- 2 -
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
26 - 12 - 1429 هـ
24 - 12 - 2008 مـ
12:33 صباحاً
ـــــــــــــــــــ


( هلا بنجيب اللبيب )
( Karibu Ewe Najib Mwenye Akili )


{ Wanangoja jengine ila wawafikie Malaika, au awafikie Mola wako Mlezi, au zifike baadhi ya Ishara za Mola wako Mlezi? Siku zitakapo fika baadhi ya Ishara za Mola wako Mlezi, kuamini hapo hakutomfaa mtu kitu, ikiwa hakuwa ameamini kabla yake, au amefanya kheri katika Imani yake. Sema: Ngojeni,
nasi pia tunangoja }
Sadaqa Allah Al3adhim ..


{هَلْ يَنظُرُونَ إِلَّا أَن تَأْتِيَهُمُ الْمَلَائِكَةُ أَوْ يَأْتِيَ رَبُّكَ أَوْ يَأْتِيَ بَعْضُ آيَاتِ رَبِّكَ ۗ يَوْمَ يَأْتِي بَعْضُ آيَاتِ رَبِّكَ لَا يَنفَعُ نَفْسًا إِيمَانُهَا لَمْ تَكُنْ آمَنَتْ مِن قَبْلُ أَوْ كَسَبَتْ فِي إِيمَانِهَا خَيْرًا ۗ قُلِ انتَظِرُوا إِنَّا مُنتَظِرُونَ} صدق الله العظيم ..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Salam Ju Ya Mitume Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin, Ama Baada Ya Hapo ..


Habari Ewe Najib mpendwa mwenye akili na nakubashiri kwa kukupa Bayana ya haki ya hi aya kutoka kwa ilio wazi maanayake kitabu na watakumbuka wenye akili, Na ama kuhusu Bayana ya Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Siku zitakapo fika baadhi ya Ishara za Mola wako Mlezi, kuamini hapo hakutomfaa mtu kitu, ikiwa hakuwa ameamini kabla yake, au amefanya kheri katika Imani yake. Sema: Ngojeni, nasi pia tunangoja } Sadaqa Allah Al3adhim [Alanaam:158],
{يَوْمَ يَأْتِي بَعْضُ آيَاتِ رَبِّكَ لَا يَنفَعُ نَفْسًا إِيمَانُهَا لَمْ تَكُنْ آمَنَتْ مِن قَبْلُ أَوْ كَسَبَتْ فِي إِيمَانِهَا خَيْرًا ۗ قُلِ انتَظِرُوا إِنَّا مُنتَظِرُونَ} صدق الله العظيم [الأنعام:158]،


Basi hio nidio jua likichomoza kutoka kwa upande wa magharibi yake, Na sababu ya kutokezea kwake ni sayari ya adhabu ambao itapita karibu na ardhi, Na hizo ishara mbili kwa pamoja kwenye usiku moja, Kwajili ya hivo amesema Allah Ta3ala:
{ Siku zitakapo fika baadhi ya Ishara za Mola wako Mlezi, kuamini hapo hakutomfaa mtu kitu, ikiwa hakuwa ameamini kabla yake, au amefanya kheri katika Imani yake. Sema: Ngojeni, nasi pia tunangoja } Sadaqa Allah Al3adhim [Alanaam:158].
{يَوْمَ يَأْتِي بَعْضُ آيَاتِ رَبِّكَ لَا يَنفَعُ نَفْسًا إِيمَانُهَا لَمْ تَكُنْ آمَنَتْ مِن قَبْلُ أَوْ كَسَبَتْ فِي إِيمَانِهَا خَيْرًا ۗ قُلِ انتَظِرُوا إِنَّا مُنتَظِرُونَ} صدق الله العظيم [الأنعام:158].


