuombee msamaha kwa dhambi zetu. Hapana shaka sisi tulikuwa na makosa (97) Akasema: Nitakuja kuombeeni msamaha kwa Mola wangu Mlezi. Hakika Yeye ndiye Mwenye maghfira na Mwenye kusamehe (98)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yusuf].
Na Kadhalika Istghfar Ya Mtume Wa Allah Yusuf Kwa Ndugu Zake Pindi Walipo Mtendea Dhambi Kwa Haki Yake Na Kwa Haki Ya Ndugu Yake, Akasema Allah Ta3ala:
{قَالَ هَلْ عَلِمْتُم مَّا فَعَلْتُم بِيُوسُفَ وَأَخِيهِ إِذْ أَنتُمْ جَاهِلُونَ ﴿٨٩﴾ قَالُوا أَإِنَّكَ لَأَنتَ يُوسُفُ قَالَ أَنَا يُوسُفُ وَهَـٰذَا أَخِي قَدْ مَنَّ اللَّـهُ عَلَيْنَا إِنَّهُ مَن يَتَّقِ وَيَصْبِرْ فَإِنَّ اللَّـهَ لَا يُضِيعُ أَجْرَ الْمُحْسِنِينَ ﴿٩٠﴾ قَالُوا تَاللَّـهِ لَقَدْ آثَرَكَ اللَّـهُ عَلَيْنَا وَإِن كُنَّا لَخَاطِئِينَ ﴿٩١﴾ قَالَ لَا تَثْرِيبَ عَلَيْكُمُ الْيَوْمَ يَغْفِرُ اللَّـهُ لَكُمْ وَهُوَ أَرْحَمُ الرَّاحِمِينَ ﴿٩٢﴾} صدق الله العظيم [يوسف].
Allah Ta3ala Asema:{ Akasema: Je! Mmejua mliyo mfanyia Yusuf na nduguye mlipo kuwa wajinga (89) Wakasema: Kumbe wewe ndiye Yusuf? Akasema: Mimi ndiye Yusuf, na huyu ni ndugu yangu. Mwenyezi Mungu ametufanyia hisani. Hakika anaye mcha Mungu na akasubiri, basi Mwenyezi Mungu haachi ukapotea ujira wa wafanyao mema (90) Wakasema: Wallahi! Mwenyezi Mungu amekufadhilisha wewe kuliko sisi, na hakika sisi tulikuwa wenye kukosa (91) Akasema: Leo hapana lawama juu yenu. Mwenyezi Mungu atakusameheni, naye ni Mwingi wa kurehemu kuliko wote wanao rehemu (92)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yusuf].
Na Kadhalika Wale Ambao Wanamudhi Nabi Na Wanasema: Yeye Ni Sikio Tu; Yani Wao Wata'apa Kwake Kwamba Hawakusema Kuhusu Yeye Wala Kuhusu Ujumbe Alio'kuja Nayo Ispokua Kheri Ndio Awasadiki, Akasema Allah Ta3ala:
{وَمِنْهُمُ الَّذِينَ يُؤْذُونَ النَّبِيَّ وَيَقُولُونَ هُوَ أُذُنٌ قُلْ أُذُنُ خَيْرٍ لَكُمْ يُؤْمِنُ بِاللَّهِ وَيُؤْمِنُ لِلْمُؤْمِنِينَ} صدق الله العظيم [التوبة:61].
Allah Ta3ala Asema:{ Na miongoni mwao wapo wanao muudhi Nabii na kusema: Yeye huyu ni sikio tu. Sema: Basi ni sikio la kheri kwenu. Anamuamini Mwenyezi Mungu, na ana imani na Waumini} Sadaqa Allah Al3adhim [Altwuba:61].
Na Akasema Allah Ta3ala:
{يَحْلِفُونَ بِاللّهِ مَا قَالُواْ وَلَقَدْ قَالُواْ كَلِمَةَ الْكُفْرِ وَكَفَرُواْ بَعْدَ إِسْلاَمِهِمْ وَهَمُّواْ بِمَا لَمْ يَنَالُواْ وَمَا نَقَمُواْ إِلاَّ أَنْ أَغْنَاهُمُ اللّهُ وَرَسُولُهُ مِن فَضْلِهِ فَإِن يَتُوبُواْ يَكُ خَيْرًا لَّهُمْ وَإِن يَتَوَلَّوْا يُعَذِّبْهُمُ اللّهُ عَذَابًا أَلِيمًا فِي الدُّنْيَا وَالآخِرَةِ وَمَا لَهُمْ فِي الأَرْضِ مِن وَلِيٍّ وَلاَ نَصِيرٍ} صدق الله العظيم [التوبة:74]،
Allah Ta3ala Asema:{Wanaapa kwa Mwenyezi Mungu kuwa hawakusema; nao wamekwisha sema neno la ukafiri, na wakakufuru baada ya kusilimu kwao. Na wakajihimu kufanya ambayo hawakuweza kuyafikia. Na hawakuchukia ila kuwa Mwenyezi Mungu na Mtume wake amewatajirisha kutokana na fadhila zake. Wakitubu itakuwa kheri kwao, na wakigeuka Mwenyezi Mungu atawaadhibu adhabu chungu duniani na Akhera. Na wala hawana katika ardhi mlinzi wala wa kuwanusuru} Sadaqa Allah Al3adhim [Altawuba:74].
Na Hatowaghufuria Allah Wao Hata Kama Atawaombea Maghfira Mtume Wa Allah- Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Wakiwa Hawa'To Omba Maghfira Kwa Allah Kwa Dhati Ya Moyo Wao Watubu Kwa Allah Kutubu. Akasema Allah Ta3ala:
{اسْتَغْفِرْ لَهُمْ أَوْ لاَ تَسْتَغْفِرْ لَهُمْ إِن تَسْتَغْفِرْ لَهُمْ سَبْعِينَ مَرَّةًفَلَن يَغْفِرَ اللّهُ لَهُمْ ذَلِكَ بِأَنَّهُمْ كَفَرُواْ بِاللّهِ وَرَسُولِهِ وَاللّهُ لاَ يَهْدِي الْقَوْمَ الْفَاسِقِينَ}صدق الله العظيم [التوبة:80].
Allah Ta3ala Asema:{Waombee msamaha au usiwaombee. Hata ukiwaombea msamaha mara sabiini, Mwenyezi Mungu hatawasamehe. Hayo ni kwa sababu ya kuwa wao wamemkataa Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Na Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wapotofu} Sadaqa Allah Al3adhim [Altawuba:80].
Lakini Wao Wange Juta Juu Ya Yale Walio Yafanya Juu Ya Haki Ya Allah Na Mtume Wake Kwakua Wanamudhi Allah Na Mtume Wa Allah- Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Wakakiri Kwa Dhambi Yao Wakamomba Awaombe Maghfira Kwa Yale Walio Sema Juu Yake Kwa Dhulma Na Uzushi, Basi Awatakie Maghfira Mtume- Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salama- Kwa Yale Walio Mfanyia Katika Udhia, Akasema Allah Ta3ala:
{وَمَا أَرْسَلْنَا مِن رَّسُولٍ إِلَّا لِيُطَاعَ بِإِذْنِ اللَّـهِ ۚ وَلَوْ أَنَّهُمْ إِذ ظَّلَمُوا أَنفُسَهُمْ جَاءُوكَ فَاسْتَغْفَرُوا اللَّـهَ وَاسْتَغْفَرَ لَهُمُ الرَّسُولُ لَوَجَدُوا اللَّـهَ تَوَّابًا رَّحِيمًا ﴿٦٤﴾} صدق الله العظيم [النساء].
Allah Ta3ala Asema:{ Na hatukumtuma Mtume yeyote ila at'iiwe kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Na lau pale walipo jidhulumu nafsi zao wangeli kujia, wakamwomba Mwenyezi Mungu msamaha, na Mtume akawaombea msamaha, hapana shaka wangeli mkuta Mwenyezi Mungu ni Mwenye kupokea toba na Mwenye kurehemu (64)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa].
Bali Wamstaghfiru Kwa Allah Lakini Atawaombea maghfira Mtume Katika Haki Yake, Kwajili Ya Hivo Amisema Allah Ta3ala:
{فَاسْتَغْفَرُوا اللَّهَ وَاسْتَغْفَرَ لَهُمُ الرَّسُولُ لَوَجَدُوا اللَّهَ تَوَّابًا رَحِيمًا} صدق الله العظيم [النساء:64]
Allah Ta3ala Asema:{wakamwomba Mwenyezi Mungu msamaha, na Mtume akawaombea msamaha, hapana shaka wangeli mkuta Mwenyezi Mungu ni Mwenye kupokea toba na Mwenye kurehemu (64)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa].
Yani Akawaombea Maghfira Mtume Kwa Haki Yake Na Hivo Ni Wakati Likitendwa Kosa Juu Ya Haki Ya Mja Ndio Anamomba Amombe Maghfira Kwa Allah Kwao Kwa Yale Walio Fanya Juu Yake Na Hivo Mpaka Awaghufurie Allah Wao Dhambi Juu Ya Dhambi Kwa Haki Ya Mjawake, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَإِنْ تَعْفُوا وَتَصْفَحُوا وَتَغْفِرُوا فَإِنَّ اللَّهَ غَفُورٌ رَحِيمٌ} صدق الله العظيم [التغابن:14].
Allah Ta3ala Asema:{ Na mkisamehe, na mkapuuza, na mkaghufiria basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa maghfira, Mwenye kurehemu } Sadaqa Allah Al3adhim [Altaghabun:14]
Na Ama Ikiwa Hakuna Kwa Ndugu Yake Mja Uhusiano Yoyote Kwa Yale Alio Yatenda Basi Pindi Akitaka Kutoka Kwa Mja Awe Amtakie Kwa Allah Maghfira Basi Hio Ni Kumshirikisha Allah, Lakini Hajawagiza Allah Muwe Mufanye Baina Yake Na Baina Yenu Mtu Wa Kati Eee Wapendwa Wagu Kwa Allah, Basi Kuweni Na Hadhari Na Kumshirikisha Kwa Allah, Akasema Allah Ta3ala:
{وَقَالَ رَبُّكُمُ ادْعُونِي أَسْتَجِبْ لَكُمْ إِنَّ الَّذِينَ يَسْتَكْبِرُونَ عَنْ عِبَادَتِي سَيَدْخُلُونَ جَهَنَّمَ دَاخِرِينَ} صدق الله العظيم [غافر:60]،
Allah Ta3ala Asema:{ Na Akasema Mola Mlezi Wenu Niombeni Nitawaitikia Dua Yenu Hakika Wale Ambao Wanakua Na Kiburi Kwa Kuniabudu Mimi Atwaingiza Jahanam Dakhirin} Sadaqa Allah Al3adhim [ Ghafir:60],
Na Wala Hawajasema Ma'Nabi Kwa Kaumu Yao Watake Kuombewa Maghfira Kwa Allah Bali Walisema:
{وَأَنِ اسْتَغْفِرُواْ رَبَّكُمْ ثُمَّ تُوبُواْ إِلَيْهِ يُمَتِّعْكُم مَّتَاعاً حَسَناً إِلَى أَجَلٍ مُّسَمًّى وَيُؤْتِ كُلَّ ذِي فَضْلٍ فَضْلَهُ وَإِن تَوَلَّوْاْ فَإِنِّيَ أَخَافُ عَلَيْكُمْ عَذَابَ يَوْمٍ كَبِيرٍ (3)} [هود:3].