Na hivo ni kwajili hio ni ishara ya adhabu, Na kutoka lini inawafa imani kwa kaumu pindi wanapo iyona adhabu ya Mola Mlezi wao? Na wote wale wamwanzo amabo Allah Amewangamiza wamesadiki na wakamini wakati walipo iyona adhabu ya Allah inakuja kwao basi haikuwafa imani yao pindi ilipo kuja adhabu. Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{ Na mingapi katika miji iliyo kuwa ikidhulumu tumeiteketeza, na tukawasimamisha baada yao watu wengine (11) Basi walipo ihisi adhabu yetu, mara wakaanza kukimbia (12) Msikimbie! Na rejeeni kwenye zile zile starehe zenu, na maskani zenu, mpate kusailiwa (13) Wakasema: Ole wetu! Hakika sisi tulikuwa madhaalimu (14) Hakikuacha hicho kuwa kilio chao mpaka tukawafanya kama walio fyekwa, wamezimika (15) Na hatukuziumba mbingu na ardhi na vilivyo baina yao kwa mchezo (16)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanbiya].
{وَكَمْ قَصَمْنَا مِن قَرْيَةٍ كَانَتْ ظَالِمَةً وَأَنشَأْنَا بَعْدَهَا قَوْمًا آخَرِينَ ﴿١١﴾فَلَمَّا أَحَسُّوا بَأْسَنَا إِذَا هُم مِّنْهَا يَرْكُضُونَ ﴿١٢﴾ لَا تَرْكُضُوا وَارْجِعُوا إِلَىٰ مَا أُتْرِفْتُمْ فِيهِ وَمَسَاكِنِكُمْ لَعَلَّكُمْ تُسْأَلُونَ ﴿١٣﴾ قَالُوا يَا وَيْلَنَا إِنَّا كُنَّا ظَالِمِينَ ﴿١٤﴾ فَمَا زَالَت تِّلْكَ دَعْوَاهُمْ حَتَّىٰ جَعَلْنَاهُمْ حَصِيدًا خَامِدِينَ ﴿١٥﴾ وَمَا خَلَقْنَا السَّمَاءَ وَالْأَرْضَ وَمَا بَيْنَهُمَا لَاعِبِينَ ﴿١٦﴾} صدق الله العظيم [الأنبياء].


Kwahivo Bayana ya kweli katika kauli ya Allah Ta3ala:
{ Siku zitakapo fika baadhi ya Ishara za Mola wako Mlezi, kuamini hapo hakutomfaa mtu kitu, ikiwa hakuwa ameamini kabla yake, au amefanya kheri katika Imani yake. Sema: Ngojeni, nasi pia tunangoja } Sadaqa Allah Al3adhim [Alanaam:158].
{يَوْمَ يَأْتِي بَعْضُ آيَاتِ رَبِّكَ لَا يَنفَعُ نَفْسًا إِيمَانُهَا لَمْ تَكُنْ آمَنَتْ مِن قَبْلُ أَوْ كَسَبَتْ فِي إِيمَانِهَا خَيْرًا ۗ قُلِ انتَظِرُوا إِنَّا مُنتَظِرُونَ} صدق الله العظيم [الأنعام:158]؛ :
Kwahio kutokezea jua kutoka magharibi hatimai sababu ni ishara ingine inakua pamoja kwenye usiku moja, Na tumebainisha kabla ukweli na tukaifafanua ufafanuzi na kwamba sayari ya adhabu inakuja na siku ya kupita kwake itageuza mzunguko wa ardhi ndio litoke jua kutoka kwa magharibi yake na Ataangamiza Allah Anae Mtaka na Ataokoa Anae Mtaka, Mpaka pindi ikisha ipita ardhi kisha ndio jua litarudi kuchomoza kutoka kwa mashariki yake, Na maisha yataendelea mpaka Atakapo Allah, Na kisha inafwatia hayo ishara ingine .. Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabilalamin.


Na ama kuhusu hizo ishara mbili basi nazo ni kwa pamoja nazo ni: Sayari ya adhabu na kutokezea jua kutoka magharibi siku itakapo pita sayari ya moto kama vile iko kwa hio picha hapo, Na hizo kwenu ni ishara mbili zinafanyika kwa paomja, Nazo ni Sayari ya adhabu na kutokezea ju kutoka magharibi yake.


Ndugu Wa Waislamu Katika Dini Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani.
أخو المسلمين في الدين الإمام ناصر محمد اليماني .
____________