Allah Ta3ala Asema:{ Na Mumombe Maghfira Mola Mlezi Wenu Na Mutubu Kwake Ata'Wapumbaza Mapumbazo Mazuri Mpaka Wakati Malum Na Atampa Kila Mwenye Kufanya Uzuri Uzuri Wake Na Mukigeuka Basi Hakika Mimi Nahofia Juu Yenu Adhabu Ya Siku Adhimu (3)} Sadaqa Allah Al3adhim [Hud:3].
{وَيَا قَوْمِ اسْتَغْفِرُواْ رَبَّكُمْ ثُمَّ تُوبُواْ إِلَيْهِيُرْسِلِ السَّمَاء عَلَيْكُم مِّدْرَاراً وَيَزِدْكُمْ قُوَّةً إِلَى قُوَّتِكُمْ وَلاَ تَتَوَلَّوْاْ مُجْرِمِينَ (52)}[هود:52].
{ Na Eee Kaumu Mumbeni Maghfiraha Mola Mlezi Wenu Alafu Tubieni Kwake Atawaletea Kutoka Mbinguni Mvua Na Atawazidishia Nguvu Juu Ya Nguvu Zenu Wala Musigeuke Wahalifu (52)} Sadaqa Allah Al3adhim [Hud:52]
{وَإِلَى ثَمُودَ أَخَاهُمْ صَالِحاً قَالَ يَا قَوْمِ اعْبُدُواْ اللّهَ مَا لَكُم مِّنْ إِلَـهٍ غَيْرُهُ هُوَ أَنشَأَكُم مِّنَ الأَرْضِ وَاسْتَعْمَرَكُمْ فِيهَافَاسْتَغْفِرُوهُ ثُمَّ تُوبُواْ إِلَيْهِ إِنَّ رَبِّي قَرِيبٌ مُّجِيبٌ (61)} [هود:61].
{ Na Kwa Thamud Ndugu Yao Swaleh Amisema Ee Kaumu Muabuduni Allah Hamuna Mungu Pasi Na Yeye, Yeye Amiwaumbeni Kutoka Kwa Ardhi Na Akawapa Maisha Ndani Yake Basi Mutake Maghfira Kwake Alafu Mutubu Kwake Hakika Mola Mlezi Wangu Yuko Karibu Anaitikia Maombi(61)} Sadaqa Allah Al3adhim [Hud:61],
{وَاسْتَغْفِرُواْ رَبَّكُمْ ثُمَّ تُوبُواْ إِلَيْهِ إِنَّ رَبِّي رَحِيمٌ وَدُودٌ (90)} [هود:90].
{Na Mutake Maghfira Kwa Mola Mlezi Wenu Alafu Mutubu Kwake Hakika Mola Mlezi Wangu Ni Mrahimu Mzuri(90)} [Hud:90],
فَقُلْتُ اسْتَغْفِرُوا رَبَّكُمْ إِنَّهُ كَانَ غَفَّاراً (10)} [نوح:10].
{ Nikasema Mutake Maghfira Kwa Mola Mlezi Wenu Hakika Yeye Ni Anaeghufuru(90)} Sadaqa Allah Al3adhim [ Nu7h:90],
{فَقُلْتُ اسْتَغْفِرُوا رَبَّكُمْ إِنَّهُ كَانَ غَفَّاراً (10)} [نوح:10].
{ Nikasema Mutake Magfira Kwa Mola Mlezi Wenu Hakika Yeye Ni Mwenye Kugufuru(10)[Nu7h:10],
{قُلْ إِنَّمَا أَنَا بَشَرٌ مِّثْلُكُمْ يُوحَى إِلَيَّ أَنَّمَا إِلَهُكُمْ إِلَهٌ وَاحِدٌ فَاسْتَقِيمُوا إِلَيْهِوَاسْتَغْفِرُوهُ وَوَيْلٌ لِّلْمُشْرِكِينَ (6)}[فصلت:6]
صــــدق الله العظيـم.
{Sema Lakini Mimi Ni Binadamu Kama Nyinyi Napewa Wa7hyu Kwangu Lakini Mola Mlezi Wenu Ni Moja Basi Muwe Na Istikama Kwake Na Mutake Maghfira Kwake Na Ole Wao Washirikina(6)}
[Fusilat:6]
Sadaqa Allah Al3adhim.
Na Akasem Allah Ta3ala:
{وَأَقِيمُوا الصَّلَاةَ وَآتُوا الزَّكَاةَ وَأَقْرِضُوا اللَّهَ قَرْضاً حَسَناً وَمَا تُقَدِّمُوا لِأَنفُسِكُم مِّنْ خَيْرٍ تَجِدُوهُ عِندَ اللَّهِ هُوَ خَيْراً وَأَعْظَمَ أَجْراً وَاسْتَغْفِرُوا اللَّهَ إِنَّ اللَّهَ غَفُورٌ رَّحِيمٌ (20)}
[المزمل].
Allah Ta3ala Asema:{ Na Musmamisheni Swala Na Mutoe Zaka Na Mumkope Allah Mkopo Mzuri Mutaipata Kwa Allah Ni Kheri Na Ujira Mkuu Na Mutake Maghfira Kwa Allah Hakika Allah Ni Mwenye Kughufuru Mrahimu(20)} [Almuzamil],
Na Akasema Allah Ta3ala:
{فَسَبِّحْ بِحَمْدِ رَبِّكَوَاسْتَغْفِرْهُ إِنَّهُ كَانَ تَوَّاباً (3)} [النصر].
{ Basi Umsabeh Kwa Himdi Ya Mola Mlezi Wako Na Utake Maghfira Kwake Hakika Yeye Ni Mwenye Kwatubia} [Alnasr].
{وَمَا كَانَ اللَّهُ مُعَذِّبَهُمْوَهُمْ يَسْتَغْفِرُونَ} [الأنفال:33].
صـــــدق الله العظيـم.
{ Na Wala Haikua Allah Anawadhibu Na Wao Wanaomba Maghfira} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanfal:33],
Lakini Aktenda Mja Dhambi Basi Asiende Kwa Yoyote Katika Waja Ili Atake Kwake Amtakie Yeye Kwa Mola Mlezi Wake Maghfira Basi Hio Ni Kumshirikisha Allah; Bali Atake Maghfira Kwa Mola Mlezi Wake Moja Kwa Moja Bila Ya Mtu Wa Kati:
{وَالَّذِينَ إِذَا فَعَلُواْ فَاحِشَةً أَوْ ظَلَمُواْ أَنْفُسَهُمْ ذَكَرُواْ اللّهَ فَاسْتَغْفَرُواْ لِذُنُوبِهِمْ وَمَن يَغْفِرُ الذُّنُوبَ إِلاَّ اللّهُ وَلَمْ يُصِرُّواْ عَلَى مَا فَعَلُواْ وَهُمْ يَعْلَمُونَ} صدق الله العظيم [آل عمران:135].
Allah Ta3ala Asema:{ Na Wale Walio Fanya Uchafu Ama Wamedhulumu Nafsi Zao Wanamtaja Allah Wakaomba Maghfira Kwa Dhambi Zao Na Nani Ane Samehe Madhambi Ispokua Allah Na Wala Hawakukita Kwa Yale Walio Yafanya Na Wao Wanajua} Sadaqa Allah Al3adhim [Imran:135].
Na Wala Hakutumiliza Allah Ma'Nabi Wala Mitume Na Al'Mahdi Al'Muntadhar Ili Wagize Watu Kwamba Watawasal Kwao Kwa Mola Mlezi Wao Ili Awaghufurie Wao Dhambi Yao Subhanahu Wata3al Kwa Yale Ambao Wanaoshirikisha; Bali Ili Walinganie Watu Kwa Mola Mlezi Wao Kwamba Watake Maghfira Kwa Allah Moja Kwa MOja Na Watubie Kwake Ndio Wamwabudu Yeye Pekeyake Hana Mshirika Nae, Wakageuka Wengi Wao Kwa Ulinganizi Wa Haki Kutoka Kwa Mola Mlezi Wao Ikasmamishwa Hoja Juu Yao Akawa'adhibu Allah Adabu Adhimu, Akasema Allah Ta3ala:
{أَلَمْ يَأْتِكُمْ نَبَأُ الَّذِينَ مِن قَبْلِكُمْ قَوْمِ نُوحٍ وَعَادٍ وَثَمُودَ ۛ وَالَّذِينَ مِن بَعْدِهِمْ لَا يَعْلَمُهُمْ إِلَّا اللَّـهُ جَاءَتْهُمْ رُسُلُهُم بِالْبَيِّنَاتِ فَرَدُّوا أَيْدِيَهُمْ فِي أَفْوَاهِهِمْ وَقَالُوا إِنَّا كَفَرْنَا بِمَا أُرْسِلْتُم بِهِ وَإِنَّا لَفِي شَكٍّ مِّمَّا تَدْعُونَنَا إِلَيْهِ مُرِيبٍ ﴿٩﴾ قَالَتْ رُسُلُهُمْ أَفِي اللَّـهِ شَكٌّ فَاطِرِ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ يَدْعُوكُمْ لِيَغْفِرَ لَكُم مِّن ذُنُوبِكُمْ وَيُؤَخِّرَكُمْ إِلَىٰ أَجَلٍ مُّسَمًّى قَالُوا إِنْ أَنتُمْ إِلَّا بَشَرٌ مِّثْلُنَا تُرِيدُونَ أَن تَصُدُّونَا عَمَّا كَانَ يَعْبُدُ آبَاؤُنَا فَأْتُونَا بِسُلْطَانٍ مُّبِينٍ ﴿١٠﴾ قَالَتْ لَهُمْ رُسُلُهُمْ إِن نَّحْنُ إِلَّا بَشَرٌ مِّثْلُكُمْ وَلَـٰكِنَّ اللَّـهَ يَمُنُّ عَلَىٰ مَن يَشَاءُ مِنْ عِبَادِهِ وَمَا كَانَ لَنَا أَن نَّأْتِيَكُم بِسُلْطَانٍ إِلَّا بِإِذْنِ اللَّـهِ وَعَلَى اللَّـهِ فَلْيَتَوَكَّلِ الْمُؤْمِنُونَ ﴿١١﴾}
صدق الله العظيم [إبراهيم].
Allah Ta3ala Asema:{ Hivi Haijawajieni Habari Ya Wale Ambao Kabla Yenu Kaumu Ya Nu7h Na Aad Na Thamud Na Wale Ba'ada Yao Hakuna Awajuwae Ila Allah Wamewajia Mitume Wao Na ilio Bainika Wakarudisha Mikono Yao Kwa Midomo Yao Wakasema Hakika Sisi Tumekufuru Kwa Yale Mulio Tumilizwa Nayo Na Sisi Tuna Shaka Kwa Yale Mulio Tulingania Nayo Ina Utetanishi(9) Wakasema Mitume Yao Hivi Kuna Shaka Juu Ya Allah Mwenye Ku'umba Mbingu Na Ardhi Anawaiteni Ili Awape Maghfira Kutokana Na Dhambi Yenu Na Awacheleweshe Mpaka Wakati ulio Wekwa Wakasema Hakika Nyinyi Ispokua Ila Ni Watu Kama Sisi Munataka Kutuzuwia Kwa Yale Wanao Abudu Baba Zetu Basi Tuleteni Utawala Ulio Wazi (10) Wakasema Mitume Yao Kwao Hakika Sisi Ni Watu Kama Nyinyi Lakini Allah ANamongoza Anae Taka Katik Waja Wake Na Wala Haikua Kwetu Kuwaleteni Utawala Ispokua Kwa Idhini Ya Allah Na Juu Ya Allah Basi Wamtegeme Waumini(11)} Sadaqa Allah Al3adhim [Ibrahim].
Na Akaagiza Allah Mitume Wake Kwamba Waseme Kwa Waja Wake Kua Yeye Yuko Karibu Anaitikia Maombi Yao Wakimomba Mola Mlezi Wao Na ikhlas Kwake Dini Nin Yake Bila Ya Shirki, Akasema Allah Ta3ala:
:{وَإِذَا سَأَلَكَ عِبَادِي عَنِّي فَإِنِّي قَرِيبٌ أُجِيبُ دَعْوَةَ الدَّاعِ إِذَا دَعَانِ فَلْيَسْتَجِيبُواْ لِي وَلْيُؤْمِنُواْ بِي لَعَلَّهُمْ يَرْشُدُونَ} صدق الله العظيم [البقرة:186].
Allah Ta3ala Asema{ Pindi Wanapo Kuliza Waja Wangu Kuhusu Mimi Basi Hakika Mimi Niko Karibu Naitikia Maombi Ya Anae Niomba Pindi Akiniomba Basi Wanitikie Mimi Na Waniamini Hakika Watanyokewa} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara:186].
Na Ewe Mpendwa Wangu Kwa Allah Abubakar Al'Maghribi, Na Ewe Mpendwa Wangu Abu Muhammad Alkaabi, Na Enyi Wapendwa Wangu Ma'Alanssar Nyote Kumbukeni Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَلَقَدْ صَرَّفْنَا فِي هَـٰذَا الْقُرْآنِ لِلنَّاسِ مِن كُلِّ مَثَلٍ وَكَانَ الْإِنسَانُ أَكْثَرَ شَيْءٍ جَدَلًا ﴿٥٤﴾ وَمَا مَنَعَ النَّاسَ أَن يُؤْمِنُوا إِذْ جَاءَهُمُ الْهُدَىٰ وَيَسْتَغْفِرُوا رَبَّهُمْإِلَّا أَن تَأْتِيَهُمْ سُنَّةُ الْأَوَّلِينَ أَوْ يَأْتِيَهُمُ الْعَذَابُ قُبُلًا ﴿٥٥﴾} [الكهف].
Allah Ta3ala Asema:{ Na bila ya shaka tumewaelezea watu katika hii Qur'ani kila namna ya mfano. Lakini mwanaadamu amezidi kuliko kila kitu kwa ubishi(55)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alkahf].
Na Akasema Allah Ta3ala:
{ادْعُوا رَبَّكُمْ تَضَرُّعًا وَخُفْيَةً إِنَّهُ لَا يُحِبُّ الْمُعْتَدِينَ ﴿٥٥﴾ وَلَا تُفْسِدُوا فِي الْأَرْضِ بَعْدَ إِصْلَاحِهَا وَادْعُوهُ خَوْفًا وَطَمَعًا إِنَّ رَحْمَتَ اللَّـهِ قَرِيبٌ مِّنَ الْمُحْسِنِينَ ﴿٥٦﴾} [الأعراف].
{ Muombeni Mola wenu Mlezi kwa unyenyekevu na kwa siri. Hakika Yeye hawapendi warukao Mipaka (55) Wala msifanye uharibifu katika nchi baada ya kuwa imekwisha tengenezwa. Na muombeni kwa kuogopa na kwa kutumai. Hakika rehema ya Mwenyzi Mungu iko karibu na wanao fanya mema (56)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].
Akasema Allah Ta3ala:
{وَإِذَا سَأَلَكَ عِبَادِي عَنِّي فإنّي قَرِيبٌ أُجِيبُ دَعْوَةَ الدّاعِ إِذَا دَعَانِ}[البقرة:186]
{Na Pindi Wakikuliza Waja Wangu Kuhusu Mimi Basi Hakika Mimi Niko Karibu Naitikia Dua Akiniomba } [Albaqara:186].
Akasema Allah Ta3ala:
{قُلْ مَا يَعْبَأُ بِكُمْ رَبِّي لَوْلاَ دُعَاؤُكُمْ} [الفرقان:77].
{Sema: Mola wangu Mlezi asinge kujalini lau kuwa si kuomba kwenu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alfurqan:77].
Akasema Allah Ta3ala:
{وَقَالَ رَبُّكُمُ ادْعُونِي أَسْتَجِبْ لَكُمْ} [غافر:60].
{Akasema Mola Mlezi Wenu Niombeni Nitaitikia Dua Yenu} [Ghafir:].
Akasema Allah Ta3ala:
{فَادْعُوا اللَّهَ مُخْلِصِينَ لَهُ الدّينَ} [غافر:14].
{ Basi Muombeni Allah Na Ikhlasi Ni Yake Dini} [Ghafir:14]
A MN
{{{{{{إِنَّ رَبِّي لَسَمِيعُ الدُّعاء}}}}}}[إبراهيم:39].
{Hakika Mola Mlezi Wangu Ni Mwenye Kusikia Dua} [Ibrahim:39].
Basi Usiseme: Eee Fulani Niombe Magfira Mimi Kwa Allah; Ikiwa Hujamfanyia Kosa Kwa Haki Yake, Lakini Ikiwa Hujatenda Kwa Haki Yake Dhambi Basi Hana Uhusiano Na Yeye Kwa Kutaka Kukuombea Afu Na Maghfira, Na Wala Haijuzu Kutaka Maghfira Na Afu Kwake, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{فَلَا تَدْعُوا مَعَ اللَّهِ أَحَدًا} صدق الله العظيم [الجن:18].
{Basi Lakini Musiombe Pamoja Na Allah Mtu Yoyote} Sadaqa Allah Al3adhim [ Aljin:18].
Na Wakasema Wale Ambao Wanaomomba Mola Mlezi Wao Na Ikhlas Ni Yake Dini Pindi Walipo Pata Thawabu Ya Mola Mlezi Wao Siku Ya Kukutana Nae, Wakasema:
{إِنَّا كُنَّا مِنْ قَبْلُ نَدْعُوهُ إِنَّهُ هُوَ الْبَرُّ الرَّحِيمُ} صدق الله العظيم [الطور:28].
Allah Ta3ala Asema:{ Hakika Sisi Tulikua Kabla Tukimomba Yeye Hakika Yeye Ni Mtkamilifu Mwenye Huruma} Sadaqa Allah Al3adhim [Altur:28].
Na Enyi Wapendwa Wangu Kwa Allah, Nani Yule Ambae Yeye Ana Huruma Zaidi Kwenu Kuliko Allah ? Na Jee Mwajua Nini Sababu Ya Shirki Ya Wengi Katika Waumini ? Ni Kukosa Kufahamu Ma'Aya Za Allah Kwenye Kuomba Istighfar, Na Kwajili Ya Hivo Mutawakuta Wanfanya Makaburi Ya Manabi Wao Na Watu Wema Katika Waja Wake Ni Misikiti Basi Wanawaomba Ma'Nabi Wao Na Watu Wema Na Wao Wako Makaburini Mwao Kuwa Wawaombe Kwa Allah Ili Awaghufurie Wao Madhabi Yao ! Basi Wakamshirikisha Allah Mola Mlezi Wao Mwenye Huruma Zaidi Kuliko Wano Huruma Allah Arhama Arahimin, Akawambia Allah Wao Siku Ya Kiyama Kwamba Wawaombe Mitume Wa Allah Pasi Na Yeye Na Watu Wema Katika Waja Wake, Na Jee Watawaitikoa Wao Maumbi Yao? Na Akawaonesha Allah Ma'Nabi Wake Na Mitume Wake Na Watu Wema Katika Waja Wake Wale Amabo Walioua Wakitawasal Kwao Kwamba Wamombe Allah Awaghufurie Wao Madhambi Yao Mpaka Pindi Allah Akawaonesha Wao Wakwajuwa, Akasema Allah Ta3ala:
{وَإِذَا رَأَى الَّذِينَ أَشْرَكُوا شُرَكَاءَهُمْ قَالُوا رَبَّنَا هَؤُلَاءِ شُرَكَاؤُنَا الَّذِينَ كُنَّا نَدْعُوا مِنْ دُونِكَ فَأَلْقَوْا إِلَيْهِمُ الْقَوْلَ إِنَّكُمْ لَكَاذِبُونَ (٨٦) وَأَلْقَوْا إِلَى اللَّهِ يَوْمَئِذٍ السَّلَمَ وَضَلَّ عَنْهُمْ مَا كَانُوا يَفْتَرُونَ (٨٧)} صدق الله العظيم [النحل:87].
Allah Ta3ala Asema:{ Na walio shirikisha watakapo waona hao walio washirikisha na Mwenyezi Mungu, watasema: Mola wetu Mlezi! Hawa ndio washirikishwa wetu ambao tulikuwa tukiwaabudu badala yako. Ndipo wale watakapo watupia kauli: Hakika nyinyi ni waongo (86) Na siku hiyo watasalimu amri mbele ya Mwenyezi Mungu, na yatapotea waliyo kuwa wakiyazua (87)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnahl].
Na Akasema Allah Ta3ala:
{وَيَعْبُدُونَ مِن دُونِ اللّهِ مَا لاَ يَضُرُّهُمْ وَلاَ يَنفَعُهُمْ وَيَقُولُونَ هَـؤُلاء شُفَعَاؤُنَا عِندَ اللّهِ قُلْ أَتُنَبِّئُونَ اللّهَ بِمَا لاَ يَعْلَمُ فِي السَّمَاوَاتِ وَلاَ فِي الأَرْضِ سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى عَمَّا يُشْرِكُونَ} صدق الله العظيم [يونس:18].
{ Na Wana'abudu Pasi Na Allah Ambao Hawawadhuru Wala Hawanufaishi Na Wanasema Hawa Ndio Waombelizi Wetu Kwa Allah Sema Hivi Munamjulisha Allah Kwa Ambae Hajuwi Yalio Kwenye Mbingu Wala Kwenye Ardhi Subhana Allah Kwa Yale Wanayo Mshirikisha} Sadaqa Allah Al3adhim [Yunus:18].
Akasema Allah Ta3ala:
{وَيَوْمَ نَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا ثُمَّ نَقُولُ لِلَّذِينَ أَشْرَكُوا مَكَانَكُمْ أَنتُمْ وَشُرَكَاؤُكُمْ فَزَيَّلْنَا بَيْنَهُمْ وَقَالَ شُرَكَاؤُهُم مَّا كُنتُمْ إِيَّانَا تَعْبُدُونَ ﴿٢٨﴾ فَكَفَىٰ بِاللَّـهِ شَهِيدًا بَيْنَنَا وَبَيْنَكُمْ إِن كُنَّا عَنْ عِبَادَتِكُمْ لَغَافِلِينَ ﴿٢٩﴾ هُنَالِكَ تَبْلُو كُلُّ نَفْسٍ مَّا أَسْلَفَتْ وَرُدُّوا إِلَى اللَّـهِ مَوْلَاهُمُ الحقّ وَضَلَّ عَنْهُم مَّا كَانُوا يَفْتَرُونَ ﴿٣٠﴾}
صدق الله العظيم [يونس].
Allah Ta3ala Asema{ Na siku tutakapo wakusanya wote, kisha tutawaambia walio shirikisha: Simameni mahali penu nyinyi na wale mlio wafanya washirika. Kisha tutawatenga baina yao. Na hao walio washirikisha watasema: Nyinyi hamkuwa mkituabudu sisi (28) Mwenyezi Mungu anatosha kuwa ni shahidi baina yetu na nyinyi. Hakika sisi tulikuwa hatuna khabari ya ibada yenu (29) Huko kila mtu atayajua aliyo yatanguliza. Na watarudishwa kwa Mwenyezi Mungu, Mola wao wa Haki, na yote waliyo kuwa wakiyazua yatawapotea (30)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yunus].
Akasema Allah Ta3ala:
{وَيَوْمَ يَقولُ نَادُوا شُرَكائِي الَّذِينَ زَعَمْتُمْ فَدَعَوْهُمْ فلمْ يَسْتَجِيبُوا لَهُمْ} صدق الله العظيم [الكهف:52].
{ Na siku atakapo sema (Mwenyezi Mungu): Waiteni hao mlio dai kuwa ni washirika wangu. Basi watawaita, na wao hawato waitikia. Nasi tutaweka baina yao maangamio} Sadaqa Allah Al3adhim [Alkahf:52].
Akasema Allah Ta3ala:
{وَقِيلَ ادْعُوا شُرَكَاءَكُمْ فَدَعَوْهُمْ فَلَمْ يَسْتَجِيبُوا لَهُمْ وَرَأَوُا الْعَذَابَ لَوْ أَنَّهُمْ كَانُوا يَهْتَدُونَ} صدق الله العظيم [القصص:64].
{ Na itasemwa: Waiteni hao miungu wa kishirikina wenu! Basi watawaita, lakini hawatawaitikia, na wataiona adhabu; laiti wangeli kuwa wameongoka } Sadaqa Allah Al3adhim [Alqasass:64].
Bali Wamejitoa Washirika Wao Kwa Dua Yao Pasi Na Allah, Wakasema
{وَقَالَ شُرَكَاؤُهُم مَّا كُنتُمْ إِيَّانَا تَعْبُدُونَ ﴿٢٨﴾ فَكَفَىٰ بِاللَّـهِ شَهِيدًا بَيْنَنَا وَبَيْنَكُمْ إِن كُنَّا عَنْ عِبَادَتِكُمْ لَغَافِلِينَ ﴿٢٩﴾} صدق الله العظيم [يونس].
{Na hao walio washirikisha watasema: Nyinyi hamkuwa mkituabudu sisi (28) Mwenyezi Mungu anatosha kuwa ni shahidi baina yetu na nyinyi. Hakika sisi tulikuwa hatuna khabari ya ibada yenu (29)} Sadaqa Allah Al3adhim [ Yunus].
Basi Mcheni Allah Enyi Wapendwa Wangu Kwa Allah Na Hivo Ndio Sababu Ya Waumini Kumshirikisha Mola Wao Mlezi: Kutawasul kwa Dua Kwa Waja Wake Pasi Na Yeye Ili Wawaombe Wao Kwa Allah. Na Eee Subhana Allah Al3adhim !
Akasema Allah Ta3ala {أُولَئِكَ الَّذِينَ يَدْعُونَ يَبْتَغُونَ إِلَى رَبِّهِمُ الْوَسِيلَةَ أَيُّهُمْ أَقْرَبُ وَيَرْجُونَ رَحْمَتَهُ وَيَخَافُونَ عَذَابَهُ إِنَّ عَذَابَ رَبِّكَ كَانَ مَحْذُورًا} صدق الله العظيم [الإسراء:57].
{ Hao wanao waomba, wao wenyewe wanatafuta njia ya kwendea kwa Mola wao Mlezi - hata miongoni mwao walio karibu mno - na wanataraji rehema zake na wanaikhofu adhabu yake. Hakika adhabu ya Mola wako Mlezi yafaa kutahadhari nayo} Sadaqa Allah Al3adhim [Alisra:57].
Na Akasema Allah Ta3ala:
{وَلَقَدْ فَضَّلْنَا بَعْضَ النَّبِيِّينَ عَلَىٰ بَعْضٍ وَآتَيْنَا دَاوُودَ زَبُورًا ﴿٥٥﴾ قُلِ ادْعُوا الَّذِينَ زَعَمْتُم مِّن دُونِهِ فَلَا يَمْلِكُونَ كَشْفَ الضُّرِّ عَنكُمْ وَلَا تَحْوِيلًا ﴿٥٦﴾ أُولَـٰئِكَ الَّذِينَ يَدْعُونَ يَبْتَغُونَ إِلَىٰ رَبِّهِمُ الْوَسِيلَةَ أَيُّهُمْ أَقْرَبُ وَيَرْجُونَ رَحْمَتَهُ وَيَخَافُونَ عَذَابَهُ إِنَّ عَذَابَ رَبِّكَ كَانَ مَحْذُورًا ﴿٥٧﴾ وَإِن مِّن قَرْيَةٍ إِلَّا نَحْنُ مُهْلِكُوهَا قَبْلَ يَوْمِ الْقِيَامَةِ أَوْ مُعَذِّبُوهَا عَذَابًا شَدِيدًا كَانَ ذَٰلِكَ فِي الْكِتَابِ مَسْطُورًا ﴿٥٨﴾} صدق الله العظيم [الإسراء].
{Na Mola wako Mlezi anawajua vilivyo waliomo mbinguni na katika ardhi. Na hakika tumewafadhilisha baadhi ya Manabii kuliko wengine; na Daudi tulimpa Zaburi (55) Sema: Waombeni hao mnao wadaia badala yake Yeye. Hawawezi kukuondoleeni madhara, wala kuyaweka pengine (56) Hao wanao waomba, wao wenyewe wanatafuta njia ya kwendea kwa Mola wao Mlezi - hata miongoni mwao walio karibu mno - na wanataraji rehema zake na wanaikhofu adhabu yake. Hakika adhabu ya Mola wako Mlezi yafaa kutahadhari nayo (57) 58. Na hapana mji wowote ila Sisi tutauteketeza kabla ya Siku ya Kiyama, au tutaupa adhabu kali. Haya yamekwisha andikwa katika Kitabu (58)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alisra].
Akasema Allah Ta3ala
{وَلَقَدْ صَرَّفْنَا فِي هَـٰذَا الْقُرْآنِ لِلنَّاسِ مِن كُلِّ مَثَلٍ وَكَانَ الْإِنسَانُ أَكْثَرَ شَيْءٍ جَدَلًا ﴿٥٤﴾ وَمَا مَنَعَ النَّاسَ أَن يُؤْمِنُوا إِذْ جَاءَهُمُ الْهُدَىٰ وَيَسْتَغْفِرُوا رَبَّهُمْ إِلَّا أَن تَأْتِيَهُمْ سُنَّةُ الْأَوَّلِينَ أَوْ يَأْتِيَهُمُ الْعَذَابُ قُبُلًا ﴿٥٥﴾} صدق الله العظيم [الكهف].
{Na bila ya shaka tumewaelezea watu katika hii Qur'ani kila namna ya mfano. Lakini mwanaadamu amezidi kuliko kila kitu kwa ubishi (54) Na hapana kilicho wazuia watu kuamini ulipo wajia uwongofu na wakaomba maghfira kwa Mola wao Mlezi, isipo kuwa yawafikie ya wale wa zamani, au iwafikie adhabu jahara (55)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alkahf].
Na Enyi Ma3ashar Ya Al'Anssar Al'Sabiqina Al'Akhyar, Haikuwa Kwa Al'Mahdi Al'Muntadhar Kwamba Awagize Mumombe Yeye Pasi Na Allah Ili Awaghufuri Allah Kwenu Basi Hivo Ni Shrki Kwa Allah ispokua Niwaombe Maghfira Kutoka Dhati Ya Nafsi Yangu Bila Kuniambia Nyinyi Kutaka Niwaombe Kwenu, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala
{فَاعْلَمْ أَنَّهُ لا إِلَهَ إِلا اللَّهُ وَاسْتَغْفِرْ لِذَنْبِكَ وَلِلْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ وَاللَّهُ يَعْلَمُ مُتَقَلَّبَكُمْ وَمَثْوَاكُم}صدق الله العظيم [محمد:19].
Allah Ta3ala Asema:{ Na Ujuwe Kuwa Hakuna Mungu ispokua Allah Na Usataghfiru Dhabi Yako Na Kwa Waumini wanaumie Na Wanawake Na Allah Anajua Mutakapo Angukia Na Mwisho Wenu} Sadaqa Allah Al3adhim [Muhammad:19].
Na Jee Inajuzu Kuwa Tuseme: Eee Malaika Wa Al'Rahman Walio Karibu Ombeni Allah Atughufurie Sisi: Alafu Nasema: Hakika inajuzu Kwetu Hi Dua, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{تَكَادُ السَّمَاوَاتُ يَتَفَطَّرْنَ مِن فَوْقِهِنَّ وَالْمَلائِكَةُ يُسَبِّحُونَ بِحَمْدِ رَبِّهِمْ وَيَسْتَغْفِرُونَ لِمَن فِي الأَرْضِ أَلا إِنَّ اللَّهَ هُوَ الْغَفُورُ الرَّحِيمُ} [الشورى:5].
Allah Ta3ala Asema:
Na Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{الَّذِينَ يَحْمِلُونَ الْعَرْشَ وَمَنْ حَوْلَهُ يُسَبِّحُونَ بِحَمْدِ رَبِّهِمْ وَيُؤْمِنُونَ بِهِ وَيَسْتَغْفِرُونَ لِلَّذِينَ آمَنُوا رَبَّنَا وَسِعْتَ كُلَّ شَيْءٍ رَحْمَةً وَعِلْمًا فَاغْفِرْ لِلَّذِينَ تَابُوا وَاتَّبَعُوا سَبِيلَكَ وَقِهِمْ عَذَابَ الْجَحِيمِ} صدق الله العظيم [غافر:7].
Allah Ta3ala Asema:{ Wale wanao beba A'rshi, na wanao izunguka, wanamsabihi na kumhimidi Mola wao Mlezi, na wanamuamini, na wanawaombea msamaha walio amini kwa kusema: Mola wetu Mlezi! Umekienea kila kitu kwa rehema na ujuzi. Basi wasamehe walio tubu na wakaifuata Njia yako, na waepushe na adhabu ya Jahannamu} Sadaqa Allah Al3adhim [Ghafir:7].
Alafu Nasema Jibu: La Haijuzu Basi Hivo Ni Shirki Kwa Allah Al3adhim Na Lau Anasikia Malaika Wa Al'Rahman Yoyote Yuwasema Eee Malaika Wa Al'Rahman Ombeni Allah ili Atughufurie Sisi Hawangeomba Allah Na Wangesema: Vipi Tustaghfiru Kwa Yule Anae Mshirikisha Allah? Lakini Hatutoweza Kukusaidia Mbele Ya Allah Kitu, Lakini Malaika Wa Al'Rahman inajuzu Kwao Kua Waombe Mola Mlezi Wao Kutokana Na Dhati Ya Nafsi Yao Kua Awaghufurie Waumini; Bali Hawajasubutu Malaika Wa Al'Rahman Kwamba Watake Kwa Allah Maghfira Ispokua Kwa Wale Ambao Wanamlekea Allah HawamshirikishinNa Nae Kitu, Kwajili Ya Hivo Walisema: {رَبَّنَا وَسِعْتَ كُلَّ شَيْءٍ رَحْمَةً وَعِلْمًا فَاغْفِرْ لِلَّذِينَ تَابُوا وَاتَّبَعُوا سَبِيلَكَ وَقِهِمْ عَذَابَ الْجَحِيمِ} صدق الله العظيم.
{Ewe Mola Mlezi Wetu Umitosheleza Kila Kitu Rahma Na Ilimu} Sadaqa Allah Al3adhim.
Ewe Mola Mlezi Wangu Mkitishe Aba Muhaamad Alkaabi Na Aba Abubakar Al'Maghribi Na Wote Ma Al'Anssar Kwa Njia Ilio Nyoka, Na Waghufurie Wao Hakika Wewe Ndio Ghafur Mwenye Huruma.